CHADEMA mtauweza huu muziki?

Shibuda hana lolote night pandikizi la champ cha majambazi aka Magamba. alishajichimbia mwenyewe kaburi lake la kisiasa political(political grave)Anachosubiri ni 2015 tu aingie mwenyewe kama mbwa anavyoingia mwenyewe mdomoni mwa chatu. hapo ndipo atakapoona kuwa magamba si watu ni wanyama wasiofugika
 
Baada ya CHADEMA kuchukua maamuzi magumu ktk kuwaondoa vigeugeu ndani ya ckihama tumeshuhudia chama kikifanya maamuzi magumu ktk kuondoa magugu ndani ya chama mfano wale madiwani 5 wa Arusha, na baada ya hapo ni Ibarhim chagulani na Henry matata.
Kiundani ukifatilia utaona idiologies za Chagulani pamoja na hao madiwani waliofukuzwa zote zinaendana ikiwa na UNAFIKI.

Swali langu je CHADEMA kitawaweza hawa vijana ambao nao kwa kila mmoja ana shutuma na tabia hizo hizo ambazo zimewaponza wakina chagulani.... Vijana hao ni
1: Benard Saanane
2: Juliana shonza
3:Mtela mwampamba
pia wapo wengi na baba yao Shibuda.

Tutegemee maamuzi gani?

Naipenda chadema nauchukia ukabila, kinachowatesa hapa ni ukabila.....
 
Hapa naona kinachoendelea ni stori za kwenye kitchen party.... Waache wafu wawazike wafu wao
 
nasikia hawa vijana mpango wao ni kuhakikisha zitto anakuwa rais.
jamani mbona hawavijana wanataka kumkosesha ufirst lady josephine mshumbusi jamani chama wachukulieni hatuwa hao vijana natamkosesha mama kwenda ikulu!

yani ukiwafatilia hawa jamaa mambo yao utachoka kabisa, jamaa kama vile sio CDM vile.
 
Chadema haina ubavu wa kumshighulikia zito kabwe. Pamoja na kumchukia ni kati ya viongozi wa chache saana ndani ya chadema wenye uwezo wa kuongoza nchi ukiachilia mbali kucheza na majukwa kwenye nyomi kama wanavyoziita-yaani makadamnasi ya watu kuja kusikiliza mikutano. Kufukuza watu wenye mawazo tofauti siyo demokrasia ni kuongeza maadui na kujidanganya.
 
Taratiiibu dawa inawaingia!Shibuda alivyoanza CDM nasasa nitofauti!!Uongo?Keshaona mbele!Sasa hivi kimyaaaa!Zito nae kwamwenendo wake tayari keshasoma alama zanyakati!!Watanzania bwana!Raha tupu,wanakustadi,wanakuchombeza alafu wanaanza kukurushia vitu vizito taaaratibu!Mpaka ifike 2015 ukweli utakuwa bayana!
 
vipi brother Shubuda. Alisema huwezi kuambiwa unaminyoo halafu nie bado mkapaza sauti ya CHANGE CHANGE. Toa kwanza minyoo yaani udhaifu wa CHAMA kabla ya kufikiria kutwaa nchi
 
Akili ndogo ikitawala akili kubwa hata uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo, uwezo wa kufikiri ukiwa mdogo utafanana na mtazamo wako (shallow), ukiwa na mtazamo mdogo hata michango/mchango wako utakuwa sawa na akili yako. Akili ndogo + mtazamo mdogo + uwezo mdogo = mchango/michango yako± maafa.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
mimi nimependa zaidi kauli ya NIMRODI MKONO.kwani ndani ya ccm hakuna mchezo,baada ya mechi kutoka bilabila huko nzega baada ya kukuta kila mtu anamiliki manati ya mzungu tusubiri muziki wa mkono,hapo tutaendeleza list baada ya kukaa muda mrefu toka enzi za .
kolimba.
makamu wa rais
..........
..........
..........
 
