CHADEMA mtauweza huu muziki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mtauweza huu muziki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Sep 15, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Baada ya CHADEMA kuchukua maamuzi magumu ktk kuwaondoa vigeugeu ndani ya chama tumeshuhudia chama kikifanya maamuzi magumu ktk kuondoa magugu ndani ya chama mfano wale madiwani 5 wa Arusha, na baada ya hapo ni Ibarhim chagulani na Henry matata.
  Kiundani ukifatilia utaona idiologies za Chagulani pamoja na hao madiwani waliofukuzwa zote zinaendana ikiwa na UNAFIKI.

  Swali langu je CHADEMA kitawaweza hawa vijana ambao nao kwa kila mmoja ana shutuma na tabia hizo hizo ambazo zimewaponza wakina chagulani.... Vijana hao ni
  1: Benard Saanane
  2: Juliana shonza
  3:Mtela mwampamba
  pia wapo wengi na baba yao Shibuda.

  Tutegemee maamuzi gani?
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Zitto vipi? au lile ni fupa lililomshinda fisi?
   
 3. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wenyewe karibuni wanaingia humu subiri uone mitusi maana umewatia kidole.........cha macho.
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kama watavunja kanuni, out. Kumbuka CDM sio CCM.
   
 5. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ben uko wapi umjibu huyu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu Zitto ni maji marefu that why nimeamua kutoa list hiyo hapo juu kama chama na hao kinawachukuliaje? Kwani kila mmoja hapo juu ana profile chafu ndani ya chama mpaka wengne huwa wanasema hao ni mapandikizi.
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu hakuna Ben kujibu kwani huo ndio ukweli maybe kama ataka kuja kupingana na ukweli.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Chama kipo makini na hakikurupuki mkuu....
   
 9. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,105
  Likes Received: 11,257
  Trophy Points: 280
  waanze na shibuda.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Lowassa naye huko CCM hagusiki bado Nimrod kasema patachimbika
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu lakin ningependa kuona steps zikichukuliwa juu ya hawa watu kwani sio siri wana agenda ambayo wanaijua wao 2.
   
 12. m

  masluphill Senior Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hatukanwi mtu hayo ni maoni na mtazamo wake,Mapandikizi Watafyagiwa kila kundi kwa wakati wao,huku sio Chama Cha Mabwepande wenye ngome ya mafisadi na wahujumu uchumi,M4C Inakonga.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Shibuda anataka kugombea uenyekiti. Unafanya mchezo?
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huyu watakuwa wanamvutia pumzi.
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Siamini kama agenda zao hazijulikani ni swala la muda tu....taasisi yoyote watu kama hao hawakosekani na swala siyo kukimbilia kuwafukuza bali unachukua hatua gani kukabiliana nao na hatua hizo siyo lazima zitangazwe....
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  huyu hana sumu yoyote...subiri 2015
   
 17. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu inamana hiyo ni pumzi gani wanayomvutia? Nadhani imetosha sasa.
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  labda mwampamba na juliana shonza watachukuliwa hatua lakini ben hawawezi maana ni mchaga mwenzao
   
 19. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nasikia hawa vijana mpango wao ni kuhakikisha zitto anakuwa rais.
  jamani mbona hawavijana wanataka kumkosesha ufirst lady josephine mshumbusi jamani chama wachukulieni hatuwa hao vijana natamkosesha mama kwenda ikulu!
   
 20. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mapigano ya koo.....
  tatizo hapo ni utetezi wa viraza...hao madogo wana akili sana..
   
Loading...