GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,639
huyu ni lawyer? aiseeeeeeeeeeeeeeeee.
Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother