CHADEMA mnampuuza Mbowe!

Nape anaweza akawa na point, kaandika kwa kifupi sana, tumpe nafasi afafanue kauli yake, kwa mfano, anaweza kutueleza ni namna gani ushiriki kwenye bunge wa wabunge wa Chadema unasababisha madhara kwa wananchi?
 
Nimeamini kukaa kimya ni busara sana
Hasa kama hujui nafasi unayoshikilia kitaifa.
 
nape ww kweri kilaza. hivi ni hisani gani ilifikia hawakukupiga chini kipindi walipomwaga mzee ma mwlim nyerer?
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

'Operation Chaos' bado inaendelea....!!!!!

Angalia nukuu hii toka kwa William Malecela.....facebook....

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Nape cheo chako sio cha kuporomosha matusi hata kidogo,hiyo kazi mwachie Lusinde na mwigulu.Kwa matusi yale ya jana kule igunga ahaaaa,heshima inashuka sana sana,katibu mwenezi,unaeneza matusi ni kitu cha ajabu sana.Elezeni sera za CCM ili kuweza kuwapa matumaini wananchi na sio kitu kingine,sasa leo tena unageauka kuwa msemaji wa CHADEMA hii ni hatari sana vijana ambao wapo nyuma yako.Kazi njema.
 
Lini umeanza kuwakumbusha wapinzani kazi yao ? Je kwetu yote yapo sawa? Wale wakuvuliwa gamba washatoka?

Assignment ya kumtafuta baba mzazi wako umekamilisha ndio unarudi jf na hoja mfu au ni stress za kukosa malezi bora ya wazazi?
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Kumbe Ighondu yuko CHADEMA!!!
 
Nape usirudi nyuma, CHADEMA hawana utashi wa kuongoza nchi, wasubiri mwakani wapigwe kipigo cha mbwa mwizi UCHAGUZI serikali za mitaa. Wao ni watumiaji vibaya fedha za wananchi kupitia utoto wanaonyesha bungeni
 
nape naye ana id nyingi kama vijana wake anayewalipa buku 7.
usishangae anakuja hapa na id ya nnauye jr na kusema ya kwake ni hiyo na ile nyingine imeingiliwa.
mi namshauri awashauri kina chama,ritz ,marcopolo,mtambowa,rejao,bungeni na vibaraka wengine wakiona kimenuka wazikane id nyingine.
 
hawa ndio wame 'like' bandiko la kijana nape hadi sasa!
ZeMarcopolo, Pasco, Rejao and 8 others like this.
Ukwaju, Sumu, MJIMPYA, MAFILILI, Precise pangolin, Chris Lukosi, utaifakwanza, RED Xs
Lini umeanza kuwakumbusha wapinzani kazi yao ? Je kwetu yote yapo sawa? Wale wakuvuliwa gamba washatoka?
ugonjwa ule ule aliouleza Dr. Pauline kwa Lukosi inaelekea ndio pia unamsumbua Nape, ...unauliza kitu alafu unajijibu!!! Kwa hiyo inawezekana amejisahau kama ana ID nyingine!
nape naye ana id nyingi kama vijana wake anayewalipa buku 7.
usishangae anakuja hapa na id ya nnauye jr na kusema ya kwake ni hiyo na ile nyingine imeingiliwa.
mi namshauri awashauri kina chama,ritz ,marcopolo,mtambowa,rejao,bungeni na vibaraka wengine wakiona kimenuka wazikane id nyingine.
 
the contemporary political trend in our country have been in critical counterfeit..,hii ni kwa sababu ya siasa mbovu na mbaya za chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao asiye na maadili wala ufahamu wa uongozi.,ni mwenyekiti anayeweza kuongoza wacheza show na waimbaji wao.,kwani ni mtu mwenye uzoefu katika tasnia ya muziki akiwa kama DJ maarufu hapa nchini.
 
