Chadema mlijifanya washabiki wa Trump,lakini sasa mbona kimya?

Mh! Mnakana kauli za viongozi wenu wanafiki na waongo. WaTz hawatadanganyika tena.

Viongozi wenu watabaki wa kulialia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Kama wana agenda ya msingi ya kudhurumiwa mahala sahihi pa kupata haki ni mahakamani siyo kwenye majukwaa.
Mahakama gani hizo ?!. Kuna kesi ngapi za kikatiba hazijasikilizwa wala kupangiwa hata majaji !!!
Mahakama hizi mnamkataa hakimu halafu anang'ang'ania kwa nguvu ?!!
 
Mahakama gani hizo ?!. Kuna kesi ngapi za kikatiba hazijasikilizwa wala kupangiwa hata majaji !!!
Mahakama hizi mnamkataa hakimu halafu anang'ang'ania kwa nguvu ?!!
Huo ndio haki na uhuru wa mahakama, kama ilivyobainishwa kwenye Katiba ya JMT (1977), Ibara ya 107A na 107B.

Kumbuka kuwa upande huo wewe unawawakilisha humu JF, moja ya madai yao dhidi ya Serikali, ni kukiuka Katiba. Hivyo unapowawakilisha uwe pia unawakumbusha ba wao kutii Katiba.
 
Back
Top Bottom