Akili ndogo tu inajua waliompiga risasi TL ndio haohao waliommaliza JPM...kwanini serikali haiundi TUME YA UCHUNGUZI ili ukweli ujulikane?
It was an inside work.
TL alipigwa na maadui wa JPM wa ndani ili kumpaka jina la muuaji. It was a plan A.
na walitaka UCHUNGUZI ukifanyika uoneshe serikali kuhusika na ndio maana walihakikisha tukio linafanyika muda, na katika mazingira yanayoonesha kuhusika kwa serikali.
Plan A iliposhindikana wakapanga Plan B - wakamchomoa.
Kwa bahati mbaya ndani ya CHADEMA ni adimu saana kupata analysts waliotulia kuchanganua mambo.
Tangu akili kubwa za akina Prof Baregu, Prof Safari, Prof Kitila, Dr Slaa waondoke chama hakina uwezo wa kuanalyse mambo.
Ndio maana sasa hivi wengi wameungana na wale waliomchomoa JPM kupambana na MAITI.