Wewe ni miongoni mwa wanasiasa waliotajwa na gazeti la raia mwema toleo lililopita kwamba mnafanya harakati za kudhuru watu na ugaidi ili kusingizia wapinzani kusudi mkiitwa mafisadi nanyi mjibu ni magaidi lakini bahati mbaya mmegundulika mapema.Uongo?
 
Brother Mbona jana mkutano wenu ulikuwa na watoto wengi na akina mama tena vibibi huko igunga cjaona kijana wala mtu mwenye akili timamu Wale wote nikama wewetu, lakini ccm unachukua chako mapema kwakuona panaelekea kuwa jangwa. Kaoge kaka.
 
Leo umejaribu kuuweka ukomavu ambao hata mzee wako angefurahi kama ungekuwa na desturi hii. Mimi si mwanasiasa, na kiuhalisia huwa naamini kuwa wewe umechafuliwa tu na aina za siasa chafu za CCM. Siku zote jaribu kuwa mkweli. Mfalsafa mmoja wa Denmark aliwahi kusema "I will speak for the truth even if the heaven will fall down." Ivi ni kweli Nnauye hujui kuwa wanaofanya utekaji, utesaji na hayo madhambi siyo CDM? Ivi hujui namna mambo haya yanavyofanika? Hivi damu hizi unadhani Mungu anafurahia halafu mnafanya mzaha kama huu? Hapo ndipo unaniudhi sana hata kama ni kijana mzuri ninayekupenda. Hii dhambi utatubu wapi? Wakati fulani unapaswa kuwa an individual na jaribu kufikiri kama an individual. Najua hujawa na exposure kubwa ya kujua siasa tunazofanya ni za kizamani sana hasa kwa Tanzania nchi ambayo imekuwa na heshima kubwa na nzuri kwa miaka nenda rudi.

Kuwa chama cha harakati haina maana ya tafsiri ya kuua au ugaidi. Unataka kusema wanaharakati mbalimbali hapa Tanzania wanafanya hayo? Usitake kuanzisha jambo jipya. Mwalimu Nyerere aliacha kazi ya ualimu na kuingia katika harakati za kisiasa. Neno harakati maana yake ni "Movement." Unapofanya siasa unakuwa na "Potical Movements" za aina mbalimbali. Haina uhusiano na unachosema. Maana ya Mbowe ni kwamba Chama (CDM) sasa kinakomaa hakihitaji movements nyingi bali sasa kujenga mfumo wa chama zaidi. Nyenyerere (hayati baba wa Taifa) alipojiunga na harakati za kisiasa ni kwamba ilihitajika mipango na strategies mbalimbali za kukieneza na kukijenga chama. Au unataka kusema alifanya kazi ya ugaidi. Halafu kwa nini neno hili ugaidi mnalitumia sana? Makanisa yanachomwa wazi na mabomu yanatupwa wazi kuwadhuru Wakristo mbona hapa hamtaji sana ugaidi? Nnauye kuna nini? Hizi ni siasa mbaya sana. Makanisa ambayo kabisa bomu limetupwa kwa lengo la kudhuru na kuua mpo kimya na kukimbilia kusema huu sio udini hata kama utafiti haujafanywa. Labda kwa taarifa yako mimi nawapongeza wanaosema mpango huu mchafu dhidi ya makanisa sio ya udini. Wanasema hivyo ili ku-stabilize hali na hii kwangu ni dawa nzuri zaidi kuliko kila mahali kusema huu ni udini. Kwa nini mfano huu hautumiki kwa mambo hayo mnayopenda kusema "Ugaidi." Unatambua kuwa kitu unapokisema sana mara kwa mara unakiumba? Unajua falsafa ya watoto wadogo anayekuwa wa kwanza kumsemelea mtoto mwenzake kwa mama au baba huwa ndiye mkosaji? Ivi mkiacha siasa hizi za kuchafuana na kumwaga damu za watu haitakuwa siasa? I hate this.

