CHADEMA mtauweza huu muziki?

labda mwampamba na juliana shonza watachukuliwa hatua lakini ben hawawezi maana ni mchaga mwenzao
Leo ni mara ya kwanza kuona jina la zaha humu jf,na kwa ukaribu kabisa nimejua kuwa zaha ni kibudu kabisa.
 
Leo ni mara ya kwanza kuona jina la zaha humu jf,na kwa ukaribu kabisa nimejua kuwa zaha ni kibudu kabisa.

nipo mkuu maana hawa vijana ni noma mpaka slaa anawaogopa kwa tetesi ni kwamba mwampamba amechoka na mfumo wa wachaga ndani ya chama sasa nae anataka wanyekyusa wachukue chama!sijui kama ataweza huo mpango wake kama chacha alishindwa sijui mwampamba!
 
labda mwampamba na juliana shonza watachukuliwa hatua lakini ben hawawezi maana ni mchaga mwenzao
naskia kamenusurika kifo jana kwa ajali mbaya ya gari.wamemtoa kafara dereva tax.kalikua kanatoka kupanga mikakati ya kuhujumu uvccm na walikutana saa 6 usiku blue pearl na wapambe wa baadhi ya wagombea uvccm baada ya kuona mbinu yao ya kuweka mamluki huku imeshindwa

sijui kwa nini dereva aliyegonga hilo gari hakuelekeza upande wake.ungekuta tunaongea mengine leo $#@%^&&&
 
Zotto?soma makala yake kwenye Tanzania Daima na Raia Mwema ya wik hii JUMATANO!Utashuhudiwa na makala ile kwamba Zitto anazo akili za kwake na za kufundishwa pia.Kwani CDM haiwezi kutafuta intelligensia CCM pia?spying nimtaaluma hata wengine sisi tunafanya privately hatuko na systems zenu.
 
hilo kundi ni tishio sana kwa slaa2015 maana hao vijana wanamtandao mkubwa sana na wamepanga kummaliza slaa katika siasa za tanzania hasa chadema.
vijana hao adui yao ni slaa kwani wao wanaamini slaa sio kiongozi mzuri ni dictator
 
Baada ya CHADEMA kuchukua maamuzi magumu ktk kuwaondoa vigeugeu ndani ya chama tumeshuhudia chama kikifanya maamuzi magumu ktk kuondoa magugu ndani ya chama mfano wale madiwani 5 wa Arusha, na baada ya hapo ni Ibarhim chagulani na Henry matata.
Kiundani ukifatilia utaona idiologies za Chagulani pamoja na hao madiwani waliofukuzwa zote zinaendana ikiwa na UNAFIKI.

Ndugu GIGI

Swali langu je CHADEMA kitawaweza hawa vijana ambao nao kwa kila mmoja ana shutuma na tabia hizo hizo ambazo zimewaponza wakina chagulani.... Vijana hao ni
1: Benard Saanane
2: Juliana shonza
3:Mtela mwampamba
pia wapo wengi na baba yao Shibuda.

Tutegemee maamuzi gani?

Ndugu GIGI: Swali lako ni gumu na linaipa CDM changamoto kubwa. Watanzania tumelelewa katika utamaduni wa uongo uongo, unafiki na mambo kama hayo katika dhuru za siasa kwa zaidi ya miaka hamsini. Wengi wetu bado tumelewa na huo utamaduni na tunaamini kuwa kujinga na chama kingine zaidi ya CCM bila shaka ni kuendeleza yale ya CCM!!! Viongozi wa vyama vya upinzani ni lazima wawe macho na hilo. Elimu ya uzalendo itolewe kwa hali ya juu kabisa ili kuondoa dhana potofu ya ulaghai na ghiliba katika siasa. kuwe na jisi ya kupima utendaji wa wansiasa bila upendeleo na hatua gani za kuchukua pindi maadili yanapokiukwa na yeyote bila kujali wadhifa.
 
hilo kundi ni tishio sana kwa slaa2015 maana hao vijana wanamtandao mkubwa sana na wamepanga kummaliza slaa katika siasa za tanzania hasa chadema.
vijana hao adui yao ni slaa kwani wao wanaamini slaa sio kiongozi mzuri ni dictator
Dagaa wanajiandaa kumla Sangara aliyekomaa itawezekana?
 
hawa ndio wanaomlazimisha yule dada shonza asifanye kazi na BAVICHA mara wanadai HECHE anamlamba MBOWE,SLAA miguu tena humuu mitaani wanatukana mpaka wabunge wa chama mpaka FACEBOOK kuna kijana mwingine anaitwa NYAKARUNGU wao wanaamini hakuna haja ya kufuata utaratibu jamani hakuna neno chama bila uelewano mi naamini kama wanatumiwa basi mtumiaji kavuka mipaka sasa sijui kama wanataka viongozi wapigane ,mfano kwenye sakata la CHAGULANI wamemtukana saana WENJE tunaawasa wajue lengo la chama kwa sasa ni kuiondoa CCM na sio kuoneshana chuki na fitna za kushindwa chaguzi za BAVICHA muiache bavicha ifanye kazi hujuma hazina tija mfano kumwambia SHONZA atunishe misuli morogoro asiwaelewe wenzake mnampoteza huyu binti KUMBUKENI SHIBUNA ANAKULA BONAS YA UMRI SI MWENZENU
 
Kwani heche alichaguliwa na vijana?mimi navyojua heche aliteuliwa na mbowe kwa ili alinde maslahi yake.ninavyojua mimi mchange,ben,nyakalungu na mwampamba walienguliwa ili heche apite bila kupingwa na dhambi ile aliifanya mbowe kwa kumtumia slaa maana slaa anaaminika na watanzania kwa hio wakamtumia ili kuhalalisha maovu.
vijana wameamua kumshughulikia sasa anatapatapa.
 
Wanaonewa wadogo tu. Mbona kwa godbless lema wameshindwa kumfukuza, wameishia kumwambia arudishe pesa milioni 21 za m4c ndani ya siku 17 na wanafanya siri. Fukuza wote sio kwa sababu anajua mabo yao ndio maana yeyer wanamwacha. Tusiige mabaya
 
Argumentum Domain itawasababishia vidonda vya tumbo mwaka huu, USHAURI WA BURE, KWA MWANACHAMA YEYOTE MWENYE UCHUNGU NA CHAMA ANDIKA BARUA KWA KATIBU MKUU UKIWASHITAKI HAWA VIJANA. NA UTOE MAPENDEKEZO WAFUKUZWE.
 
Mwache dadang(komandoo Josehine) aonje kidogo pale magogoni mbona vijana mnatibua, nasi tunahitaji vingola vya kila mara Bukoba. Bahati nzuri Nyerere hakusema 1st lady hasitoke Bk. Kama mliamini katika lingine ambalo nalo ni nadharia sisi ni wajanja kuliko nyie tutatumia nyingine na wapiga debe ni nyie mnaoamini katika nadharia nyingine.
 
Back
Top Bottom