CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

Kuna watu hawajui waendako, ila wanawaamini madereva vipofu
 
Ni kweli kabisa hayupo peke yake hata chadema wanajua.kweli kabisa hayupo peke yake yupo na JOSEPHINE .hilo tunajua wote !!!!!
 
Basi hao wengine wanangoja nini nao kufanya conference pale serena?
Wakati ni sasa na nawashauri wajitokeze mapema kwa sababu chaka kimeandaa bilioni nyingi tu za kugharamia airtime na kumbi za kufanyia conference na TV zote zitalipiwa airtime yao hata kama kitarudiwa wiki mbili. Waambie waje sasa hivi kabla hii hela nyingi iliyoandaliwa kwa ajili ya hii shughuli haijapelekwa sehemu nyingine.
Wakati wa kuACT ni sasa. Na kama wapo wengi waulize wanataka shilingi ngapi. Tuko tayari kuwapa hizo hela ili mradi waje kupaka matope.
 
Baada ya Dr. Slaa kung'atuka siasa za kitapeli za CHADEMA na washirika wake, tumeshuhudia manguli na viwanda vya propaganda wa CHADEMA wakitumia kila mbinu kutuaminisha kuwa kila kitu ni shwari ndani ya Chama hicho na kikundi cha UKAWA. Hoja nyingi zinazokosoa kitendo cha CHADEMA hususani UKAWA kuonyesha taswira ya kununuliwa na mgombea wake wa urais ambaye walipita nchi nzima na kutumia rasilimali nyingi ikiwemo damu na wengine kupata ulemavu kwa kumnadi ni FISADI papa pamoja na wenzake alioambatana nao. Hoja hizi hazijibiwi badala yake viwanda vya propaganda vimekuwa vikifanya CYBER BULLYING kwa yeyote anayehoji ama kukosoa.

Vinara wa uhuni huo wamekuwa wakiongea kwa kusema Dr. Slaa amechelewa na hakuna kinachobadilika na kinachoshangaza zaidi, yule waliyekuwa wanamnadi ni Rais wa mioyo ya Watanzania amepewa majina mapya ya Babu, Mzee, Kizee n.k. Pia wazungumzaji wanaotulazimisha tuwasikilize wao pekee wanajinasibu kuzungumza kwa niaba ya Watanzania wote. Hili ni kosa ambalo si muda mrefu watakuja kujutia na anguko lake si dogo.

Najua, nafahamu, natambua kuwa yeyote asomaye huu uzi anaelewa namaanisha nini lakini kwa kuwa tayari wengi wameshakula kiapo cha giza, wataporomosha matusi, kebehi na kubeza.

CHADEMA mnaodhani mmeshika mpini, tambueni kwamba Dr. Slaa hayupo peke yake. Kuna kundi kubwa la wanamageuzi wa kweli ambao wanamuunga mkono na wanajua cha kufanya ili kuondokana na upuuzi wa viongozi waroho kutaka kutumia njia za mkato kufanikisha malengo yao huku wakisigina misingi iliyofanikisha Chama kukubalika na wengi. Misingi ya kupambana na Ufisadi, ukiukwaji maadili ya uongozi na wizi wa amali za umma.

Dr. Slaa ni kioo, msimamo wake usiyoyumbishwa ni tunu pia ana mapenzi ya dhati kwa Taifa na watu wake.

Tumekusilia na kaapo cha giza tukutane 2015/'10/25
 
Ingawaje umetaja CHADEMA tu, ungeongeza wigo na kuingiza UKAWA.

Inajulikana na inaonekana kuwa Dr. Slaaa hayuko peke yake katika utengenezaji wa hizi filamu.

Prof. Lipumba alionekana na alikiri kumkaribisha Lowassa UKAWA. Baade Alikuja na kusema "dhamira" imemsuta.

Kauli aliyotoa Lissu ni kuwa Dr. Slaa ndiye aliyemnyatia na kumtongoza Lowassa ajiunge CHADEMA na UKAWA. Ni vizuri na uungwana kwa Dr. Slaa atolee kauli "tuhuma" hii. Ni kwa nini alimtongoza Lowassa ajiunge CHADEMA?
Je ni kweli Dr. Slaa alishiriki kila hatua ya majadiliano ya kumleta Lowassa CHADEMA/UKAWA?

Akishatolea maelezo tuhuma hizo na kujibu maswali haya, aeleze ni nini kimemsukuma kumkana Lowassa "wake" leo?

Hivi Dr. Slaa hajui kuwa kuna baadhi mtu(mgeni) ukimkaribisha sebuleni, sebule huwa haimtoshi na inabidi mwenyeji ahame nyumba ili mgeni apate kujitanafasi?

Kama aliunda kamati ya watu 3 na alimtuma mposaji(mshenga) Gwajima, hakuwahi kufikiria kuwa Lowassa ndie mrithi wa JK. Alifikiri yale makubaliano yaliyoripotiwa na vyombo vya habari miaka ile baina ya JK na Lowassa ya kupokezana kijiti ilikuwa ni utani?

Ndio nimemkubali Pasco aliposema " isipotosha, itatoshelezwa".
 
We ngoja tu, uone watu wakiimba "Rostam Mabadiliko!" na watu watasema "bora Rostam kuliko CCM"!

Usichezee limbwata la Mbowe, kawalisha watu CHADEMA sasa wamegeuka mazezeta. Eti Dr. Slaa, Zitto nk., wote ndio wasaliti, mwanamageuzi sasa ni Lowassa na Rostam.

Limbwata la Mbowe sio mchezo. Kidumu CHADEMA, wadumu mafisadi wake, Lowassa, Rostam, Masha nk., waliohamia na kuwapindua wapiganaji wa miaka nenda-urudi. Pesa sio mchezo.
 
Baada ya Dr. Slaa kung'atuka siasa za kitapeli za CHADEMA na washirika wake, tumeshuhudia manguli na viwanda vya propaganda wa CHADEMA wakitumia kila mbinu kutuaminisha kuwa kila kitu ni shwari ndani ya Chama hicho na kikundi cha UKAWA. Hoja nyingi zinazokosoa kitendo cha CHADEMA hususani UKAWA kuonyesha taswira ya kununuliwa na mgombea wake wa urais ambaye walipita nchi nzima na kutumia rasilimali nyingi ikiwemo damu na wengine kupata ulemavu kwa kumnadi ni FISADI papa pamoja na wenzake alioambatana nao. Hoja hizi hazijibiwi badala yake viwanda vya propaganda vimekuwa vikifanya CYBER BULLYING kwa yeyote anayehoji ama kukosoa.

Vinara wa uhuni huo wamekuwa wakiongea kwa kusema Dr. Slaa amechelewa na hakuna kinachobadilika na kinachoshangaza zaidi, yule waliyekuwa wanamnadi ni Rais wa mioyo ya Watanzania amepewa majina mapya ya Babu, Mzee, Kizee n.k. Pia wazungumzaji wanaotulazimisha tuwasikilize wao pekee wanajinasibu kuzungumza kwa niaba ya Watanzania wote. Hili ni kosa ambalo si muda mrefu watakuja kujutia na anguko lake si dogo.

Najua, nafahamu, natambua kuwa yeyote asomaye huu uzi anaelewa namaanisha nini lakini kwa kuwa tayari wengi wameshakula kiapo cha giza, wataporomosha matusi, kebehi na kubeza.

CHADEMA mnaodhani mmeshika mpini, tambueni kwamba Dr. Slaa hayupo peke yake. Kuna kundi kubwa la wanamageuzi wa kweli ambao wanamuunga mkono na wanajua cha kufanya ili kuondokana na upuuzi wa viongozi waroho kutaka kutumia njia za mkato kufanikisha malengo yao huku wakisigina misingi iliyofanikisha Chama kukubalika na wengi. Misingi ya kupambana na Ufisadi, ukiukwaji maadili ya uongozi na wizi wa amali za umma.

Dr. Slaa ni kioo, msimamo wake usiyoyumbishwa ni tunu pia ana mapenzi ya dhati kwa Taifa na watu wake.

Umenena muungwana, wakati umefika kwa watu kujitokeza bila woga na kushurutisha FISADI PAPA Lowassa, kufukuzwa kutoka CHADEMA pamoja na wale wote waliompigia debe kuingia chaman.
 
Aisee Lowassa anawapelekesha balaa. Kila magamba badala ya kumnad mgombea wao wanampa kick Lowassa!
 
Watanzania wengi mnaonekana mu wachanga wa siasa...

Mioyo yenu yapata tabu kwa kuwa imani zenu zimewekwa juu ya watu...

Mtu anahangaika kuwa na mahaba na Lowassa au Slaa n.k

Hao wanapita tu nchi na vyama vitabaki
CCM iondoke kwanza halafu hayo mengine tutajadili maana kiburi chao(CCM) ni kikubwa mno tukiwachagua tena watafanya lolote wapendalo na hakuna atakayeweza kuwabadili.
 
Mimi binafsi siamini HATA KIDOGO kuwa Dr Slaa ndiye aliyemfuata Lowassa. Hili siamini na naona ni propaganda tu za Tundu Lissu na kuwa alilala kwenye gari nayo siamini mpaka watakapo bisha kuhusu Dr Slaa kuandika barua ya kujiuzulu ndani ya CC na ule mkutano Wa watu 4,name Dr Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima. Mpaka sasa na amini kujiuzulu kwa Dr Slaa ni sahihi 100 %maana sioni ni kivipi angeweza kuwaamini hao maadui zake wa siku nyingi na kushiriki nao kwa Karibu. Mbowe hana moral conflict na kundi Zima la Lowassa coz he has not caused them more harm.
Pamoja na yote, mimi Pepsin nayameza yote na nitachagua UKAWA maana CCM imenikwaza kwa mengi na kwa muda mrefu kuliko Mbowe na akina Lissu.
 
Kumbe mshenga ni Gwajima?

Haya tusubiri tuone nani zaidi, pengo au mshenga.

Mtaisoma namba mwaka huu.

Hizo taarabu za kusoma namba peleka chimwaga na Lumumba

Mpaka sasa ukawa wanaongoza kwa 94.5 %

Mnazunguka na wasanii kwenye kampeni

Mnafanya fiesta show nchi nzima

Hata ivyo mnawapa promote wasanii kazi zao zinaonekana ila kura ni lowasa na wabunge Wa ukawa
 
Kuna watu hawajui waendako, ila wanawaamini madereva vipofu

Mpeni ushauri Dr aongeze nguvu kwny msafara wa Magufuli, inaweza ikasaidia labda. Lakini waambie team ccm wanavyozidi kuongelea ufisadi ndivyo wanavyozidi kujihalibia, wapenda mabadiliko walisha msamehe lowasa, chuki yao imebakia kwny mfumo wa chama kilichopo.
 
Good point

Ruvuma kwenye kampeni za ccm wananchi wamulizwa raisi ni nani wakajibu lowasaaaa huo ni mkutano wao

Yule Dr Slaa ndo amesha bugi hataweza tena kuaminika
 
Baada ya Dr. Slaa kung'atuka siasa za kitapeli za CHADEMA na washirika wake, tumeshuhudia manguli na viwanda vya propaganda wa CHADEMA wakitumia kila mbinu kutuaminisha kuwa kila kitu ni shwari ndani ya Chama hicho na kikundi cha UKAWA. Hoja nyingi zinazokosoa kitendo cha CHADEMA hususani UKAWA kuonyesha taswira ya kununuliwa na mgombea wake wa urais ambaye walipita nchi nzima na kutumia rasilimali nyingi ikiwemo damu na wengine kupata ulemavu kwa kumnadi ni FISADI papa pamoja na wenzake alioambatana nao. Hoja hizi hazijibiwi badala yake viwanda vya propaganda vimekuwa vikifanya CYBER BULLYING kwa yeyote anayehoji ama kukosoa.

Vinara wa uhuni huo wamekuwa wakiongea kwa kusema Dr. Slaa amechelewa na hakuna kinachobadilika na kinachoshangaza zaidi, yule waliyekuwa wanamnadi ni Rais wa mioyo ya Watanzania amepewa majina mapya ya Babu, Mzee, Kizee n.k. Pia wazungumzaji wanaotulazimisha tuwasikilize wao pekee wanajinasibu kuzungumza kwa niaba ya Watanzania wote. Hili ni kosa ambalo si muda mrefu watakuja kujutia na anguko lake si dogo.

Najua, nafahamu, natambua kuwa yeyote asomaye huu uzi anaelewa namaanisha nini lakini kwa kuwa tayari wengi wameshakula kiapo cha giza, wataporomosha matusi, kebehi na kubeza.

CHADEMA mnaodhani mmeshika mpini, tambueni kwamba Dr. Slaa hayupo peke yake. Kuna kundi kubwa la wanamageuzi wa kweli ambao wanamuunga mkono na wanajua cha kufanya ili kuondokana na upuuzi wa viongozi waroho kutaka kutumia njia za mkato kufanikisha malengo yao huku wakisigina misingi iliyofanikisha Chama kukubalika na wengi. Misingi ya kupambana na Ufisadi, ukiukwaji maadili ya uongozi na wizi wa amali za umma.

Dr. Slaa ni kioo, msimamo wake usiyoyumbishwa ni tunu pia ana mapenzi ya dhati kwa Taifa na watu wake.

Anihesabu na mimi niko pamoja nae, ukweli haugawanyiki na hakika ukweli umeegemea kwa magufuli.
 
Eti leo wapigania ukombozi ni kina LOWASSA,MASHA,ROSTAM,,, hahhahhh
 
Kweli lowasa anapendwa, slaa tayar ashasahaulika...hahahahahaaaa...issue ni kwamba watu wanataka kuondoa mfumo mambo mengine watajua mbele kwa mbele..
 
Back
Top Bottom