Ndugu yangu na wanasiasa wote, tuonyesha transition and maturity ya kisiasa. Tumesema sana haya. Ebu sasa tuanzishe enzi mpya na siasa za ustaarabu hata kama mwenzako atakuchafua. Watanzania ni watu wa pekee sana. Sio watu wa vurugu lakini ni analytical sana. Kujua mbivu na mbichi kwao sio kazi. Kinachowaponza watanzania ni woga - but they know everything. Watanzania wengi ni waoga sana kwa sababu za kihistoria. Sasa isiwe nayo ni dili. CCM ni chama ambacho kimefanya mengi nchi hii - whether good or bad. Like other creatures, a time will come for CCM to slow down and reach its beginning if not its end. You will not avoid this. This is a principle and it is bad to fool yourself. Biblia na vitabu vingine vitakatifu vina mifano mingi ya hekima. Kadhi dhalimu alipoona mwisho wake umefika alijifanyia urafiki na watu ili atakapokuwa hayupo kwenye hicho kiti cha enzi basi apate marafiki wa kumpokea atakapoanza maisha mapya Usweken. Ukienda makaburini utaona wazee wengi wanapenda kusogelea makaburi. Kwa nini - kwa sababu kisaikolojia wanawaza na kutambua kuwa kaburi si adui yao tena na lipo karibu sana na wao. Ni ajabu sana kama wataanza kulitukana kaburi na kulikimbia. Mfano huu utusaidie binadamu. Kila kilicho na mwanzo kina mwisho. Au haya hayapo kwa CCM? This is very natural. Hata vyama vingine navyo ni hivyo hivyo. Leo CDM wanapendwa kila kona lakini wakifanya vituko kaburi linawafuata. Is just a matter of accepting the truth. Other wise you will make many things that cost the life of people to postipone the natural truth (deaath) - but it is always there even if you will go to the best hospitals. You won't cure death because it is part of life. Nawapenda wote wanaopenda kusema kweli mahali ambapo kweli exists.

Naomba nirudie kusema kuwa mimi binafsi naamini wewe binafsi unafaa sana kuwa kiongozi lakini kwa Tanzania ya leo unajiharibu sana. Watu wa leo wanataka sana ukweli. Ebu tujenge utamaduni huu na CCM ndicho chama ambacho kinapaswa kuwa na dira hiyo ili kujenga utamaduni wa nchi kusema ukweli. Haipendezi kuona kila jambo linageuzwa kuwa la kisiasa (maana hapa kwetu siasa sasa ni uwongo) na lawama kwa kundi fulani eti kwa sababu sio chama chako, that is not good. Hii nasema hata kwa vyama vingine vya kisiasa. Tupende sana kusema ukweli na watu watakupenda sana tena sana. Wewe bado ni kijana mdogo usifuate siasa za akina Tyson ambazo zimewaharibu vijana wadogo akina Magulu ya Ncha ambao wangefaa kuwa tunu ya taifa hili lakini kabla hata hawajaanza kutumika wamesha-expire. Very ridiculous. Ninyi ni vijana fanyeni sisa za kujipambanua ambazo zinaonyesha who you are. Usifuate hao walio karibu sana na kaburi lakini wanalimbia. Ni ajabu sana. I like you only that you are poluted unless you just turn back.

umenena mkuu!!
Vijana waliopo CCM watumike vizuri wasije wakawa waropokaji, na kuharibu taswira zao binafsi, sababu siku wakishindwa uchaguzi watakiua kabisa CCM, maana hamna atakaye simama hata kuwa chama makini cha upinzani!!! wasifikiri kuwa watakuwa ruling party forever, no way!!
Hivi kweli mtaendelea kuwaita wazee kuongoza chama mpaka lini?, Kinana, Mangula nk. hii inaonyesha vijana ndani ya CCM mna mapungufu, ni mda wa kujijenga na kujipambanua ili siku mtakapo kuja kuwa-opposition msimamie na kuisema na kuipa changamoto ruling party
Sp
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.[/QUOT

