Katasheka jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 528
- 359
Kama ni bei muulize Mbowe, aliuza chadema kwa lowasa shilingi ngapiLeo Dr.Slaa anaonekana kama mungu baada ya kupatikana bei yake.ALipokuwa CHADEMA mlikuwa hamuishi matusi.
Kama ni bei muulize Mbowe, aliuza chadema kwa lowasa shilingi ngapiLeo Dr.Slaa anaonekana kama mungu baada ya kupatikana bei yake.ALipokuwa CHADEMA mlikuwa hamuishi matusi.
Kwani huko social media wanafanza nini?Hizo hoja hata wakiwa nazo wataziongelea wapi wakati baba mwenye nyumba kawaziba midomo?
Petro si wa kiwanho hicho. Ukifuatilia hoja zake huwa ni hovyo na unreasonedPetro huenda una hoja sitaki kukupinga. Umesema unakitetea na kukiunga mkono cdm na huenda kweli wanarukia matamko. Hebu toa wazo la ajenda yoyote unayoona inafaa ili cdm waisimamie na ukiweza utoe njia za kuitekeleza kwenye mazingira inayokutana nayo toka kwa vyombo vya dola/ serekali. Isije ikawa na ww unatafuta fursa kwa kuiponda cdm kumbe huna wazo lolote zaidi ya kuzingua.
Dereck kama reasoning ndiyo hii, atakuwa anawalia hela tu bila kushinda kesi yoyoteAtakuwa anawalia tu pesa zao uwezo wake kama Mwanasheria ni finyu mno.
Maswali ya namna hii ni ya mtu wa kushindwa kujibu hoja. Tunayajua sana , unamwambia say mwanamke yule ni mrembo, kwa vile hataki kushindwa anajibu eti whose standard are the standards? Unamkumbusha kuwa sawa, though beauty is not a concept, but a beautiful thing is always appreciated by many, ndicho kipimo. Sasa hayo mambo ya metric walikudanganya, not always applicable. Kuna tacit knowledge kama kwenye makocha wa mpiraWhat's a highly reasoned argument?
What's the metric to it?
And who decides that metric to be the metric and why?
A lawyer is a philosopher? Per who?
Maswali ya namna hii ni ya mtu wa kushindwa kujibu hoja. Tunayajua sana , unamwambia say mwanamke yule ni mrembo, kwa vile hataki kushindwa anajibu eti whose standard are tje standards? Unamkumbusha kuwa sawa, though beauty is not a concept, but a beautiful thing is always appreciated by many, ndicho kipimo. Sasa hayo mambo ya metric walikudanganya, not always applicable. Kuna tacit knowledge kama kwenye makocha wa mpira
Sijawahi kuona ccm nyepesi kama hii , bila polisi ccm hii haiwezi kusimama hata kwa nusu saa ! hata hivyo hawa inahitajika mikutano ya siku 7 tu kuwang'oa , wala si masiku mengi , ni chopa 3 tu kwisha kazi !Chadema wanafanyakazi kulingana na utawala uliyopo, huu utawala siyo wa kujengeaa hoja ni wa kusoma matukio na siyo kutumia akili nyingi.
Aaa nini sasa hii,hapana huyu sio mselewa mtu kapola akaunti!GuJike at work!
Exactly!Chadema wanafanyakazi kulingana na utawala uliyopo, huu utawala siyo wa kujengeaa hoja ni wa kusoma matukio na siyo kutumia akili nyingi.
Inaweza kuwa wala sio kufikiwa, ni uwezo wake tu wa kuelewa mambo!Petro E. Mselewa, pole sana...naona na wewe wamekufikia na ndio maana tunamlilia Mh. Tundu Lissu, watu wenye msimamo kama wake na wasio na bei wanatokea kwa kudra ya Mwenyezi Mungu. Kumbuka pamoja na Chadema kupewa mamlaka na wananchi kulisimamia na kuiongoza jiji la Dar es Salaam na wakazi wake, wanazuiwa kutekeleza mipango yao.
Viongozi wake wa kuchaguliwa hawana sauti katika uongozi wa jiji na kibaya zaidi hata vyanzo vya mapato yako mikononi mwa wakuu wa kuteuliwa. Kuanzia sasa nitakusoma kwa tahadhari kubwa, kwani naona hata siasa unayoijua ni ya kukariri kwani hauendani na hali halisi. For heaven's sake try to go with the times, don't live in the past...wengine ni wazee lakini tunajikongoja hivyo hivyo, wake up son.
Remember, no taxation without representation...does that ring a bell?
Unafahamu kwa sasa wananchi wanahitaji kuambiwa nini katika mazingira ambayo taifa limo, na katika mazingira ambayo ufanyaji siasa kwa upande wa upinzani ulivyo? Nadhani wewe na huyo "learned brother" mwenzako hamuelewi wala hamuwezi kuitofautisha leo na jana. Kama Chadema wasingekuwa na hoja zinazogusa wananchi Lissu asingemiminiwa risasi 38, wala akina Katambi wasingehamishia jeshi zima la polisi kwenye uwanja wa Sinza jana! Kalaghabaho...Mkuu na wewe unazingua...
Forum ya kusemea "dikteta uchwara" mnaipata wapi?
Anachokisema learned brother ni kwamba, hakuna hoja maalumu ambazo zipo kwenye fingertips za wananchi wanaoiunga mkono chadema.
Sababu ya kukosa forum mimi naipinga, mapinduzi ya Misri yalisababishwa na watu wa mtandaoni, otherwise muwe mnataka majukwaa kuwapiga fix wananchi.
KabisaSijawahi kuona ccm nyepesi kama hii , bila polisi ccm hii haiwezi kusimama hata kwa nusu saa ! hata hivyo hawa inahitajika mikutano ya siku 7 tu kuwang'oa , wala si masiku mengi , ni chopa 3 tu kwisha kazi !
Pamoja mkuuExactly!
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Chadema kilijengeka kwenye misingi ghilba,chuki na uongo,kwa sasa nafasi ni finyu mno kuwezesha kutengeneza uongo,wamebaki mitandaoni tu kana kwamba huko ndiko kwenye wapiga kuraLengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Point of corrections Mr speaker sir, "All foxes must be first chased away then hens might be warns against wondering into the bush" by Chinuo Achebe. Correct quotePetro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kuongelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
Jamaa si kapiga stop, hataki siasa kisa atashindwa kuongoza kama CDM wakiwa majukwaani.Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Ok, nitackeki, nimeisoma miaka ya 70! asante.. ingawa umekosea kidogo grammar! haina shidaPoint of corrections Mr speaker sir, "All foxes must be first chased away then hens might be warns against wondering into the bush" by Chinuo Achebe. Correct quote