CHADEMA, Mshaurini Dr. Slaa abadilike, anakiua Chama!

CHADEMA, Mshaurini Dr. Slaa abadilike, anakiua Chama!

Ukiona wapizani wa CHADEMA hawana hoja nyingine zaidi ya kukiongelea kila muda ujue wameshikwa pabaya,hivi nyie ccm Tanzania chama cha upizani ni CHADEMA TU..
 
Huyu mleta mada kanyimwa akili za darasan na inaelekea hata za maisha nazo kanyimwa sasa kama CHADEMA kinakufa CCM wangekuwa wanalala tu sio kila kukicha kupanga njama za kukichafua
 
Anakiuaje chama ambacho kilishajifia siku nyingi zilizopita?

Hahaha we mama comedian nini kwa maana unachekesha.CHADEMA kingekuwa kimeshakufa MBNA sasa CCM wanakesha hawalali wanapanga njama kwa kutumia polisi
 
yaani zzk ametusaidia kuondoa watu wa beindogo kwenye chama, hawa ingekuwa hatari wangeweza kuuza kura ,karibu chuya au pumba zote zitaondoka ubaki mchele. VIvA CDM
 
CCM wamewanunua ndio. Hata Dr Slaa asingesema ningesema mimi...
Kwa nini watu wenu wengi wanakuwa wananunulika?Kama viongozi wenu wengi wananunulika,mnataka kuwaambia watanzania wasiwe na imani na CDM tena kwani wakishika uongozi wa nchi hii watanunuliwa na kufanya madudu yaleyale tunayoyaona sasa hivi chini ya magamba?Hivi kweli kama ni kweli wananunuliwa na magamba,hamjaweza kupata chanzo chake kweli na kuzuia hii tabia?
Mnataka kutuaminisha kuwa kila anayetoka CDM basi ni Yuda Iskariote?Kweli mnashindwa kufanya "VETTING" kwa viongozi wenu,mtaweza kufanya "VETTING" kwa viongozi wa taifa kama mkipewa ridhaa ya kuongoza nchi?Mbona CDM ndio wapiga kelele wa kwanza kuwa vyombo vya serikali havifanyi 'VETTING' kwa viongozi mbalimbali wanaoteuliwa?
 
CHADEMA ni mpango wa mungu haya yote yanatokea ili chama kiwe bora
 
madiwani watatu ccm wajiuzuru embu tumjadili kikwete kwa nini wanaojiuzuri wanamhusisha na ujangiri na wizi wa mali za umma
 
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.

Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.

Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.

Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.

Dr. Slaa unaua CHADEMA.

Wewe f. a l. a nini? Dr Slaa kichwa siyo kiazi kama wewe na unaongea kutoka Lumumba huna lolote m .a t. A . K .o
 
Dr Slaa ndiye mwenyewe kanyoosha baadhi ya mambo hapa nchini nimemkubali. Mlete mada hujui kuangalia vitu kiundani.
 
Na walio hamia cuf nao ------------ na cuf kukidhoofisha chama....
 
Matatizo ya ndani yanatakiwa yatatuliwe ndani kwanza ndio uongozi bora si kufukazana mwisho wa siku kitabaki nini...basi km ni hivyo chadema ni chama cha wasaliti maana haijulikani kesho nani atatuhumiwa kukisaliti chama.hhahahahah siasa kweli ulaji kwa maslahi ya wachaaaache mweeeeee
 
Kwa nini watu wenu wengi wanakuwa wananunulika?Kama viongozi wenu wengi wananunulika,mnataka kuwaambia watanzania wasiwe na imani na CDM tena kwani wakishika uongozi wa nchi hii watanunuliwa na kufanya madudu yaleyale tunayoyaona sasa hivi chini ya magamba?Hivi kweli kama ni kweli wananunuliwa na magamba,hamjaweza kupata chanzo chake kweli na kuzuia hii tabia?
Mnataka kutuaminisha kuwa kila anayetoka CDM basi ni Yuda Iskariote?Kweli mnashindwa kufanya "VETTING" kwa viongozi wenu,mtaweza kufanya "VETTING" kwa viongozi wa taifa kama mkipewa ridhaa ya kuongoza nchi?Mbona CDM ndio wapiga kelele wa kwanza kuwa vyombo vya serikali havifanyi 'VETTING' kwa viongozi mbalimbali wanaoteuliwa?

JAPO UMEANDIKA KISHABIKI maandazi KIDOGO , LAKINI NAKUUNGA MKONO , LAZIMA SASA ( FROM NOW ONWARDS ) CDM IWAEPUKE WAGOMBEA WENYE NJAA KALI , JAPO SI VIZURI KUWATENGA MASIKINI LAKINI MASIKINI WA KIPATO WANANUNULIKA KIURAHISI SANA , WANACHELEWESHA UKOMBOZI .
 
Kwa nini watu wenu wengi wanakuwa wananunulika?Kama viongozi wenu wengi wananunulika,mnataka kuwaambia watanzania wasiwe na imani na CDM tena kwani wakishika uongozi wa nchi hii watanunuliwa na kufanya madudu yaleyale tunayoyaona sasa hivi chini ya magamba?Hivi kweli kama ni kweli wananunuliwa na magamba,hamjaweza kupata chanzo chake kweli na kuzuia hii tabia?
Mnataka kutuaminisha kuwa kila anayetoka CDM basi ni Yuda Iskariote?Kweli mnashindwa kufanya "VETTING" kwa viongozi wenu,mtaweza kufanya "VETTING" kwa viongozi wa taifa kama mkipewa ridhaa ya kuongoza nchi?Mbona CDM ndio wapiga kelele wa kwanza kuwa vyombo vya serikali havifanyi 'VETTING' kwa viongozi mbalimbali wanaoteuliwa?

Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani...
 
sasa kama Slaa anaua chama si ndio vizuri mfurahi?

yani mkuu hapa ndipo nashidwa kuwaelewa haya paka shume sijui shida yao iko wapi kama tayari chama kimekufa si wafurai na kusherekea bar asubuhi mpaka jion nyambafu zao, kwel nimeamini cdm ni kama sindano ya ganzi
 
safi sana ccm kutufuatilia chadema inaonesha ni jinsi gani tuna waduu kiaina peopls poweeeeer!!!
 
Back
Top Bottom