CHADEMA mtauweza huu muziki?

Argumentum Domain itawasababishia vidonda vya tumbo mwaka huu, USHAURI WA BURE, KWA MWANACHAMA YEYOTE MWENYE UCHUNGU NA CHAMA ANDIKA BARUA KWA KATIBU MKUU UKIWASHITAKI HAWA VIJANA. NA UTOE MAPENDEKEZO WAFUKUZWE.

wewe fallla tu kwani umeshindwa siasa mnaanza kuleta ujuha wenu na ninashangaa hivi kwanini chama hakiwachukulii hatua mazombi kama wewe na wakina Ben......
 
Mwache dadang(komandoo Josehine) aonje kidogo pale magogoni mbona vijana mnatibua, nasi tunahitaji vingola vya kila mara Bukoba. Bahati nzuri Nyerere hakusema 1st lady hasitoke Bk. Kama mliamini katika lingine ambalo nalo ni nadharia sisi ni wajanja kuliko nyie tutatumia nyingine na wapiga debe ni nyie mnaoamini katika nadharia nyingine.

Mwampamba amemwambia josephine kwamba Firstlady lazima atoke Mbozi ambae ni Juliana shonza kwa hio kunamgogoro mkubwa sana kati ya mwampamba na dk slaa.juliana anahusishwa na zitto.
 
wewe fallla tu kwani umeshindwa siasa mnaanza kuleta ujuha wenu na ninashangaa hivi kwanini chama hakiwachukulii hatua mazombi kama wewe na wakina Ben......

wewe ni nani mpaka unakua mkali kiasi hicho ndg yangu? duh! kama ndo kiwango chako cha kufikiri kimekomea hapo na bado unadhani wewe ni bora kuliko wengine basi taifa lina janga kubwa sana, wenye majina vivuli huwa sihangaiki na ninyi kwa sababu uoga wenu mnautumia kuficha ujinga wenu, nawaacha tu mkae mkiota ndoto hizo, i informed you one day tht am not a sophist to meet with you in oral battle....
 
Wanajamii mnisaidie kutofautisha GiGi na shardicole naona wanaonekana wote kwenye comments moja!!tazama comment ya shadcole aonitukana kuwa mm ni ****, kisha utazame nilipomjibu katokea gigi hw comes? na mtazame thread hii ukurasa wa kwanza nani kaanzisha na utazame ukurasa wa pii uoneni!! duh!!ushamba kazi...
 
Mwampamba amemwambia josephine kwamba Firstlady lazima atoke Mbozi ambae ni Juliana shonza kwa hio kunamgogoro mkubwa sana kati ya mwampamba na dk slaa.juliana anahusishwa na zitto.
Mwampamba(Ganzi) huyuhuyu ninaemfaham mie?? Hizo guts katoa wapi?? Pigs will fly f what u r saying is the truth!!
 
Vijana wenzangu wa CHADEMA adui ye2 mkubwa ni CCM 2MUONDOE 2ACHE MAJUNGU MAKAMANDA
 
mkuu Zitto ni maji marefu that why nimeamua kutoa list hiyo hapo juu kama chama na hao kinawachukuliaje? Kwani kila mmoja hapo juu ana profile chafu ndani ya chama mpaka wengne huwa wanasema hao ni mapandikizi.

hii CDM kweli imejaa viraka tu, mi nilidhani ni chama imara kilicho kamilika, kumbe CCM hakina sababu ya kujibizana nao wao wenyewe watamaliza kwa njaa kali walizonazo, mtatoa wote hao na mtashanga 2015 mmebaki na wageni tu ambao hata hawajui katiba, dhamira na itikadi ya chama.
 
Baada ya CHADEMA kuchukua maamuzi magumu ktk kuwaondoa vigeugeu ndani ya chama tumeshuhudia chama kikifanya maamuzi magumu ktk kuondoa magugu ndani ya chama mfano wale madiwani 5 wa Arusha, na baada ya hapo ni Ibarhim chagulani na Henry matata.
Kiundani ukifatilia utaona idiologies za Chagulani pamoja na hao madiwani waliofukuzwa zote zinaendana ikiwa na UNAFIKI.

Swali langu je CHADEMA kitawaweza hawa vijana ambao nao kwa kila mmoja ana shutuma na tabia hizo hizo ambazo zimewaponza wakina chagulani.... Vijana hao ni
1: Benard Saanane
2: Juliana shonza
3:Mtela mwampamba
pia wapo wengi na baba yao Shibuda.

Tutegemee maamuzi gani?

shardcole aka gigi nazani hawavijana inabidi tuwape kazi chadema TV kama wewe!
 
Mawazo yako si mawazo ya Mungu mkuu.Kunitakia kifo inathibitisha ulivyoshindwa kukabiliana na mimi nikiwa hai,coward!

Unashindwa kuongoza uvccm mnaendekeza rushwa tu badala yake unakuwa obsessed

pia wanaonihusisha kuhujumu BAVICHA naomba walete ushahidi hapa badaala ya hisia/mahaba

Naamini adui yetu ni mfumo mbovu chini ya CCM.Rafiki yetu ni mfumo bora na tutaupata kupitia vuguvugu la mabadiliko.it's either you are with us or against us
.
 
Back
Top Bottom