Kama anakiua CHADEMA si ndio ungefurahi zaidi?
Kama Mwigulu aliweza kujaribu Kumhonga Mgombe Udiwani Huko Arusha ajitoe na kuhamia CCM itawashinda nini kuhonga madiwani waliopo?
Picha za Mwigulu akiwa nyumbani kwa Diwani huyo ziliwekwa hadharani.Kwa aibu kubwa hakuwahi kuongea chochote baada ya kuumbuliwa
Hapo ndo mnapokosea siku zote, mnadhani kila anayeonyesha dosari lengo lake ni kwamba chama kife, si hivyo, wengine tunaamini katika umuhimu wa kuwa na chama cha upinzani chenye nguvu katika kuleta maendeleo ya nchi. Hivyo kasoro zinatolewa ni katika kuhakikisha uwepo wa Chadema yenye nguvu, swala hapa si ushabiki tu kama mlivyozoea.