LWENYI
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,839
- 2,173
nakupuuza maana ndo njia salama ya kumuelimisha m......................."hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.
nakupuuza maana ndo njia salama ya kumuelimisha m......................."hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.
kunaeneo kubwa sana pale au pale boma
Your're so stupid you threw a rock at the ground and missed.
Njooni kwa hoja zenye mashiko na siyo kuongea hovyo kama kawa yenu maccm,
tukiongelea mambo ya uzinifu maccm mmeoza anzia kwa baba.
Nakuunga mkono ila hapo
pa makanisa sipo na wewe. kuna makanisa hawakubaliani kabisa na uzinifu
wa Dr Slaa na mwenyekiti wake.
kwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.
Nakuunga mkono ila hapo pa makanisa sipo na wewe. kuna makanisa hawakubaliani kabisa na uzinifu wa Dr Slaa na mwenyekiti wake.
mjomba umekosa cha kusema siku zote mnafanyia wapi ? au vurugu ndiyo uhai wa chama?
Kwenye vitabu vya dini vinakataza kumzulia mtu jambo na kosa la uzinifu sharti washuhudie watu wasiopungua wanne. sasa tuulizane, Dr Slaa si Mzinifu? mbona kazalia watoto kibao wa zinaa. Je Freeman Mbowe si mzinifu, mbona kasababisha mimba zisizotarajiwa
hila yeyote inayofanywa na ccm dhidi ya chadema inawapaisha chadema na kula kwa ccm, kwa mfano wamewashawishi AICC kuwakatalia chadema kufanya mikutano yao katika viwanja vya soweto na wakabandika vibao kwamba haruhusiwi mtu yeyote au kikundi chochote kufanya kitu chochote hapo bila kibali cha utawala wa AICC,sasa hapo kuna timu za mpira na michezo mingine huwa zinafanya mazoezi hapo. sasa wate hao wanawachukia ccm kwa sababu hata wao wamezuiwa kwa hila za ccmTukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.
hila yeyote inayofanywa na ccm dhidi ya chadema inawapaisha chadema na kula kwa ccm, kwa mfano wamewashawishi AICC kuwakatalia chadema kufanya mikutano yao katika viwanja vya soweto na wakabandika vibao kwamba haruhusiwi mtu yeyote au kikundi chochote kufanya kitu chochote hapo bila kibali cha utawala wa AICC,sasa hapo kuna timu za mpira na michezo mingine huwa zinafanya mazoezi hapo. sasa wate hao wanawachukia ccm kwa sababu hata wao wamezuiwa kwa hila za ccm
hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.
Mikutano yenu haina tija ipigwe marufuku kabisaTukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.
Ila kuna misikiti inayokubaliana na M/kiti wenu ya hadi kuwa na watoto hadi wengine aibu kuwa tambulisha watoto 7 umli mmoja?
Nendeni mkakutane Billicanas
mjomba umekosa cha kusema siku zote mnafanyia wapi ? au vurugu ndiyo uhai wa chama?
hila yeyote inayofanywa na ccm dhidi ya chadema inawapaisha chadema na kula kwa ccm, kwa mfano wamewashawishi AICC kuwakatalia chadema kufanya mikutano yao katika viwanja vya soweto na wakabandika vibao kwamba haruhusiwi mtu yeyote au kikundi chochote kufanya kitu chochote hapo bila kibali cha utawala wa AICC,sasa hapo kuna timu za mpira na michezo mingine huwa zinafanya mazoezi hapo. sasa wate hao wanawachukia ccm kwa sababu hata wao wamezuiwa kwa hila za ccm
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.