Chadema na hujuma za ulimboka

Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:

Join Date : 23rd October 2007
Posts : 4,283
Rep Power : 1816
Likes Received118
Likes Given9

Sidhani kama ulitafakari kabla ya kupost hii thread. Na kama ulitafakari, basi hukupata jibu kuwa ni sahihi kuipost au la, ukaamua LIWALO NA LIWE.
 
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:

Umeanguka leo kutoka MARS?

Mbona HUKUMU ya Dr. Ulimboka ilishatolewa siku nyingi na Fundi Mchundo Stella Manyanya, kuwa waliomteka Dr. Ulimboka ni CDM. Au humuamini MH. Mbunge RC wako Fundi Mchundo Stella Manyanya?!
 
Mkuu huchoki maana kila post au thread unayoianzisha ni ya CDM
Kuna watanzania wamekwama kwenye meli iliyozama kule hebu jipe muda uwafikirie kidogo kuliko kila time wewe na CDM
Kila thread ni issue ile ile hebu wafikirie kidogo watanzania waliopoteza maisha

Yupo kazini huyo
 
its called obsession
 
Mwiba, umelaaniwa na watu wote! Nami nakulaani ulaaniwe wewe na wote wanaotoka katika kiuno chako. Huna maana, ningekuwa na uwezo wa kukutoa roho, ningeichukua sasa hivi! Baradhuli mkubwa wee. Mwiba mchongoma.
 
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:

tunajua upo kazini. endeleza propaganda zako ya miaka ya 1970 usije ukakosa mshahara. wengine tunakula kwa jasho letu. wewe unakula kwa kueneza uzushi na uchochezi huku kwenye mitandao ya kijamii.
Ila kumbuka kila chenye mwanzo kina mwisho na mwisho unaweza ukawa mzuri au mbaya. so please take care.
usije ukatumika kama condom kisha ukatupwa.
 
Back
Top Bottom