Kuna yule kiongozi wao alienda kwa mkuu wa wilaya na kupinga uwepo wa maandamano baada ya Yale ya October 29? Yupo wapi yule? Ajitokeze Tena sasaHao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
Alishapata chake alichopewa 😀😆😃Kuna yule kiongozi wao alienda kwa mkuu wa wilaya na kupinga uwepo wa maandamano baada ya Yale ya October 29? Yupo wapi yule? Ajitokeze Tena sasa