commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Salaam JF,
Kama kawaida yangu narudia, historia ni somo zuri kwa sababu halidanganyi.
Wakati wamarekani wanafanya uchaguzi wao, kulikuwa na kaushabiki kakubwa hapa nchini hasa wana chadema wakimfananisha Donald Trump na aliyekuwa mgombea wao wa urais nchini 2015,mzee Edward lowassa.
Na pale Trump aliposhinda uchaguzi ule wana chadema kwa idadi kubwa walikuwa wakijifariji kwa kauli hii "MZEE KAWAGALAGAZA"
wakimaanisha mzee Trump, binafsi sikuwaelewa ni kwa nini hasa walipatwa na mihemuko ile, na hata Trump alivyoanza kuporomosha matusi kwa nchi MBALIMBALI duniani zikiwemo kauli zile za kuiita Africa shithole countries. Pia ni chadema hao hao wabaoitumia kauli hiyo hata kwenye thread nyingi humu ndani ya JF.
Yaani hasa wale wachangiaji wa mistari miwili miwili kutokea kule arusha ndio kabsaa.
Sasa miaka imeenda kidogo, trump anefanya ya kwake nchini kwake.
Dunia imenuelewa trump, lakini pia wamarekani wanemuelewa rais wao na mbinu aliyoitumia kuingia ikulu nayo imefichuka.
Idadi kubwa ya viongozi wenzake duniani nao ni kama hawamuelewi pia.
Ni jana tumemuona waziri wa ulinzi akitangaza kujiuzuru kwa kutofautiana sera na rais trump kwa uamuzi wa kuitoa marekani kijeshi katika syria na Afghanistan, nchi ambazo imeshiriki kuzivuruga kidemokrasia yao na kwa mauaji ya raia wasio na hatia , huyu Gen mattins anakuwa kiongozi mkuu mwandamizi wa tatu kuachia ngazi kutokana na kutoelewana na trump!.
Hayo yakijiri hata rais puttin wa urusi pia jana alitoa kauli ya kumshangaa trump na sera ya kujitoa kwenye ushirika wa udhibiti wa nyuklia duniani.
Puttin alitamka hayo katika hotuba yake kwa taifa kwa kila mwisho wa mwaka.
Sasa nawauliza wana chadema, mnapolia lia hapa nyumbani kuhusu demokrasia.
Je bado mko na Trump au la?
Kama mko na Trump je mna maoni gani na anachokifanya Donald trump huko marekani ikiwemo na hiyo racism yake dhidi ya black americans wanaopigwa risasi na polisi mitaani huko US!
Leteni hoja sio matusi. Ahsanteni na karibuni.