Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.
Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.
Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.
Kama kala hela za Chama muondoeni msimuangalie machoni.
Acha ufala ww. Sawa, kala. Kala hela zetu na tunafurahi kazila . Wewe sio CDM, hela zetu zilizoliwa zinakuuma nini na sisi hatujalalamika? Acha umama!!Mkuu jamaa kapiga mkubali tu au huko kwenu hamna watu inabidi mlee wapigaji kwa lazima.
Jamaa kala hela za Chama.
Simple as that.
Nakuunga mkono maana kama itabainika amekula kweli fedha za chama bila kufuatia taratibu basi achukuliwe hatua tu kama wahalifu wengineKama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.
Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.
Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.
Kama kala hela za Chama muondoeni msimuangalie machoni.
Ndiyo hao waliolipwa milioni 2 wamchafue Heche.Genge la abdul mnahangaika sana
Ila kama itabainika kayafanya hayo wanayo mtuhumu nayo basi awajibikeAisee Heche amewapiga kwenye mshono mpaka mnaweweseka.
Ulimsikia JJ Mnyika kuhusu tone tone na makusanyo ya mapato kwenye mikutano jinsi inavyokuwa? Uliona utaratibu wake jinis ulivyo?Nakuunga mkono maana kama itabainika amekula kweli fedha za chama bila kufuatia taratibu basi achukuliwe hatua tu kama wahalifu wengine
Wa heche ndio mnauona wa mzanji aah! Mikunduu sana nyieKama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.
Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.
Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.
Kama kala hela za Chama muondoeni msimuangalie machoni.
Mnyika kashaeleza kwamba hizo ni porojo ,yeye ndiyo anayehusika na fedha za chama na amesema watu wanatumwa kumchafua Heche kwa malipo ya milioni 2.Ila kama itabainika kayafanya hayo wanayo mtuhumu nayo basi awajibike
Heche yupo sana ,kama mlianza na bongo movie za salum mwalimu kumuondoa ili ije KUKIKI kwa Heche ,ngoma imebuma rudisheni milioni 2 mlizokula kwa ABDUL.Hizo hazifiki hata nusu ya maduhuli