CHADEMA-Mikutano itakuwa barabara kuu!

CHADEMA-Mikutano itakuwa barabara kuu!

kwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.
Nina uhakika unaliwa ---- wewe
 
Tatizo la viroba na Mbege mliopewa juzi na jana baada ya Ushindi wa Vitisho.
Kwa akili zako za KICHAGA unaona ushindi wa Kata nne umetawala dunia nzima mpaka Marekani?
R.I.P Urassa na viroba vya Lema.
 
Ni ustaarabu wa kidemokrasia baada ya uchaguzi,vyama vyote vinaungana katika maslahi ya kuijenga nchi yao.Lakini utashangaa hiki chama cha wahuni kila kukicha wanaomba vibali vya mikutano na maamdamano yaliyojaa shari na maneno ya uchochezi utadhani chama pinzani ni peke yake hapa nchini.Hivi mkiandamana au kufanya mkutano mnalipwa na wafadhili wenu wasioitakia mema nchi yetu?
 
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.

Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?

Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.

Huyu mkurugenzi wa AICC bado ataendelea kukomaa hata baada ya AICC kuwa ndani ya kata ya CDM?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
AICC wamechukua uamuzi wa busara. ni baada ya CHADEMA kupanajisi kwa kuwaua ndugu zao na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu za watu wasio na hatia. naunga mkono hatua zilizochukuliwa na AICC
unatakiwa uwashauri kufungia kufanya mikutano pale ambapo polisi wa chadema walimuua Mwangosi
 
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Nauliza huyo mkurugenzi wa AICC bado ataendelea kukomaa hata baada ya AICC kuwa kwenye kata ya CDM?

Nini kata! hata kama AICC ingekuwa ndani ya mtungi ni marufuku kufanya mikutano isiyokuwa na tija,narudia tena marufuku!!!
 
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.

ungekuwa na akili ungejiuliza kwanini kina nguvu mikoa hiyo?simply because mikoa hiyo watu wameelimika, wameendelea na wanajua haki zao. sehemu zote zilizoendelea andikeni maumivu.

nendeni huko huko ambako hawajaelimika maana mtaji wenu ni ujinga wa watu. Ila jua kwamba ujinga una mwisho.

SHTUKA Mtoto wa kada wewe
 
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.

Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?

Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.

We endelea kushabikia usichokijua, wakati wenzako wakiuugua wanatibiwa Ujerumani.
Muulize Lwakatare, ukimaliza kupata majibu utakuja hapa utaandika kwa utulivu na hekima.
 
Ni ustaarabu wa kidemokrasia baada ya uchaguzi,vyama vyote vinaungana katika maslahi ya kuijenga nchi yao.Lakini utashangaa hiki chama cha wahuni kila kukicha wanaomba vibali vya mikutano na maamdamano yaliyojaa shari na maneno ya uchochezi utadhani chama pinzani ni peke yake hapa nchini.Hivi mkiandamana au kufanya mkutano mnalipwa na wafadhili wenu wasioitakia mema nchi yetu?

Ni jambo la ajabu kwa jinsi ccm mnavyoikimbia CHADEMA kwa kila hali(kunyima watu kukutana ni kukimbia)
Mnatukimbia kutoa vibali, kuzuia viwanja, na visingizio kibao.
Mnatukimbia nini kama ninyi siyo wezi? Na mwizi ni kumfungulia mbwa amkimbize.

Kwa hiyo unataka kusema Chadema ni mbwa?
 
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.

Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?

Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.

Hiyo itakuwa si mikutano ni maandamano, hamna ofisi?
 
hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.

Nchi haitaki wahuni kabisa ndiomaana wananchi wa arusha wamechagua madiwani wa chadema ktk viti vyote 4 na kuwakataa wahuni ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.

Hawa jamaa bwana hawafanyi siasa ni vurugu tu nawapenda lakini rafiki mkorofi utamchoka tuuu; hebu jaribuni kuwa wapole jamani kama mnakubalika mnakubalika tu hamna haja kulazimisha mambo. Mbona Nyerere alimtoa mkoloni bila kuandamana au kuanzisha sungusungu? wewe uanzishe kikundi cha ulinzi kitakuwa na nguvu kuliko polisi? si mnatafutia watoto wa wenzenu kuvunjwa mbavu bure. Mambo yakiiva yanaiva tuuu bila purukushani tumieni amani zaidi kuliko mabavu mtakubalika zaidi lakini kimikwaramikwara tutawaogopeni jamani; si mnaona sasa hata kupiga kura hatujatoka. Nyie chukueni matawi, kata, na majimbo kwanza wala msiitafute ikulu kinguvu kwa kuwa mkishafanikiwa huko aliyeko ikulu atakimbia mwenyewe. Mkinyimwa viwanja au maukumbi nunueni au mkodishe wala msitunishiane misuli na aliyeko madarakani mtavunjwa mbavu bureeee na wala kukubalika sio lazima uwe mshari au uonewe huruma watu wanataka vitu vya ukweli sio propaganda
 
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.

Acha udini na ukabila ndugu yangu sidhani kama chadema ni chama cha wote wapendao mabadiliko kwenye nchi hii.
 
We endelea kushabikia usichokijua, wakati wenzako wakiuugua wanatibiwa Ujerumani.
Muulize Lwakatare, ukimaliza kupata majibu utakuja hapa utaandika kwa utulivu na hekima.

4 - bila tulizowapiga hapa arusha zimewafanya ccm mmekuwa na jazba sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom