CHADEMA 'mnazingua'

CHADEMA 'mnazingua'

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
 
Hizo hoja hata wakiwa nazo wataziongelea wapi wakati baba mwenye nyumba kawaziba midomo?
Akili za kuambiwa changanya na zako,viongozi wako walisema wanaenda mahakamani toka huyo unayemwita baba atoe hilo mnaloliita tamko sasa ni mwaka wa pili hakuna chochote viongozi wako walichokifanya,kila siku wanajigamba kwenda mahakamani kupinga lakini mpaka leo no any positive sign kwenye hilo,inamaana hii hali wanaipenda,na wanafanya hivo kwa kuwa wanaona ina maslahi kwao.
 
2015 ndo ilikuwa anguko rasmi la chadema, na mageuzi makubwa ya CCM. wakabadilishana kwa chama tawala kuanza kusimamia agenda ambazo zilikuwa zikiimbwa na vyama vya upinzani, na vyama vya upinzani vikazikana agenda zilzofikisha hapo vilipo. Watu huwa wanakataa lakini ukweli uliowazi demokrasia inayoliliwa na vyama hivi inapaswa kuanzia katika vyama vyao kwanza, laiti kama ubabe na mabavu yasingetumika ninaamini leo hii CUF ingekuwa imara, Chadema ingekuwa imara
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kuongelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
 
aiseee.... huu uandishi tu mimi hoi. lugha hubadilika kuendana na muktadha kwa huku tulitegemea watu wenye kujielewa watumie lugha stahiki. sasa hayo maneno mengine unapoweka hata kama ulikuwa umepata sehemu point sasa unataka nawe upost inakuwa una haribu katika english tunaita diction. yaani choice of words. it is very important kuzingatia hilo katika uwasilishaji wa jambo lolote lile isipokuwa kama ume lenga watu wa aina yako..

Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
 
Akili za kuambiwa changanya na zako,viongozi wako walisema wanaenda mahakamani toka huyo unayemwita baba atoe hilo mnaloliita tamko sasa ni mwaka wa pili hakuna chochote viongozi wako walichokifanya,kila siku wanajigamba kwenda mahakamani kupinga lakini mpaka leo no any positive sign kwenye hilo,inamaana hii hali wanaipenda,na wanafanya hivo kwa kuwa wanaona ina maslahi kwao.
Umesema viongozi wangu? Sina kiongozi,najiongoza mwenyewe!
Hata wakienda mahakamani itakuwa kazi bure.......tangu lini kesi ya nyani ikashindwa kwenye mahakama ngedere?
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Siasa hadi 2020 Lazima watafute mbadala wa kucheulia nyongo
 
Umesema viongozi wangu? Sina kiongozi,najiongoza mwenyewe!
Hata wakienda mahakamani itakuwa kazi bure.......tangu lini kesi ya nyani ikashindwa kwenye mahakama ngedere?
ila kwa haohao nyani na ngedere Esther Bulaya alishinda kesi dhidi ya Wassira,hiyo hiyo unayoiita nyani na ngedere Lissu anaenda na kushinda kesi hiyohiyo nyani na ngedere wakishinda upinzani mnasema wametenda haki.
 
aiseee.... huu uandishi tu mimi hoi. lugha hubadilika kuendana na muktadha kwa huku tulitegemea watu wenye kujielewa watumie lugha stahiki. sasa hayo maneno mengine unapoweka hata kama ulikuwa umepata sehemu point sasa unataka nawe upost inakuwa una haribu katika english tunaita diction. yaani choice of words. it is very important kuzingatia hilo katika uwasilishaji wa jambo lolote lile isipokuwa kama ume lenga watu wa aina yako..
GuJike at work!
 
Nilikuwa nawakubali sana chadema kipindi cha huko nyuma ila kwa sasa siwaelewi kabisa wanahitaji nini. Wamebaki na hoja nyepesi sana. Ili kuwaelewa inabidi uwe umelewa
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Mkuu ukivaa Tshirt yenye picha ya Pray4Lissu unajikuta uko Central Police ukisubiria hakimu akuhukumu si tena kwa kuvaa tshirt bali kwa kuandamana bila kibali.

Ukikutwa umevaa Tshirt ya M4C uko maeneo ya MAABARA ukitoa damu napo jiandae kulala kituo kilichopo karibu na hospitali husika kama Temeke basi kituo kikuu cha Polisi Temeke,kama Muhimbili basi pale karibu na Daraja.

Unataka Chadema wafanyeje ndugu yangu??Ukiongea kama Lissu basi jiandae kwa kula mawe 38 bila huruma.Ukiwa unapigana kwa maneno wenzako wanapigana kwa SMG unataka wafanyeje Mkuu hebu tupe hint.
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Tusaidie kumwambia spika wako akumbushie Kwa bosi wake Katiba mpya kwanza neo name wewe ulete hoja yako ya kuzinguliwa
 
ila kwa haohao nyani na ngedere Esther Bulaya alishinda kesi dhidi ya Wassira,hiyo hiyo unayoiita nyani na ngedere Lissu anaenda na kushinda kesi hiyohiyo nyani na ngedere wakishinda upinzani mnasema wametenda haki.
Hizo ni minor cases, hivi unatarajia jaji wa nchi hii atengue tamko la rais?
 
Back
Top Bottom