KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
- Thread starter
- #61
Kwa hiyo unataka kusema Chadema ni mbwa?
Ni jina lipi chafu hamjatuita! Hebu ona mlivyo legelege!
Kwa hiyo unataka kusema Chadema ni mbwa?
kwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.
Nendeni mkakutane Billicanas
kwa nini tusifanyia nyumbani kwa mtei mwaasisi wa chama chetu,
Naona unakuja kinyumenyume sijui unataka nini! Is just three days tangu nitoke kwenye kibano cha ban manake mccm alikuja kiduwanzi nikampa za macho,
Anyway kama ni kufanyia mkutano ndani ya nyumba tutafanyia Ikulu ya magogoni ile ni ofisi ya wote
siyo pango la wanyang'anyi kama lilivyo kwa sasa.
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Kote ni taabu mkuu, hapa Lushoto ilituchukua takribani wiki nzima kupata kibali cha kufanya mkutano wa hadhara, hata tulipopata tulipangiwa umbali mkubwa kutoka mjini. Hata hivyo lengo lilifikiwa kwani mwenyekiti wa baraza la vijana taifa J Heche alisikilizwa na idadi ya kutosha ya watu.
4 - bila tulizowapiga hapa arusha zimewafanya ccm mmekuwa na jazba sana.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wakati Urassa anagongwa na yule Mlevi wa ile gari ulikuwa wapi?
Nasikia ulikuwa bwiii mpaka ukasaula, Mtakufa kwa kunyweshwa viroba, Jiulize kwanini hakukanyagwa Lema.
ehh ndo nini hii???
Ndio habari ya Arusha, Vijana wananyweshwa viroba na kutegwa barabarani kama Mbuzi wa Kafara.
R.I.P Urassa.
mmesema sana cha wachaga, lakini ukweli mnajua kuwa mbeya, iringa, Dar, Mwanza, Shinyanga huko kote si kwa wachaga lakini chama kinazidi kuchanua.Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
Naona unakuja kinyumenyume sijui unataka nini! Is just three days tangu nitoke kwenye kibano cha ban manake mccm alikuja kiduwanzi nikampa za macho,
Anyway kama ni kufanyia mkutano ndani ya nyumba tutafanyia Ikulu ya magogoni ile ni ofisi ya wote
siyo pango la wanyang'anyi kama lilivyo kwa sasa.
hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
kwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.
Ni jina lipi chafu hamjatuita! Hebu ona mlivyo legelege!
![]()
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
Mwanaume aliyekamilika namaanisha rijali au shababi hawezi kushadadia hayo maneno ya kina mama ndo wanalamika kwamba sisi wanaume wazinifu au wahuni lkn kama wewe ni mwenzetu aibu! kwa kuwa hata tulimweka pale nae ni hivo hivo tu! ndo tulivo wanaumehahahaaaaaa! eti magogoni? pale hapafanyiwi mambo ya kihuni. utaitishaje mkutano magogoni halafu wanaohutubia ni wazinifu na wahuni? halafu pale hawaingii hovyohovyo isipokuwa kwa kibali maalum kama ilivyotokea wakati viongozi wa chadema walipoenda kutoa mawazo yao juu ya rasimu ya katiba mpya