WE DOGO WA KINYIRAMBA ACHA KUWA MSEMAJI WA CHAMA AU MBOWE. ENDESHA MAJITAKA YAKO HUKO. UNAWEZA KUFANANISHA VIBWEKA VYA VIONGOZI WETU NA VIBWEKA VYA WENZIO WA MAGAMBA.
KUMBUKA VIBWEKA HIVI KISHA UVITOLEE MAJIBU:
1. KIBWEKA CHA NAPE (MNYIRAMBA KWA KABILA JAPO ANAJITAHIDI KUKWEPA) JUU YA KUVUA GAMBA NA KUANZA UPYA LAKINI MFUPA UKAWA MGUMU?
2. KIBWEKA CHA MZEE WAKO KINANA - UWE WAKALA WA MELI KISHA USIJUE KINACHOSAFIRISHWA NDANI YA MELI YAKO. HEBU FIKIRIA UNA GARI AINA YA BASI LA ABIRIA KISHA ETI USIJUE KAMA BASI LAKO LINASAFIRISHA ABIRIA AU LINABEBA MKAA?
3. VIBWEKA VYA WAZEE WAKO JUU YA MIGODI KAMA - MEREMETA, MRADI GANI TENA ULE MZEE BEN ALIOJIUZIA
4. VIBWEKA VYA WAZEE WENZIO KUUZA NYUMBA ZA SERIKALI (ZA MADAKTARI, NK) WAKATI ETI SABABU MMESHINDWA KUZI RUN KWA SABABU BILI YA UMEME NI KUBWA NA BILI YA MAJI WAPANGAJI WAMESHINDWA KULIPA. YAAN UWE NA NYUMBA, WAPANGAJI WASHINDWE KULIPA MAJI HALAFU UAMUE KUUZA NYUMBA?
5. VIBWEKA VYA MAMA SALMA KUANZISHA WAMA KAMA KICHAKA CHA KUCHOTEA FEDHA ZETU ZA KODI
6. VIBWEKA VYA NDALICHAKO JUU YA NECTA, VIBWEKA VYA BLANDINA NYONI NA KUKWEPA KODI ZA MARIEDO
7. VIBWEKA VYA WENZIO JUU YA -- JAMANI NAOMBA NITAMKE HUKU CHOZI LINANITOKA: RICHMOND, MABILION YA JK, NGUZO ZA UMEME, NK.
8. NIKUPE KIBWEKA KIPYA KABISA AMBACHO BADO HAKIJA SAMBAA?????????????????????? HIKI KIPO IRAMBA KWA.......WAKO. NAKAMILISHA USHAHIDI BADO DOCUMENT MOJA VIJANA WANGU TOKA KIOMBOI BADO WANAISCAN NA KURUDISHA FAILI ORIGINO SEHEMU YAKE BILA KUJULIKANA ILI NIKUTUMIE HUMU HUMU JF.

UKIJA NA MAJIBU YA VIBWEKA HIVI THEN TUTAKURUHUSU UTUSHAURI KATIKA CHAMA CHETU WAKATI CHAMA CHAKO KINAUNGUA (zima moto kwa jirani wakati kwako kunawaka) vinginevyo HUNA UWEZO WA KUTUSHAURI KWA SASA HADI UJE TENA HUMU NA MAJIBU.
 
naona rejao, ze marcopolo, molemo, pasco nao wanakubaliana na wewe. leo jioni utakuwa wapi. mi ntakuwepo rose gaden hapa maeneo ya area c.
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
wewe mroho ulitaka kuhama chama ukapewa ukuu wa wilaya sasa umepewa cheo kikubwa kuliko wewe sasa unabwabwaja fanyeni uchaguzi wa huru na haki muone mtakavyofanywa kama hata mtaambulia kitu zaidi mtapata kula kwenye mikoa ambaya haijajitambua kenge maji wewe nakuchukia sana wewe mtu
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Sijawahi kuona kilaza aliyesoma NSUMBA km nape, unatuaibisha sana. nimeaimini kuwa akili ya darasani ina mchango mkubwa sana uraiani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom