CHADEMA-Mikutano itakuwa barabara kuu!

CHADEMA-Mikutano itakuwa barabara kuu!

Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.

Unanyo shida..mchaga anayo nguvu kila mahali.......muone CCM ilivyopigwa bao kila angle ktk uchenzi wao wa ukabila (kuchukia wachaga), ukanda(kuchukia kaskazini), udini(kuchukia Ukristu)....sasa wakristu wapo kila mahali, wa kaskazini wapo hadi CCM 2015,wapwani wameichafua na kunajisi nchi kabisa..karibu mtaufanya mchiriku ngoma ya taifa lenu.

Well, amka ktk njozi YA UKABILA,UKANDA,UDINI uipendayo sana ukakojoe usije lowesha godoro,mwehu wewe....CDM INA CREAM YA NCHI..cream ya wanasheria,cream ya viongozi,cream ya wazalendo toka ktk kila kipande cha nchi.Ndio maana kila asimamae anaondoka na kipande cha makalio ya CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom