CHADEMA, mpira ni magoli sio chenga!

CHADEMA, mpira ni magoli sio chenga!

Hapo kwenye bold sijakuelewa,una maanisha "wanadai bila mzaha kuwa wameshinda"?Maana nimeshindwa kuelewa maudhui haswa ama lengo la thread hii.

Kwasababu kama statement hiyo bolded ni sahihi,then ina maana kwamba wanadai kwa mzaha kabisa kuwa wameshindwa(kwa kutumia hilo la "chenga tumewala).

Lakini tena kwa upande mwingine,kama ulimaanisha "wanadai bila mzaha kuwa wameshinda",then hilo la "chenga tumewala halina mantiki kwasababu ni mzaha.

Sasa umeznisha thread na sentensi kama tatu,lakini bado sijaona mantiki hapo.Funguka zaidi,kwa level yako ukianzisha thread tunategemea kukuta nondo na si kauli nyepesi zisizoeleweka.

Ndo hawa ipo siku watasema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Marekani uwezo wao ni mdogo sana hata wa kuandika tu
 
Nape hivi lile jengo la vijana ulilo kuwa unalipigania vipi mpaka leo lipo au ndiyo ukuu wa wilaya ulikuziba mdomo
 
suntzu15_1024.jpg
 
Naipongeza CDM kwa kuwapa wakati mgumu sana CCM.Maana isingekuwa hvyo huyu bwana mdogo hangesema bali angeendeleza wimbo wao wa "CCM WAMECHUKUA WAMEWEKA WAAA.CCM EE SHANGILIA USHINDI UNAKUJA"Bahati mbaya wimbo huu umesaulika kwa watanzani umebaki katika masikio ya mafisadi na unaimbwa kimya kimya maana wakisikika wataambiwa mmechukua sana sio majimbo ila lasilimali za nchi.Pole NAPE maana mbio za pacha sakafuni mwisho wake.....NAPE HUNA MSIMAMO WALA HUJUI NGOMA UNAYOCHEZA.LAKINI NIWAPONGEZE KWA KUWA NA MTAJI WA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA,MASKINI WANAOKUBALI KUONGWA ELFU TANO,SUKARI NA KANGA NA TUME ISIYO HURU,Kama kungekuwa na tume huru ungeeleweka kwa ushindi mnaopata lakn ktk hli UMEFULIA
 
Wanaodhani na kueneza nimekimbia si sawa, si kweli...SINA MUDA WA KUKESHA NA NYIE, MUNGU ALIUMBA USIKU TUPUMZIKE.....POLENI MLIOKESHA KUSUMBUA VICHWA MTAPOTOSHAJE UKWELI KUWA....mpira magoli si chenga......

Nawashukuru mliotambua na kukiri kuwa "nape kiongozi mkubwa" ...walau akili zimeanza kuwarudia huo ni mwanzo mzuri....! LAKINI KUBWA HAPA PIA NIMEFURAHI UKIRI WENU KUWA MAJIMBO NA KATA ZOTE NI MALI YA CCM, NDO MAANA YA HESABU YENU YA KATA MBILI KUZICHUKUA NA MKAFURAHIA KAMA MAJUHA....MPIGE HESABU HII HATA MWAKA 2014 NA 2015......MUWE NA LUGHA HII HII.....HAKIKA MTAONYESHA UKOMAVU MKUBWA SANA WA KISIASA....

Mungu yupi unamuongelea mh(siamin ktk hilo nn mh)...........are sure unautumia usiku kulala,afu Nape ni kiongoz mkubwa kwa protokali ipi,jitahidi kutokkwenda na mawaziri maana mtu mzima kuzomea si vyema.......
 
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.

Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.

Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!

Kuisapoti ccm=mpaka uwe na mtindio wa ubongo na usijue unachokifanya.Huwez kutetea ccm huku unanjaa wakat wenzako wanaitetea huku wanaiba pembe za ndovu,wanaiba wake za watu,wanapeleka pesa zako mlipakodi uswis na wanajenga maghorofa town huku wanakula bata na warembo.Eti tumethubutu tumeweza na tunasonga mbele labda kwa wizi,utapel na uongo kwa watz na maliasili zao.Nape na ccm yenu muda wenu umeshakwsha we need changes wth development na cyo kuimba na kujitapa majukwaan for nothng!.Waweza kulala baada ya kusoma hapa.
 
What a low profile argument....by Mjumbe wa CCM NEC na katibu mwenezaji!!! kuna ball passing, penetration, possession then goal scoring sasa sijui wewe Nape unaongelea goli iliyofugwa kwa njia ipi? Kama ni kumuhonga refa awape wachezaji wa timu pinzani red kadi, akubali kuhesabu off-side goals, akatae goli za mpinzani wako, uki-dive kwenye box ya mpinzani wako upewe penalty, ukilalamikiwa kudaka mpira wakati sio golikipa refa aseme twendelee n.k. hapo una haki ya kuongea katika low profile kama hii. Sioni ujuzi, uwezo na nguvu ya kiuongozi katika kujenga hoja na mikakati yenye kuleta ushindi katika ongea yako, you make so low speeches na hii inaigharimu sana CCM.

Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.

Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.

Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!
 
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.

Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.

Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!
Ukiangalia sana, ni kweli kabisa mpira ni magoli. 29-5 ni magoli mengi sana
 
Sawa kabisa hawa jamaa hawana tofauti na wala mirungi.kwani hupenda kuota mchana na kujifariji.mungu wazindue kwani ushindi kwao wausahau ccm itaemdelra kupeta tuuu.
 
