Wanaodhani na kueneza nimekimbia si sawa, si kweli...SINA MUDA WA KUKESHA NA NYIE, MUNGU ALIUMBA USIKU TUPUMZIKE.....POLENI MLIOKESHA KUSUMBUA VICHWA MTAPOTOSHAJE UKWELI KUWA....mpira magoli si chenga......
Nawashukuru mliotambua na kukiri kuwa "nape kiongozi mkubwa" ...walau akili zimeanza kuwarudia huo ni mwanzo mzuri....! LAKINI KUBWA HAPA PIA NIMEFURAHI UKIRI WENU KUWA MAJIMBO NA KATA ZOTE NI MALI YA CCM, NDO MAANA YA HESABU YENU YA KATA MBILI KUZICHUKUA NA MKAFURAHIA KAMA MAJUHA....MPIGE HESABU HII HATA MWAKA 2014 NA 2015......MUWE NA LUGHA HII HII.....HAKIKA MTAONYESHA UKOMAVU MKUBWA SANA WA KISIASA....
ushindi wa magoli ya ofside kama manchester jumapili, subili ushindi wa ukweli kama wa chelsea jumatano bila ofside,
ndio utajua kua 2015 refa atakua sio wenu'tume ya katiba',
hamna goli la mkono 'kuiba kura'
goli la offside'daftari la wapiga kura.