Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,926
- 51,012
- Thread starter
- #21
Hoja yako Ina mashiko... Lakini hao Machinga hawakuzuka kwa siku moja kutoka kusikojulikana.Wamachinga waende sehemu ambazo husika zilizotengwa kwa ajli ya kufanya biashara zao.
Majiji yanakuwa machafu kwasababu kila sehemu wanafanya biashara na kujaza matakataka njiani.
Nchi za wenzetu hakuna wamachinga na miji yao ni misafi sana.
Serikali ijenge masoko mengi kila kata ili iweze kuaccomodate wamachinga.
Serikali za kata zihamasishe wakazi wafanya usafi mazingira yanayozunguka nyumba zao na kuweka taka kwenye mapipa/bins kisha magari yawe yanakuja kuchukua free.