Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.
Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.
Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!
Hapo kwenye bold sijakuelewa,una maanisha "wanadai bila mzaha kuwa wameshinda"?Maana nimeshindwa kuelewa maudhui haswa ama lengo la thread hii.Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.
Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.
Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.
Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.
Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!
Lakini kwenye sita kwa sita hata kama ukipiga bao kumi ni kazi bure kama hutamfikisha mwenzio kule kunako.
At the end of the day pamoja na bao zako kumi atamtafuta atakayempandisha hadi mlima kilimanjaro kwa staha na siyo fasta fasta.
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.
Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.
Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!
Nilikuwa natafuta cha kumjibu huyu kijana.
Kwasababu wewe mzee mwenzangu umeamua kumjibu kwa lugha alotumia, basi mimi nabakia kusema....
Thanks you EMT for this useful post.
CCM Kata 22=kura 29 000
CHADEMA Kata 5=kura 28 800
Hapa nani mshindi?
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.
Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.
Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!
Hata hivyo nategemea wafuasi wa Chadema watamuunga Nape mkono maana tokea juzi wamekuwa wakijisifia kuwala chenga CCM japokuwa walifungwa.
Hoja ya wafuasi wa Chadema hapa ni: Wametufunga lakini tumewala chenga. Utaikuta hii hoja kwenye thread kama hizi
: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ura-29-000;-chadema-kata-5-kura-28-800-a.html
mchezo huu mi rahisi kuelewa nashangaa hata katibu wao mwenezi ana kichwa kigumu kuelewa.
CCM ILIKUWA INATETEA KATA JUMLA 25
CHADEMA KATA 2
CUF 1
TLP 1.
KIPENGA KIMEPIGWA BAADA YA DAKIKA TISINI.
MATOKEO.
CCM KATA IMERUDISHA KATA 23 IMEPOTEZA KATA 2
TLP 1 IMERUDISHA KATA YAKE 1 IMEONGEZA KATA 0
CHADEMA 5 IMERUDISHA KATA ZAKE 2 NA IMEONGEZA KATA 3
CUF IMEPOTEZA KATA 1 HAKUNA WALICHOONGEZA.
Kitu simple kama hicho kina ugumu gani wa kuelewa wakati kitu kinaonyesha losers na winner ni nani ndiyo maana nchi tuna matatizo
makubwa ya uongozi kama kiongozi wa chama kikubwa kama hiki haelewi hesabu rahisi namna hii unategemea anao uwezo wa kutatua matatizo ya wananchi kweli.
atuambie kwa hesabu hizi, anajivunia kuishinda wapi cdm!?