CHADEMA, Mshaurini Dr. Slaa abadilike, anakiua Chama!

CHADEMA, Mshaurini Dr. Slaa abadilike, anakiua Chama!

Naona kwenye wote umebaki peke yako ndo una akili,
hongera sana.

Ni wewe uliyekiua? Usituwekee hisia zako hapa. Mimi naamini cdm kiko imara tatizo lililopo ni mtiririko wa madaraka. Viongozi walio juu lazima wawasiliane na walio chini yao nchi nzima. Continuous feed back is very very important.
 
Shauri zako
Utakapofika kuitwa Ben saakumi ndo utajua vizuri.

Kama kilishajifia mnahangaika nacho cha nini?Nadhani CHADEMA kimekua chama chenye miujiza kwa uhodari wake wa kufa mara nyingi na kufufuka mara nyingi sana
 
Kama anakiua CHADEMA si ndio ungefurahi zaidi?

Kama Mwigulu aliweza kujaribu Kumhonga Mgombe Udiwani Huko Arusha ajitoe na kuhamia CCM itawashinda nini kuhonga madiwani waliopo?

Picha za Mwigulu akiwa nyumbani kwa Diwani huyo ziliwekwa hadharani.Kwa aibu kubwa hakuwahi kuongea chochote baada ya kuumbuliwa

Ni hatari sana yaan madiwani wanajongeka!!! Hicho sio chama sasa ni genge tu na kila mtu anatazama tumbo lake kwanza. Ndio maana wanahongeka kirahisi
 
Mkuu nakusalimu kwa jina la Dr Slaa.Ama baada ya salamu naomba kukumbusha/kukuarifu kuwa kuna diwani wa chama chenu ccm mbulu na mwingine korogwe vijijini nao wamejiuzulu nafasi zao.Mkuu unafikiri kujiuzulu kwa madiwani wenu ni kutokana na mgawanyiko wa ndani ya chama baada ya akina flani kuhojiwa na kamati kuu?

Huwa nashangaa tabia hii ya kujilinganisha na CCM......kuna haja ya kuwa na mbadala wa vyama hivi kama asemavyo kitila.
 
uwezo wako wa kushangaa upo kama wa nyumbu!!!!!

unasomeka upo katika kundi la wafilisti, badala kukaa kimya akiue chama mtawale bila hofu, wewe eti unawashtua.

wewe una ujinga wa kusomea, si bure.

Kamanda nimependa jibu lako. Yaani wewe unaongozwa na Mungu kabisa. Majibu ya busara...big up
 
Hata wakibaki wa 3 tu ndani chama
lazima mawazo yatatofautiana tu na ndio uimara wa chama lakini wao mkitofautiana basi wewe ni muhaini msaliti chama kinaendeshwa na mawazo gongana alafu inapitishwa wazo moja
 
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.

Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.

Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.

Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.
inasikitisha sana kuona kiongozi wa juu kabisa wa chama cha siasa kuendeleza porojo kuwadanganya wanachama wake wasiojielewa
 
Ccm kama siasa zingekuwa zinafanyikia kwenye mitandao, mngekuwa mnajihakikishia ushindi mchana kweupe, lakini bahati mbaya mkiingia filied mnakataliwa mbaya wananchi, hivi mbona hawa madiwani wa ccm waliojiuzuru wenyewe bila kununuliwa huzungumzii, unawazungumzia wasaliti tu ambao ccm wamewanunua kwa gharama kubwa, tuone huu mfumo wenu wa kufanya siasa utawafikisha wapi, huku mnawanunua, kule wanajiuzuru wenyewe, sijui nani anayeumia hapo.
 
Kama kilishajifia mnahangaika nacho cha nini?Nadhani CHADEMA kimekua chama chenye miujiza kwa uhodari wake wa kufa mara nyingi na kufufuka mara nyingi sana
Ben Saanane. CCM hawaishi vituko, eti adui yao wanaona ni mgonjwa ila wao wako busy kushauri dawa ya kunywa ili apone. Na wanaonyesha hudhuni kubwa usoni eti mgonjwa atakufa tumieni dawa hii. Sasa dawa wanayompatia adui chupa imeandikwa Maji ya Uzima ila ndani iko Dawa ya kumaliza maisha.
Hii ni kama wakati wa maamuzi ya KK juu ya MM watatu ushauri wa huruma ulikuja mwingi tuu na leo kiko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Uwongo hauwezi kushinda ukweli hata siku moja. CHADEMA chini ya Dr Slaa ni mpango wa Mungu.

Zindukeni nyinyi watu mliolala usingizi wa pono wakati wa jua kali.Nilikuwa nikiamini kuwa watu wanaokipenda CCM ndiyo hawana ufahamu wa kutosha juu ya kinachoendelea ndani ya Serikali na ndani ya nchi yetu i guess i was wrong wengi wanaoshabikia Chadema ndiyo bure kabisa.Wengi wenu mnaimba sana wimbo wa mabadiliko,Mkiulizwa ni mabadiliko gani mnayoyataka hamyajui!Kuna huu wimbo mwingine mnaopenda sana kuuimba unaitwao ufisadi,Haya mkiulizwa kwani hao mafisadi wapo wapi zaidi mtakimbilia kuitaja CCM tu kwamba ndipo mafisadi walipo lakini mnasahau kwamba ufisadi haupo ndani ya serikali ya CCM pekee,Ufisadi umetamalaki kila mahali,Kama ni kupambana na mafisadi basi tupambane nao kila mahali,Kwenye Taasisi za Kidini,Mashirika,Makampuni,Viwanda,Taasisi,Vyama vya Siasa kwote huko mafisadi wapo na tupambane nao kwa nguvu.I hope nimekupa mwanga juu ya kile ninachokipigania kama Mtanzania huru
 
tulieni mpini uwaingie na bado, uchaguzi ukija tunachukua ongezeni chopa za kutosha, mtavuna mabua:boink:

Mleta uzi na wewe mnafikiri kwa kutumia

AT zlu SSizQAAAAAElFTkSuQmCC
hii.....
 
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.

Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.

Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.

Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.

Kwani chadema ikifa si ndo furaha yenu sasa unalalamika nini? Mnawanunua kwa hela halafua mnalalamika eti Dr. Slaa anawalaumu CCM kwa kuwanunua madiwani wake.. Kwani ni uongo?
 
mkuu hujaifahamu kanuni ya join them in order to win or fight them?
 
Back
Top Bottom