johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Msije kulia lia hapa Jf baada ya uchaguzi!Ukijiandikisha wewe inatosha..
Msije kulia lia hapa Jf baada ya uchaguzi!
Uchaguzi upo tarehe 24/11/2019........ni uchaguzi wa kikatiba kabisa siyo uteuzi!Kwani kuna uchaguzi au ni uteuzi wa wana ccm kutawala kwa maamuzi ya rais ambaye ndiye mwenyekiti wa ccm? Yaani nipoteze muda wangu kwenda kupiga kura wakati najua kabisa hiyo kura yangu wala haitaangaliwa bali wataamua tu fulani awe kiongozi na anakuwa?
Ni katika kukumbushana tu.
Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.
Maendeleo hayana vyama!
Ni UKAWA katika ujumla wao!Ina maana wote wasiojiandikisha ni CDM tu?
Ni katika kukumbushana tu.
Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema ndio wabishi wabishi na walalamishi!Naomba tu kuuliza nchi hii chama cha upinzani ni chadema tu?
Watu wajiandikishe au wasijiandikishe, hakuna tofauti. Ukampigia mgombea wa CCM au usimpigie, ndiye atakayetangazwa. Hivyo ndivyo alivyowaamrisha wasimamizi wa uchaguzi. Hakuna msimamizi mwenye uthubutu wa kwenda kinyume na aliyemteua na anayedai anawalipa mshahara, japo hela siyo yake.Ni katika kukumbushana tu.
Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona wakati chama chako kinanunua wapinzani hukukishauriNi katika kukumbushana tu.
Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo 2020 hamtapiga kura?Wati wajiandikishe au wasijiandikishe, hakuna tofauti. Ukampigia mgombea wa CCM au usimpigie, ndiye atakayetangazwa. Hivyo ndivyo alivyowaamrisha wasimamizi wa uchaguzi. Hakuna msimamizi mwenye uthubutu wa kwenda kinyume na aliyemteua na anayedai anawalipa mshahara, japo hela siyo yake.
Wale wamekimbia michango ya kila mwezi kule Chadema!Mbona wakati chama chako kinanunua wapinzani hukukishauri
Ni katika kukumbushana tu.
Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.
Maendeleo hayana vyama!
Siwabembelezi bali nawakumbusha bure!Unawabembeleza CDM? Hivi Unalipwa bk ngapi?
Msije kulia lia hapa Jf baada ya uchaguzi!