CHADEMA na ACT-Wazalendo wametuonesha Umuhimu wa ile sheria ya Ushirikiano wa vyama wakati wa Uchaguzi

Sasa mbona Lisu na maalimu Seif hawakutumia hiyo sheria na wamefeli?
Kwani mapambano dhidi ya dhuluma yameisha??
"Some People Hurt by Words, Some by Actions, some by Silence. But the Biggest Hurt is that Someone ignoring Us when We Value Them alots"...
 
ulisha wahi kuiona hiyo sheria yenyewe,?
hebu tuwekee hapa ili tulinganishe na ukweli wa Bandiko lako hili.
kinyume chake itakuwa ni parakacha za chakacha.
 
Tunazungumza Kila Siku
Hakuna Upinzania Tanzania
Upinzani Wa ID fake JF
Upinzani wa Twitter!!
Upinzani wakuropoka hovyo
Upinzani Kila mmoja Mjuaji
upinzani Usio Jua Kipi Ikisimamie!
Unacho Kiomba Leo Ndicho Utakacho kipinga Kesho!
Wapo wapo Tu
Kama kungekuwa hakuna upinzani ungeandika haya? Umeandika kwa kuwa Kuna upinzani.
 
Unashangaa nini watu kutofautiana mitazamo? mbona hata ndani ya vyama wanachama hutofautiana sembuse nje ya vyama?!

Amsheni akili zenu.

Thread zako nyingi huwa nyepesi nyepesi sana, mara nyingi hauna logic bwashee, unazunguka zunguka tu kama mtoto, shukuru Mungu huwa tunajitahidi kukujibu hivyo hivyo tu.
ACT wazalendo wamesema hawaendi Canada watabanana humu humu!
 
Back
Top Bottom