CHADEMA Makao Makuu isihangaike kumjibu Dkt. Slaa, ametumwa

Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Mkinyamaza MNAMUOGOPA. Na mkimjibu majibu yawe ya HOJA. Ingawa Kwa sasa mtu wa kumjibu Dr Slaa Kwa hoja SIJAMUONA.
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
alikua padre mzinzi hana madhara kwa sasa hata mshumbusi kesha mkimbia
 
Kwani kumjibu mtu kwa hoja haiwezekani bila kumdhalilisha? Au hapo CHADEMA vijana wa kujibu hoja kwa hoja wamekwisha?

Maana hata ktk uchambuzi wako umeishia kumuattack ktk personal issues.. mara upadre mara ukasisi..

Hoja hujibiwa kwa hoja badala ya vihoja

Nilidhani kuwa unataka kuwashauri CHADEMA kuwa kama wanataka kumjibu Dr Slaa basi wamjibu kwa hoja kuntu ktk kipengele alichokisema... badala ya kuhangaika na personal issues

CHADEMA moja ya mambo yanayowaangusha kwa sasa ni kujikita ktk kumshambulia mtu ktk mambo binafsi BADALA YA HOJA ZAKE
Hoja za Slaa ni zipi kwenye huko kubwabwaja kwake ?
 
Kila mtu na kalata yake sisi tunamuona kama mzalendo mwingine baada ya jpm so hayo mengine endeleeni nayo nyie sifieni mama sisi na slaa tumebadilishana hivi
 
Licha ya Dr Slaa kutumika kisiasa kughafilisha mchakato wa katiba mpya.. Lakini yeye kama yeye ana matatizo binafsi makubwa sana
Maana ya kiapo cha upadri
Mahusiano
Kukosa mrithi wa kibailojia atakayeendeleza jina
Matatizo ya kiroho
Hofu na sense of guilty
Kinyongo na hasira ya kuona CHADEMA inazidi kushamiri, inazidi kupendwa na inazidi kuwa imara hata baada yeye kutumika kwa asilimia mia moja kutaka kukiuwa hiki chama.. Anaumia sana sana..!

Dr. Slaa anateswa na vingi..TUMSAMEHE.. With CHADEMA...NO HATE NO FEAR..ONE LOVE!
Amina
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
Weka akiba ya maneno. Siyo kila king'aacho ni dhahabu.
 
Kwanini asijibiwe kama anapotosha? unataka aaminiwe na wajinga kwa uongo anaozungumza?

Uongo ukirudiwa mara nyingi hugeuka ukweli, muhimu ajibiwe.
 
Unaongelea katiba wewe wakati maboss wenu wamenyuti, tuliwaambia no leadership
Kwa hii ngoma ya Lissu, Dr Slaa hataweza kuwashawishi watanzania na dunia kwa ujumla. Hata utekaji hawezi brooo yamejianika mno. Yako wazi mno. Na akienda vibaya atakutana na akina bashite na yule wa Hai broo.
 
Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .
Siasa ni mchezo mchafu Sana.

Alipokuwa katibu mkuu wa CDM, hizi kashfa mlizifahamu ila mlizificha mbali zisijulikane, leo kageuka hasimu wenu muda wowote mtazitumia kumlipua.
 
Huyu huyu ambaye alioa ndoa ya pili ya kanisa au mwingne???..
Duh, kwani Babu Slaa hawezi kufikisha mawazo yake mpaka atumwe.....?

Kumbuka aliulizwa swali naye akalijibu hivyo, labda tuwakataze wanaokwenda kumuhoji wasimuulize kabisa kuhusu lile shambulio la Lissu...
 
Yule kakimbiwa ni bi.Mushumbushi hawez kuwa sawa kumkichwa
tusimlazimishe akubaliane na nyie wakati naye ana fikra tofauti na nyie mnavyowaza na hii ndio demokrasia na uhuru wa maoni ambao kila siku tunauhubiri....

Inaonekana kuna panic kubwa sana baada ya maneno yake machache juu ya tukio la Lissu, yale ni maoni yake lakini mkumbuke alikuwa mwenzenu tena Katibu mkuu na mgombea urais wenu TABIA ZENU ANAZIJUA VIZURI ndio maana anajaribu kuwa na tahadhari....
 
Alikuwa moto zamani sasa hata kwenye vuguvugu hayupo.

Back
Top Bottom