Chadema mlijifanya washabiki wa Trump,lakini sasa mbona kimya?

Vyovyote, mimi bado naamini lowasa angekuwa rais wa hovyo zaidi ya jiwe iwe kupitia ccm au chadema. Sijutii kumpa kura yangu jiwe japo nilikuwa mwanachama wa chadema.
Kumbe tuna watanzania wakweli kiasi hiki?
Yaani sipati picha Lowassa angekuwa rais wa aina gani na hiyo hali yake!
Duh na mimi najiuliza kama wewe tu.
 
Hizi umezitengeneza kujihalalishia mapambio yenu kwa jiwe
Mh! Mnakana kauli za viongozi wenu wanafiki na waongo. WaTz hawatadanganyika tena.

Viongozi wenu watabaki wa kulialia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Kama wana agenda ya msingi ya kudhurumiwa mahala sahihi pa kupata haki ni mahakamani siyo kwenye majukwaa.
 
Pumbavu kabisa
 
Tulia sindano ifanye kazi.
Umesoma uzi wangu kwa pupa na kukimbilia ku comment.
Sikusema wote humu JF, na nimesema wazi asilimia kubwa, so kama wewe sio mmoja wao why so panic?
Ni kweli humu baadhi ya wachangiaji ni watu hatari sana ndio maana wameficha Id's zao na pia ndio maana thread zao humu saa ingine mtu unashindwa kumtafakari.
Na hata sasa chadema ndio mnaofagilia hoja za EU na US kwa hiyo bado hoja yangu ina ukweli tupu na ndio maana povu linakuwa jingi kwenye ukweli.
You are so young to be baptized!
 
Salaam JF,
Kama kawaida yangu narudia, historia ni somo zuri kwa sababu halidanganyi.

Wakati wamarekani wanafanya uchaguzi wao, kulikuwa na kaushabiki kakubwa hapa nchini hasa wana chadema wakimfananisha Donald Trump na aliyekuwa mgombea wao wa urais nchini 2015,mzee Edward lowassa.
Na pale Trump aliposhinda uchaguzi ule wana chadema kwa idadi kubwa walikuwa wakijifariji kwa kauli hii "MZEE KAWAGALAGAZA"
wakimaanisha mzee Trump, binafsi sikuwaelewa ni kwa nini hasa walipatwa na mihemuko ile, na hata Trump alivyoanza kuporomosha matusi kwa nchi MBALIMBALI duniani zikiwemo kauli zile za kuiita Africa shithole countries. Pia ni chadema hao hao wabaoitumia kauli hiyo hata kwenye thread nyingi humu ndani ya JF.
Yaani hasa wale wachangiaji wa mistari miwili miwili kutokea kule arusha ndio kabsaa.

Sasa miaka imeenda kidogo, trump anefanya ya kwake nchini kwake.

Dunia imenuelewa trump, lakini pia wamarekani wanemuelewa rais wao na mbinu aliyoitumia kuingia ikulu nayo imefichuka.

Idadi kubwa ya viongozi wenzake duniani nao ni kama hawamuelewi pia.
Ni jana tumemuona waziri wa ulinzi akitangaza kujiuzuru kwa kutofautiana sera na rais trump kwa uamuzi wa kuitoa marekani kijeshi katika syria na Afghanistan, nchi ambazo imeshiriki kuzivuruga kidemokrasia yao na kwa mauaji ya raia wasio na hatia , huyu Gen mattins anakuwa kiongozi mkuu mwandamizi wa tatu kuachia ngazi kutokana na kutoelewana na trump!.
Hayo yakijiri hata rais puttin wa urusi pia jana alitoa kauli ya kumshangaa trump na sera ya kujitoa kwenye ushirika wa udhibiti wa nyuklia duniani.
Puttin alitamka hayo katika hotuba yake kwa taifa kwa kila mwisho wa mwaka.

Sasa nawauliza wana chadema, mnapolia lia hapa nyumbani kuhusu demokrasia.
Je bado mko na Trump au la?

Kama mko na Trump je mna maoni gani na anachokifanya Donald trump huko marekani ikiwemo na hiyo racism yake dhidi ya black americans wanaopigwa risasi na polisi mitaani huko US!
Leteni hoja sio matusi. Ahsanteni na karibuni.
hawa ni wafuata upepo hawana lolote
 
Hivi wale waliong'ang'aniza kuwa Trump kasifu uongozi wa jamaa yetu, mpaka wakalazimika kuomba radhi, wale walikuwa Cdm kweli ?!. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu .

Labda unaona siku kupita bila uzi kwa Cdm hakunogi
 
Na ana ugomvi na press media zoote marekani anasema ni fake, ndio maana ana tweet zaidi,amewamwagia wakimbizi kutoka venezuela maji ya kuwasha na mabomu ya machozi.
Amekosana karibu na marafiki zake muhimu katika kampeni za kumuweka madarakani.

