makada wa ccm mnaotumia style hii kufanya arguments huwa mnatupa credit nyingi sana kwasababu wanachama wa ccm wenye akili timamu hawapendezwi na hukimbia ccm kwa aibu hii mnayoifanya@
makada wa ccm mnaotumia style hii kufanya arguments huwa mnatupa credit nyingi sana kwasababu wanachama wa ccm wenye akili timamu hawapendezwi na hukimbia ccm kwa aibu hii mnayoifanya@
-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?
-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.
-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?
-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.
-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako
-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!
Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.
.
bora ukae kimya kama Mwigulu
jana umepayuka ni chama cha magaidi wakati mahakama imeshatamka sivo
unastahili kushtakiwa kwa kukiuka amri ya mahakama.
unatakiwa pia kuitwa mahakamani kutoa ushahidi wa lini chadema walipanga mashamabulizi
ukiwa mtu wa nafasi nyeti katika chama unakiabisha chama chako kwa kuropoka hovyo brother
chagua maneno ya kuongea yenye kujenga chama chako na yenye kuleta mashikamano wa kisiasa.
siasa safi na siasa za kistaarabu hazitoi maneno ya kejeli kama yako.
ni ushauri tu kwa sisi amabao hatuna vyama tunawasoma kwa umakini wa hali ya juu
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.
Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.
Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.
MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
yaonekana nape ni msikilizaji mzuri wa viongozi wa chadema.
chadema ni wapigaji flani ivi, wamejikusanya kuchek madili