CHADEMA Makao Makuu isihangaike kumjibu Dkt. Slaa, ametumwa

Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Umeandika kinafiki
Katumwa kufanya nini? Au kasema nini kuhusu CDM?
 
Kwani kumjibu mtu kwa hoja haiwezekani bila kumdhalilisha? Au hapo CHADEMA vijana wa kujibu hoja kwa hoja wamekwisha?

Maana hata ktk uchambuzi wako umeishia kumuattack ktk personal issues.. mara upadre mara ukasisi..

Hoja hujibiwa kwa hoja badala ya vihoja

Nilidhani kuwa unataka kuwashauri CHADEMA kuwa kama wanataka kumjibu Dr Slaa basi wamjibu kwa hoja kuntu ktk kipengele alichokisema... badala ya kuhangaika na personal issues

CHADEMA moja ya mambo yanayowaangusha kwa sasa ni kujikita ktk kumshambulia mtu ktk mambo binafsi BADALA YA HOJA ZAKE
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Msiukimbue ukweli, kama mnavyoomba serikali ichunguze suala la Lissu na mengine, basi na hili tunawataka mseme
 
Licha ya Dr Slaa kutumika kisiasa kughafilisha mchakato wa katiba mpya.. Lakini yeye kama yeye ana matatizo binafsi makubwa sana
Maana ya kiapo cha upadri
Mahusiano
Kukosa mrithi wa kibailojia atakayeendeleza jina
Matatizo ya kiroho
Hofu na sense of guilty
Kinyongo na hasira ya kuona CHADEMA inazidi kushamiri, inazidi kupendwa na inazidi kuwa imara hata baada yeye kutumika kwa asilimia mia moja kutaka kukiuwa hiki chama.. Anaumia sana sana..!

Dr. Slaa anateswa na vingi..TUMSAMEHE.. With CHADEMA...NO HATE NO FEAR..ONE LOVE!
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Dr Slaa ni used condom. Ukishatumia ukaachia mzigo unaitupa kwenye ndoo ya takataka.

Dr Slaa HAFAI kwa uongozi wa chochote kwa kuwa;
1. Upadri ulimshinda mazima

2. Mke wa kwanza Rose Kamili alimshindwa

3. CHADEMA aliisaliti baada ya kununuliwa na Magufuli kwa kupewa ubalozi

4. Mke wa pili Mushumbushi naye kamshindwa. Kabakia mtu wa kubwabwaja kama malaya anayejipitisha Bar ili wanaume wamuone
 
Duh, kwani Babu Slaa hawezi kufikisha mawazo yake mpaka atumwe.....?

Kumbuka aliulizwa swali naye akalijibu hivyo, labda tuwakataze wanaokwenda kumuhoji wasimuulize kabisa kuhusu lile shambulio la Lissu...
 
Dr Slaa ni used condom. Ukishatumia ukaachia mzigo unaitupa kwenye ndoo ya takataka.

Dr Slaa HAFAI kwa uongozi wa chochote kwa kuwa;
1. Upadri ulimshinda mazima

2. Mke wa kwanza Rose Kamili alimshindwa

3. CHADEMA aliisaliti baada ya kununuliwa na Magufuli kwa kupewa ubalozi

4. Mke wa pili Mushumbushi naye kamshindwa. Kabakia mtu wa kubwabwaja kama malaya anayejipitisha Bar ili wanaume wamuone
Atakufa kifo kisicho na heshima.. Atakufa mpweke
 
Mamluki wa Slaa ningeshangaa sana usingeandika kitu kwenye uzi huu
Pole sana, huyo mzee hanijui hata leo umuwekee TZS Bilioni 100 akwambie kama tunafahamiana atazikosa. Labda mamluki wa kupinga kila hoja feki.
 
tusimlazimishe akubaliane na nyie wakati naye ana fikra tofauti na nyie mnavyowaza na hii ndio demokrasia na uhuru wa maoni ambao kila siku tunauhubiri....

Inaonekana kuna panic kubwa sana baada ya maneno yake machache juu ya tukio la Lissu, yale ni maoni yake lakini mkumbuke alikuwa mwenzenu tena Katibu mkuu na mgombea urais wenu TABIA ZENU ANAZIJUA VIZURI ndio maana anajaribu kuwa na tahadhari....
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Ukisema Dr Slaa MWONGO lazima uthibitishe uongo wake kwa kuweka wazi UKWELI ni upi. Hii itatusaidia wananchi wasioegemea upande wowote kuchanganua. CHADEMA ni chama Cha DEMOKRASIA.
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
CHADEMA NI CJAMA KINACHOONGOZA KWA UHUNI JILO LIKO WAZI NA NDIYO MAAANA MUNGU ANAWADHIBU HAMTAKAA MTAWALE NCHI HII
 
Back
Top Bottom