CHADEMA, Mshaurini Dr. Slaa abadilike, anakiua Chama!

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,305
Reaction score
2,564
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.

Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.

Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.

Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.
 
uwezo wako wa kushangaa upo kama wa nyumbu!!!!!

unasomeka upo katika kundi la wafilisti, badala kukaa kimya akiue chama mtawale bila hofu, wewe eti unawashtua.

wewe una ujinga wa kusomea, si bure.
 
Mkuu nakusalimu kwa jina la Dr Slaa.Ama baada ya salamu naomba kukumbusha/kukuarifu kuwa kuna diwani wa chama chenu ccm mbulu na mwingine korogwe vijijini nao wamejiuzulu nafasi zao.Mkuu unafikiri kujiuzulu kwa madiwani wenu ni kutokana na mgawanyiko wa ndani ya chama baada ya akina flani kuhojiwa na kamati kuu?
 
Cdm ni zaidi ya chamq cha siasa...wamejiwahi kufukuzwa haoo
 
Babu hana sera kwa sasa unadhani asema nini jukwaani?
 
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.

Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.

Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.

Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.
Akiiuawa Chadema wewe mzigo inakuhusu nini?
 
Last edited by a moderator:
uwezo wako wa kushangaa upo kama wa nyumbu!!!!!

unasomeka upo katika kundi la wafilisti, badala kukaa kimya akiue chama mtawale bila hofu, wewe eti unawashtua.

wewe una ujinga wa kusomea, si bure.

Here you come,The DUPE.By the way,Do you understand the term 'EXTERNAL LOCUS OF CONTROL'?It's sad that you are among the helpless individuals who fall into this APPROACH of problem solving.
 
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.

Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.

Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.

Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.

Kama anakiua CHADEMA si ndio ungefurahi zaidi?

Kama Mwigulu aliweza kujaribu Kumhonga Mgombe Udiwani Huko Arusha ajitoe na kuhamia CCM itawashinda nini kuhonga madiwani waliopo?

Picha za Mwigulu akiwa nyumbani kwa Diwani huyo ziliwekwa hadharani.Kwa aibu kubwa hakuwahi kuongea chochote baada ya kuumbuliwa
 
Mitandao haitaisadia CCM kuifanya ipendwe!! the main key factor ni kuhakikisha walau 50% ya ilani yake ya uchaguzi imetekelezwa kabla ya 2015 - Vinginevyo ni ndoto kuiona IKULU kwa kura za haki.
 
tulieni mpini uwaingie na bado, uchaguzi ukija tunachukua ongezeni chopa za kutosha, mtavuna mabua:boink:
 
CCM wanapaswa kuiacha Chadema mikononi mwa Dr Slaa ili ife vizuri kama Chadema wanavyompotezea EL ili CCM wamteue alafu kazi iwe nyepesi.

Mbona CCM hawatoi maoni kwa vyama vingine zaidi ya 10 vyenye usajili lakini havina hata shina zaidi ya ofisi zao Twita,FB na JF?
 
Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.

Hivi tuwe wakweli, ni CHAMA GANI cha SIASA kilichogawanyika hapa Tanzania. KWani kupinga WAHUJUMU Chama ndiyo kugawanyika, ndiyo maana wameambiwa milango ipo wazi. Hembu na sisi CCM tujaribu hili tuone matokeo yake.
 
Here you come,The DUPE.By the way,Do you understand the term 'EXTERNAL LOCUS OF CONTROL'?It's sad that you are among the helpless individuals who fall into this APPROACH of problem solving.

Unaona unavyozidi kulithibitishia jamvi kuwa mna tofauti ndogo sana na mnyama nyumbu kiakili.

nimetiririka kwa kiswahili, wewe unajibu kwa kibagladesh,

MAHAKAMA:-

USHAHIDI UMEJITOSHELEZA.
 
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.

Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.

Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.

Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.

UONGO UTAKUSAIDIA NINI ? TUTAJIE VIMGOZI WA CDM WALIOGAWANYIKA ? CDM HAITAWEZA KUVUMILIA ( BILA SHAKA HATA CCM haITAWEZA KUVUMILIA) WAHUNI WANATUMIA MALI ZA CHADEMA KWA AJILI YA KUSAMBAZA SERA ZA CHAMA KINGINE .
 
Back
Top Bottom