Nape hivi lile jengo la vijana ulilo kuwa unalipigania vipi mpaka leo lipo au ndiyo ukuu wa wilaya ulikuziba mdomo
Mkuu muulize ameungana na majambazi na majangili wakati alitamba kujivua gamba ni kuwaondoa kwenye safu. Mnafiki wa kutupa. Huyu ni mchawi bila shaka!!
 
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.

Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na kufungwa magoli ya kutosha lakini aaah chenga tumewala...... aibu sana.

Sasa hapa kila wakijadili matokeo ya udiwani kwenye kata 29 ambapo waliambulia kata 5, wanadai bila mzaha kuwa WAMESHINDWA!!!!!

Wewe urudi tu CCJ! umeshindwa sera ya kuvua magamba!! imebidi uungane nao meaning Majambazi na majangili. Wamekugawia kitalu kipi? Kweli kuganga njaa kubaya unatukana hadi utashi wako!! pole kijana. piga kelele zaidi labda utapata mfupa mwingine!
Wewe mwenyewe uliwahi kudai kijana akiwa mnafiki ujanani huwa mchawi uzeeni!! Umekula matapishi kwa kuanza kukenua mifupa ya mdomoni na EL gamba kuu!! utakuwa mlozi ukubwani wewe!!
 
A MAN IS NOT DEVELOPED IF HE SIMPLY CARRIES OUT ORDERS FROM SOMEONE BETTER EDUCATED THAN HIMSELF WITHOUT UNDERSTANDING WHY THOSE HAVEBEEN GIVEN.nyerere oct.16 1968.najua umetumwa na wakubwa wako
 
Kingine kinachotia Huruma ni huu ushabiki usiokuwa na kichwa wala miguu,yani inatia huruma lakini mwisho wa siku ni aibu ukikuta namna watu wanavyozungumza juu ya uchaguzi wa mwaka 2015 namna ambavyo CCM itashindwa na CHADEMA kama una roho ndogo unaweza kukimbia na kuamua kuachana na siasa na kama wewe ni mwanaccm unawez pia kuamua kukihama chama!

Kwanza binafsi sitaki kuamini kwamba CCM itashinda ama itashindwa kwenye uchaguzi mkuu ujao ama CHADEMA itashinda ama kushindwa,nasema hivyo kwa sababu kwa ushabiki ulioko hivi sasa unaweza kuwa ni sumu kwa CCM na faida kwa CDM,au faida kwa CCM na Sumu kwa CDM!.Kilichopo na hasa kwa wale wanaoonekana wako upinzani wamejaa ushabiki mtupu badala ya dhamira ya kweli kutoka moyoni.

Hata hiovyo wapo ambao wana dhamira ya kweli na wamekusudia kufanya kweli na hata leo hii ukiwaambia lazima kinaeleweka na hata baada ya miaka kumi kweli wako Serious!,lakini kundi kubwa ukiliangalia na kulichunguza kwa makini unagundua kwamba ni wanafiki wanafuata upepo.

Lakini ukiniambia kura zioige leo CCM bado itashinda lakini si kwa ushindi mkubwa kwa sababu wale wanaoshabikia bila kuwa na moyo wa dhati watapiga kura zao lakini kwa kusema hebu ngoja tujaribu,na hapo ndipo utakapokuwa mwanzo wa kuinyima kura CDM kwa sababu watu wa namna hiyo ni rahisi kubadili mawazo,ogopa sana mtu ambaye yeye kazi yake siku zote ni kusema ndio mzee hafnyi tathmini yoyote.

Hili jambo nimelifanyia utafiti kwa muda mrefu sana,kwamba CCM inaonekana kama vile mnyonge lakini ina watu wake ambao ni wa ukweli mtupu,lakini upinzani na hasa CDM wanaonekana wana kundi kubwa la watu nyuma lakini kundi ambalo halina maamuzi ya mwisho,badala yake maamuzi yao yanakuja kuamuliwa na lile kundi la wachache ndiyo maana mwisho wa siku malalamiko yanatokea.

Nina mifano hai miingi sana ambayo nimewahi kuishuhudia na hasa kwenye hizi chaguzi ndogo,jambo ambalo wakai mwingine linatia hasira kwamba ule upande ambao ulikuwa unaona kila siku shamrashamra nyingi pamoja na maandamano yanayoungwa mkono na maelfu ya watu tena kila kundi,lakini mwisho wa siku ndilo linakuja kushindwa inauma sana.

Pengine yawezekana watu wameanza kubadilika kwa sababu nimeangalia chaguzi ndogo kama mbili hivi za hivi karibuni ambazo watu wamefanya maamuzi kama ambavyo taswira ilikuwa ikijionyesha tangu mwanzo,ingawa nazo ni katika maeneo ya watu ambao wanaonekana ni kabila moja ama kabila filani lina wingi wa watu!!,kwa hiyo wakati wa maamuzi wnafanya maamuzi kama familia!!

Yote kwa yote kaka Nape ni vyema ninyi nyote mkaendelea na mikakati yenu ya kuwatumikia watanzania kwa moyo wa dhati,vinginevyo 2015 mnaweza kujikuta mkiwa chama pinzani,lakini kwa wapinzani hususani CDM ambacho hakuna ubishi kwamba ndiye baba wa upinzani hivi sasa nchini,waendeleze juhudi za kuwaelimisha watu wao na kuwa na misimamo,kuba kuwaondoa uoga na kuwa na uelewa wa nini wanapaswa kufanya,vinginevyo yatakuja yaleyale ya 2010 ya kuibiwa kura,mara sijui nani kafanya nini>
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom