CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,585
3,179
Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu.

Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia kufanikisha yako.

Licha ya yote aliyowahi kufanya nyuma hayana maana Wala hayana msaada kwenu,yenye msaada kwenu Ni Hilo analo lisema sasa chocheeni kuni Moto ukolee Hilo ndio lenye manufaa kwenu.

Moshi wa Polepole umeanza kuwatoa nje wahuni mpeni nguvu na kukoleza mchezo,mmelamba garasa lipo ndani ya ngome halafu mnalichunia! mnajua siasa kweli vijana?

Kuna furaha na shangwe isiyo kifani huku uhunini kadri mnavyomkandia Polepole, iko wazi mkimuunga mkono msiyo yajua mtayajua na huku hapatakalika.
 
Ushauri wangu;

CHADEMA acheni kuingilia maugomvi ya CCM yatawaondoa kwenye ramani.

Endeleeni kukijenga chama,kuandikisha wanachama kidigitali na kupaza sauti nchini na duniani kote kuhusu uonevu anaofanyiwa Mwenyekiti pamoja na wanachama wengine waliowekwa korokoroni!
 
Pole Pole na hao anaowaita wahuni wote lao moja. Hili ni swala lililotengenezwa mahsusi kwa lengo la kuwapoteza watu maboya kuhusu kesi ya Mbowe.

Inajulikana kwamba mashabiki wengi wa upinzani ni bendera fuata upepo, kwahiyo unatengenezwa upepo kama huu kwa lengo kutaka watu waufuate na kusahau uelekeo wao.

Kwa hili nafikiri Pole Pole na genge lake wamefanikiwa sana. Sasa hivi habari inayopewa uzito kwenye vichwa vya habari magazetini, redioni na kwenye TV ni kuhusu Pole Pole afu ndo zinakuja habari zingine kama vile zile zinazohusu kesi ya Mbowe nk.
 
Hakuna popote cdm wamesimama kuendelea na shughuli zao, labda pale wanapozuiwa kimabavu na dola ya majizi ya kura. Hapa tunachosisitiza ni kuwa karma ipo, na tunataka Polepole aione kutokana na uhayawani alioufanya wakati wa Magufuli.
i wangu;
CDM acheni kuingilia maugomvi ya CCM yatawaondoa kwenye ramani .
Endeleeni kukijenga chama,kuandikisha wanachama kidigitali na kupaza sauti nchini na duniani kote kuhusu uonevu anaofanyiwa Mwenyekiti pamoja na wanachama wengine waliowekwa korokoroni!
 
Pole Pole na hao anaowaita wahuni wote lao moja. Hili ni swala lililotengenezwa mahsusi kwa lengo la kuwapoteza watu maboya kuhusu kesi ya Mbowe. Inajulikana kwamba mashabiki wengi wa upinzani ni bendera fuata upepo, kwahiyo unatengenezwa upepo kama huu kwa lengo kutaka watu waufuate na kusahau uelekeo wao. Kwa hili nafikiri Pole Pole na genge lake wamefanikiwa sana.

Polepole pamoja na genge lake hawana uwezo wa kupoteza uelekeo wa yoyote, usitake kumpa sifa asiyokuwa nayo. Hapa watu wanafurahia yeye kukutana na mazingira aliyoyajenga kipindi cha Magufuli.
 
Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu...
Hatuna shida, hatuna masilahi yoyote na viroboto! Wanyonyane damu zote walizo walizonyonyaga wanyonge wa ‘inji’ hii! Viroboto wote wafe na lichama lao!
 
... kabla ya kudili na yeyote, aliyehai, ndani ya CCM, target yetu ya kwanza ni Polepole ndiye tunataka!

USITUFUNDISHE UJINGA MLETA MADA!

NB: Asavali Polepole asingejianika habari ya wahuni ghetoni kwake!
... MAANA SASA DISKASHEN MITANDAONI NI HABARI YA ZILE 'KY JELLY' NA VIPODOZI VYAKE ADIMU ...!
1639400183882.png
ADVATAIZ LINAENDELEA!
 
ama anaandaliwa aje akagombee uraisi 2025 akiwa chademaa ama chama ingine pinzani lengo ni kufifisha kura huku akijijia ni CCM / v8 damu damu?
 
Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu...
Kunawatu humu nikama bendera, sasaivi hakuna thread za kumzungumzia mwenyekiti tena, wana msaidia goli la mkono tu.
Those peoples powers a very hopeless 😂😂😂
 
Polepole pamoja na genge lake hawana uwezo wa kupoteza uelekeo wa yoyote, usitake kumpa sifa asiyokuwa nayo. Hapa watu wanafurahia yeye kukutana na mazingira aliyoyajenga kipindi cha Magufuli.
Sasa we endelea kukenua meno kufurahiya unachosema mbaka umesahau kesho ni tarehe 14 ukija kujitambua kama unachekelea ujinga ukigeuka nyuma utakutamwenyekiti anachezea nondo.
 
Back
Top Bottom