CHADEMA mnampuuza Mbowe!

CHADEMA mnampuuza Mbowe!

jenga hoja we gaidi acha kukulupuka

Mkuu ile ishu yako ya kukwapua simu umeizimaje?? Chezea njaa weye, njaa nawesa fanya mtu nakalia ile kitu naitwa sero bila kupenda.

Nape kashindwa kujenga hoja, ugaidi mahakama imetupilia mbali, then safari ya kaburini ndio imewabakia nyie maccm
 
.. Nape Nnauye ungekuja hapa kutueleza umefikia wapi kuvua magamba labda tungepata cha maana lakini si huu ubea shirikishi...

Kweli kabisa kama ya ndani kwake yamemshinda kuwavua watu magamba,halafu anatafuta umbea kwa jirani,
na porojo zisizo na kichwa wala miguu'
 
Nape, kuna mijadala mingi mizito inafanyika hapa jamvini embu uwe unatoa michango kulingana na unyeti wa hiyo nafsi yako..unachikifanya hapa ashakum si matusi ni utoto..!
 
-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?

-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.

-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?

-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.

-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako

-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!

well said....thats words of wisdom...
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Jamani eee, kwa mara ya kwanza do nagundua maana ya "CCM TUKO IMARA, TUNAJENGA NCHI YETU", hii iko kwenye signature ya Nape. Maana yake, nchi inayojengwa na CCM siyo hii Tanzania, bali nchi yao, ambayo waliahidiwa Maisha bora kwa kila moja wao. Nafikiri sasa tumeelewa kuwa kuna maisha ya wananchi wa CCM na walalahoi wa Tz ambao CHADEMA inawapigania kupata ukombozi. Nimekusoma Nape.
 
Kwani ni Chama gani kinapuuza viongozi wake??maana kuna lichama Mwenyekiti wake hata aseme vipi hakuna kutekeleza maagizo si semina elekezi utadhani ni ni paka na panya paka akilia nyau yuko jikoni huku stoo mapanya wanaendelea kugegeda nafaka sasa ninani anapuuzwa??Plz Nape Nnauye njoo ujibu siyo unaweka bandiko unakimbia!!Mwenyekiti wako kasema mara kibao kuhusu rushwa waziri mpaka akakataa kupanda VX V8 kwakuwa nikati yavitu vinavyorudisha nyuma maendeleo ya Taifa hili akasema nimarafuku kwa Wizara,Taasisi za uma kununua magari haya lakini kama ndo kawaonyesha njia ya kwenda sokoni!!kuyanunua sasa hapo ninani kapuuzwa arggggy!CCM ndo kwanza wakayaleta eti ndo wanaonyesha mfano!!Kigumu chama cha mpinduzi!!
 
Hivi Ben umepona vizuri kweli wewe au ndo bado unaweweseka.
Hivi kwa akili yako unaona Mfumo wa Mjimbo ndio Kitanzi kwa Chama Dume CCM??
Nenda kajipange na wenzako na uwaambie CCM aitishwi na Majimbo na Chama kisicho na Sera zaidi ya Maneno machafu na Matusi pamoja na mbinu chafu.

Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya hongera kwa kujaribu kutafuta attention.

Hizi siasa za kiwango cha chini huwa sina muda nazo.Ni saizi yako hizi
 
tangia nijue haya mambo mawili kutoka kwa Nape Nnauye niliacha kumsikiliza kabisa!
# kupata f ya civics
# mchezo wa kukimbia mada anapo zianzisha.
 
Last edited by a moderator:
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Are you that bearer of the senior office...!!??? Kweli mambo mengine ni kujivua nguo, Kazi ipo ccm...
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
Nape Nnauye ni simple minded, kimsingi amekosa cha kusema baada ya single yao ya Ugaidi na Mwigulu Nchemba kuungua na ku-stack jumla, sasa aseme nini unajifanya kutoa ushauri CHADEMA, ni mtu mwenye busara ndo sana anaweza kusema CHADEMA iko kwenye hali mbaya kisiasa compared to CCM! CCM inachungulia kaburi na muda wowote tutaizika, wewe unaendelea kuendesha propaganda hewa ambazo zina backfire kila mara na kuzidi kuiangamiza CCM! Nape wewe Utaondolewa kwenye hiyo nafasi Uenezi wa CCM kabla ya 2015, kama unabisha tuwekeana hela...
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu alisema katika mambo anayoyaongea Nape kuna jambo moja tu analosema ambalo ni la kweli Jina lake la Nape, maana hata la Nnauye ni uwongo....
 
hivi wewe umeshindwa kusema madudu ya kwenye chama chako unaingilia mambo yasiyokuhusu kwanini ujipendekeze kwenye chama cha wengine na kujifanya mjuaji kuliko wenyewe sema sera, itikadi na mambo yahusuyo chama chako na sio kujipendekeza ovyoovyo tu au unataka kuwa maarufu kupitia migongo ya wengine tetea maslahi ya chama chako na sio kingine weeee
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
 
yani amenishangaza sana huyyu NAPE sijui ana nini kwani ukinyamaza kimya bila kusema chama cha wenzako kitakuuma nini mpaka ushobokeee na kujipendekeza ovyo unadhani na wao watakupa cheo cha UKATIBU UENEZI WA SIRI fanya yahusuyo kwenye chama chako ccm usijipendekeze eti unatoa ushauri, ushauri kawashauri viongozi wako na sio kujifaragua ovyo au unajivua gamba kimantiki?
 
huna hoja wewe gamba kaz yenu ni kuitafuna tanzania,kuna kila haja kwa watnzania kutambua kuwa mbaya na mchawi wa taifa hil ni maccm ,mnaiba tembo kila siku tumewachoka 2015 itafahamika
 
Huyu jama anaumwa kweli kwani CHADEMA Wanakuhusu nini? khaaaaaa hawa jamaa waliwasema CUF wakawaua theni wanataka kuwaua CHADEMA duuu umekwama kaka CHADEMA Ipo imara na 2015 nyie msiue watu jamani mana mmeanza kuua mapema achani watu wachague viongozi wanaowataka kwa uhuru kwa nini lakini mnang'ang'ania kukaa madarakani huku wananchi hawataki jamani CCM oneni aibu kuongoza watu wasiowataka.
 
Kauli hii imetolewa bungeni na magufuli kumkejeli Lowasa juu ya kauli yake ya kufanya maamuzi magumu.
 
-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?

-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.

-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?

-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.

-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chak
-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!

Kaka naunga mkono maneno yako kwa uyu NEP.kweli ww ndiyo kiboko ya uyu nepi.
 
Back
Top Bottom