cctv camera zimeonesha mchezo mzima!!!!hatuangaiki!!!!!!!lowassa mbeleni kweli ulichosema kuwa dr slaa hayuko peke yake, kwa kuwa inajulikana wazi kuwa yupo sambamba na 'washikaji' wake wakubwa wa sisiem, ambao ndiyo waliompa full support kwenye kikao chake na waandishi wa habari pale serena hotel!
jina lenyewe linaonyesha wewe ni wa namna gani? Endelea kutumika
Mkuu hawa akili zao sijui wameziacha wapi? Yaani from Public Enemy number 1 kuwa mtetezi wa wanyonge? Rostam Aziz? Really?
Hawa vijana wanahitaji immediate intervention
tutadhibitishaje kuwa zilitakiwa kuwa zaidi ya zitakazopatikana au ndo kigezo mlichopanga kuibia kura?Impact ya dr itaonekana kwny kupiga kura!!
..hivi we mzee hukutaka rostam ajibu kile kilichozungumzwa na dr.mihogo?
Ccm wewe kamnadi magufuli .tuachie lowasa wetu.
Slaa muongo, Mbowe muongo, Lowassa ndio kabisa.
Chama cha kutawala mpaka sasa ni CCM pekee.
Babu Slaa yuko na CCM waliomtuma na kumuhonga ,, Slaa amekodishiwa private jet kumpeleka Afrika Kusini akale ela alizohongwa na CCM
Maneno mazito haya; sasa tunajua na tumeona tofauti ya watu wanaotaka mabadiliko ya kweli na wanaotaka mabadiliko tu. Wanaotaka mabadiliko tu hawana cha kusimamia isipokuwa kitu kibadilike tu. Hawajali ni mabadiliko gani, ya nini, kwanini na kwa vipi tu. Ni kama watu wanaopigishana stori kijiweni; mtu anaweletea stori za mpirani jinsi magoli yalivyofungwa na watu wanashangilia na kurudia jinsi kona ilivyopigwa n.k kumbe aliyewasimulia alisikia redioni tu. Wanataka tuamini kuwa Lowassa anawakilisha kweli mabadiliko! Hata kusema "CHADEMA" Lowassa maskini wa Mungu anapata tabu, halafu juu yake anatakiwa awakilishe UPAWA vile vile! Ili watu wapewe!
Ndio maana toka mwanzo nilishapuuzia huu UPAWA niliamini wakati ule kuwa ni dubwasha baya zaidi lililovuruga harakati za mabadiliko na litatusumbua baadaye. Lakini sikudhania lingetokea na la Lowassa vile vile. Sasa hivi CCM wala hawana haja ya kupiga kelele tena, wanasubiri vichinjio vyao wafutilie mbali upinzani tarehe 25 liwe onyo na somo kwa wengine!
Umefika golini kabisa na umebaki wewe na kipa mtu anakuonesha kisura halafu unabutua juu; hata wakionesha replay zile unashindwa kuangalia kwani ni aibu.
We ndo mpuuzi kwani Dr Slaa kaanza leo kuzungumzia Richmond na ufisadi? Tatizo hamna sense of history or any sense for that matter!
Hivi kusimamia unachokiamini ni kununuliwa? Yaani wewe huwezi kusimamia mawazo yako bila kununuliwa?Hivi ni uvivu wa kufikiri au makusudi tu? Katibu mkuu wa chama anapofanya jambo kwa maslahi ya chama anachokiongoza atakuwa amenunuliwa na nani? Amenunuliwa na mwenyekiti? Kajinunua?