Akili ndogo ikitawala akili kubwa hata uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo, uwezo wa kufikiri ukiwa mdogo utafanana na mtazamo wako (shallow), ukiwa na mtazamo mdogo hata michango/mchango wako utakuwa sawa na akili yako. Akili ndogo + mtazamo mdogo + uwezo mdogo = mchango/michango yako± maafa.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

mkuu medy! Hebu soma vizuri thread koz nhisi kama haupo sawa kwani umeruhusu akili ndogo itawale akili kubwa kwenye hii comment.
 
ni kweli mkuu lakin ningependa kuona steps zikichukuliwa juu ya hawa watu kwani sio siri wana agenda ambayo wanaijua wao 2.
Tatizo unazunguka sana mkuu, hebu weka wazi wana tatizo gani hawa; ukitupa picha ndio tutakupa solution ya wasiwasi wako. There is nothing impossible in CDM...!
 
Pole kama nimekukwaza mwaya wee! ...
Usijali, ndio JF.Kuna kucheka, kuchukia, kushambuliwa, kushambulia n.k ndio raha yake...Take it easy na tuendelee na mjadala. Karibu!!!!!!
 
Diwani wa sinza kupitia chadema Simple Pamba, sioni anachofanya naona anakula tu good time!
 
Shibuda anajijua kuwa alishajichimbia mwenyewe kaburi la kisiasa (political grave). Anachosubiri night mud tu waking mwenyewe kaburi(2012)! Huko kusema anagombea uenyekiti night kutaka attention ya watu tu hata mwenyewe anajua hakuna anayeweza kuruhusu kirusi kama yeye ndani ya CDM kushika nafasi senstive kama uenyekiti. kwanza alisahau forum ya kutangazia. kama aliweza kutangaza azima yake ya kugombea urais kwenye mikutano ya Champ cha majambazi aka Magamba sioni kwanini hakufanya hivyo kwanza hili la uenyekiti manake atakuwa ametumwa na magamba kijaribu zali
 
Chadema msiogope hata kumwondoa zitto na shibuda as long as corcumstances zipo. Kinachotakiwa hapa ni kujenga superiority ya chama na siyo mwanachama mmoja au kikundi fulani cha watu wanaojiona wao ndiyo wao.
 
Baada ya CHADEMA kuchukua maamuzi magumu ktk kuwaondoa vigeugeu ndani ya chama tumeshuhudia chama kikifanya maamuzi magumu ktk kuondoa magugu ndani ya chama mfano wale madiwani 5 wa Arusha, na baada ya hapo ni Ibarhim chagulani na Henry matata. Kiundani ukifatilia utaona idiologies za Chagulani pamoja na hao madiwani waliofukuzwa zote zinaendana ikiwa na UNAFIKI. Swali langu je CHADEMA kitawaweza hawa vijana ambao nao kwa kila mmoja ana shutuma na tabia hizo hizo ambazo zimewaponza wakina chagulani.... Vijana hao ni 1: Benard Saanane 2: Juliana shonza 3:Mtela mwampamba pia wapo wengi na baba yao Shibuda. Tutegemee maamuzi gani?
Swala ni degree ya damage wanayosababisha ni kiasi gani kwa chama. Waliochukuliwa hatua wanamadhara makubwa zaidi. Shibuda ni kweli lakini ukitazama kwa undani zaidi utaona jinsi ambavyo madhara yake yalivyo madogo mpaka sasa
 
Chama cha watu makini, hufanya maamuzi makini, kwa wakati muafaka, bila kuathili matarajio ya wanachama wake na bila kuathili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Kwa hiyo mtoa hoja unaruhusiwa kutoa maoni na ushauli lakini nini kifanyike kwa nani na kwanin iwe kwa kwani nasiyo kwa yule wenye chama wanajuwa.
 
juliana na mwampamba niliwaona mbeya pale sido wakifanya mkutano wa hadhara wa chadema lakini nilishangaa sana wakiuita mkutano wao ni m4m yaani movement for change.
 
Naipenda chadema nauchukia ukabila, kinachowatesa hapa ni ukabila.....
Ukabila upi?huo wimbo bado unaimbwa tuu?Nilidhani ni wendawazimu pekee ndio wanaweza kuimba kumbe hata GT wa hapa JF? Maana kichaa anaweza kukuta watu wanaimba Haleluya kanisani akaudaka wimbo huo na akipitia msikitini akaendelea kuuimba humo
 
Back
Top Bottom