CHADEMA Makao Makuu isihangaike kumjibu Dkt. Slaa, ametumwa

Ukweli haujifichi, kama Dr slaa anazungumza ukweli au uongo ni swala la muda tu Kila kitu kitakua hadharani tena bila chembe ya shaka yoyote. Tuombeni uhai.
 
Kila Mtanzania yupi mkuu,mbona mi nimeelewa mpaka kamtaja jina aliyepigwa.

Kama CHADEMA mnatulazimisha tuamini Lissu alipigwa na serikali bila uthibitisho na kuna watu wameamini.

Kwanini watu haohao wanaoamini yasiyothibitishwa wasiamini na hili.
Ni kweli kuwa wapo watakaomuamini Slaa. Iwe kweli ama uongo.

Lakini the fact remain kuwa Slaa kwa mdomo wake ameonesha kuwa yeye siyo mkweli na ni mhalifu. Kitendo cha yeye kujua uhalifu na kuficha... Hell no, tena ni Padri mstaafu.

Natumaini Sirro amemsikia..... Police wanaweza kumtumia kujisafisha walau kwa mara ya kwanza.
 
CHADEMA hakiwezi kujibu hoja za Dr Slaa. Hayo mafaili yanayoandaliwa ni kuja kumshambulia tu binafsi ila sio kujibu hoja zake.
 
Akili ndogo tu inajua waliompiga risasi TL ndio haohao waliommaliza JPM.
It was an inside work.
TL alipigwa na maadui wa JPM wa ndani ili kumpaka jina la muuaji. It was a plan A.
na walitaka UCHUNGUZI ukifanyika uoneshe serikali kuhusika na ndio maana walihakikisha tukio linafanyika muda, na katika mazingira yanayoonesha kuhusika kwa serikali.
Plan A iliposhindikana wakapanga Plan B - wakamchomoa.
Kwa bahati mbaya ndani ya CHADEMA ni adimu saana kupata analysts waliotulia kuchanganua mambo.
Tangu akili kubwa za akina Prof Baregu, Prof Safari, Prof Kitila, Dr Slaa waondoke chama hakina uwezo wa kuanalyse mambo.
Ndio maana sasa hivi wengi wameungana na wale waliomchomoa JPM kupambana na MAITI.

..angekuwa hajahusika angehakikisha tukio linachunguzwa na waliohusika wanakamatwa.

..umesahau kwamba eneo aliloshambuliwa Lissu lilikuwa na CCTV ambazo mmiliki wake inasemekana na mbunge wa Chato.

..pia kitendo cha kukataa kugharimia matibabu ya Lissu, na kumfukuza ubunge, ni dalili za hasira za kushindwa kumuua Lissu.
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
🤣🤣🤣
2991488_images_7.jpeg
 
... lipuuzeni hilo lizee; halina jipya kwa sasa. Aina ya mtu aliyezoea uongo uongo ili aishi mjini.

Baada ya kesi ya ugaidi kubumba wanawatuma mawakala wao wenye roho za kishetani kujaribu kueneza vijisababu vingine vya kuendelea kuichafua Chadema.

Kwa neema za Mungu wa Mbinguni hawataweza; kama kubwa lao na vyombo vyote walishindwa huyu mjinga hataweza!
Nyinyi ni HYPOCRITES, leo ndiyo mumejua kuwa Dr Slaa aliondoka Upadre kwa kashfa, alipokuwa SG wenu alikuwa msafi kama malaika, lakini Leo mchafu.

Msimchokonowe huyo mzee ana siri nyingi za ndani chadema. Wacheni ujinga msije jilipua
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Dokta wa ukweli DrSlaa rais wa mioyoni mwetu watanzania ..mlituambia hili na halitabadirika tunamwamini Dr W Slaa
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Naunga mkono hoja. Hatuna habari nae. Tuna mambo mengi ya kufanya
 
Slaa ni dracula aliyekunywa damu yetu wakati wa shida! Huyu ni wa kusagasaga kama mchanga. Alipokea pochi baada ya kumwita Lowasa yeye mwenyewe akamwamini Delila wake ambaye naye amempiga kibuti yuko kwa mabeberu anakulwa!
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
UMEWAPA HEKIMA NZURI SANA,HONGERA CDM WASIJIBU LOLOTE WAMPUUZE TU...!(inatosha)
 
Back
Top Bottom