Hasumbuliwi na mauaji ya wamarekani weusi wanaouwawa na polisi mitaani.
We sema unamlenga mtu fulani hapa home. Japo umezungukia kwa mama wa kambo. Lakini ujue anazo akili
 
Salaam JF,
Kama kawaida yangu narudia, historia ni somo zuri kwa sababu halidanganyi.

Wakati wamarekani wanafanya uchaguzi wao, kulikuwa na kaushabiki kakubwa hapa nchini hasa wana chadema wakimfananisha Donald Trump na aliyekuwa mgombea wao wa urais nchini 2015,mzee Edward lowassa.
Na pale Trump aliposhinda uchaguzi ule wana chadema kwa idadi kubwa walikuwa wakijifariji kwa kauli hii "MZEE KAWAGALAGAZA"
wakimaanisha mzee Trump, binafsi sikuwaelewa ni kwa nini hasa walipatwa na mihemuko ile, na hata Trump alivyoanza kuporomosha matusi kwa nchi MBALIMBALI duniani zikiwemo kauli zile za kuiita Africa shithole countries. Pia ni chadema hao hao wabaoitumia kauli hiyo hata kwenye thread nyingi humu ndani ya JF.
Yaani hasa wale wachangiaji wa mistari miwili miwili kutokea kule arusha ndio kabsaa.

Sasa miaka imeenda kidogo, trump anefanya ya kwake nchini kwake.

Dunia imenuelewa trump, lakini pia wamarekani wanemuelewa rais wao na mbinu aliyoitumia kuingia ikulu nayo imefichuka.

Idadi kubwa ya viongozi wenzake duniani nao ni kama hawamuelewi pia.
Ni jana tumemuona waziri wa ulinzi akitangaza kujiuzuru kwa kutofautiana sera na rais trump kwa uamuzi wa kuitoa marekani kijeshi katika syria na Afghanistan, nchi ambazo imeshiriki kuzivuruga kidemokrasia yao na kwa mauaji ya raia wasio na hatia , huyu Gen mattins anakuwa kiongozi mkuu mwandamizi wa tatu kuachia ngazi kutokana na kutoelewana na trump!.
Hayo yakijiri hata rais puttin wa urusi pia jana alitoa kauli ya kumshangaa trump na sera ya kujitoa kwenye ushirika wa udhibiti wa nyuklia duniani.
Puttin alitamka hayo katika hotuba yake kwa taifa kwa kila mwisho wa mwaka.

Sasa nawauliza wana chadema, mnapolia lia hapa nyumbani kuhusu demokrasia.
Je bado mko na Trump au la?

Kama mko na Trump je mna maoni gani na anachokifanya Donald trump huko marekani ikiwemo na hiyo racism yake dhidi ya black americans wanaopigwa risasi na polisi mitaani huko US!
Leteni hoja sio matusi. Ahsanteni na karibuni.
Mbona hakuna uhusiano kati ya uliyoongea na wanacholilia chadema? We boya kweli,unasema kiongozi mwandamizi kajiuzuru kwakutoelewana kisera na trump,mara trump kajitoa nyuklia,hayo yana uhusiano gani na chadema? Kwakweli ukiwa ccm hauhitaji kuwa na akili.
 
..kweli.

..sasa kwanini unashangaa baadhi ya waliokuwa wakimshabikia wakati wa uchaguzi kumkimbia wakati huu?

..waTz tuna imani potofu kwamba ukimuunga mkono mgombea uongozi basi unapaswa kufungamana naye muda wote hata pale anapokiuka ahadi zake za wakati wa kampeni.

NB:

..Inapokuja suala la Polisi wa Marekani kuumiza au kuwauwa wananchi, mashauri hufunguliwa mahakamani na inabobainikaPolisi wamekosea basi hulazimika kulipa fidia na wakati mwingine huwa ni mamilioni ya dola. Je, hapa kwetu umewahi kusikia Polisi wakishitakiwa kwa makosa yoyote? Au, Polisi wetu ni malaika hutenda kazi zao bila makosa yoyote?
Na juzi umemsikia mwenyewe akisema wale takao ua badala ya kushtakiwa waongezwe vyeo na mishahara . Hapa katiba ni matamko ya viongozi. Si katiba yenyewe.
 
Hebu igeuze hi stori yako iwe kwa hapa kwetu tz unaona tofauti gani??? Tumesahau tulisema JPM anafata nyayo za Trump humu humu kwamba hapangiwi na Ana misimamo au tumesahau???

Marekani hawekewi vikwazo ila anasemwa Mana anajiweza unadhani sisi kinatupata Ni kipi??

Viongozi waandamizi wanajiuzulu kulinda heshima yao hapa kwetu vip mpaka wakaitwa wapumbavu ila wamekomaa tu au unadhani wanafurahi system iliyopo??

Unadhani Prime minister kutafuta wateja wa zao Fulani na bado akaaibika mbele ya hadhira ingekua MAREKANI Nini kingetokea???

Nakuuliza mtoa mada ukipata majibu ya haya omba mods wakupige BAN mwenyewe ....
Mtoa mada hana majibu,kichwani hana kitu kabisa,ni vacumed!
 
Back
Top Bottom