Taratibu mkuu!Kwa Tanzania, Amani = Upumbavu/Ujuha/Ujinga/Umasikini/Ufisadi/Mtaji wa CCM/
Taratibu mkuu!Kwa Tanzania, Amani = Upumbavu/Ujuha/Ujinga/Umasikini/Ufisadi/Mtaji wa CCM/
Wakati CCM wanajaribu kudumisha amani, Chadema wana mtazamo tofauto kwamba amani bila maendeleo ni bure. Je, maendeleo bila amani itakuwa vipi? Basi nashauri vyama hivi na wadau wao, wajaribu ku-synchronize the two, yaani hivi vitu viwili, amani na maendeleo, vinategemeana.
Mbona mtoa mada hajaonesha kuwa upande woote? wewe umejuaje au kigezo gani umetumia kum categorize kwamba ni wa Nape?Haya Magamba ya Nape, tuyaondoe humu JF. Kwa kutochangia post zao au kwa kuyapinga.
Wakati CCM wanajaribu kudumisha amani, Chadema wana mtazamo tofauto kwamba amani bila maendeleo ni bure. Je, maendeleo bila amani itakuwa vipi? Basi nashauri vyama hivi na wadau wao, wajaribu ku-synchronize the two, yaani hivi vitu viwili, amani na maendeleo, vinategemeana.
Haya Magamba ya Nape, tuyaondoe humu JF. Kwa kutochangia post zao au kwa kuyapinga.
Wakati CCM wanajaribu kudumisha amani, Chadema wana mtazamo tofauto kwamba amani bila maendeleo ni bure. Je, maendeleo bila amani itakuwa vipi? Basi nashauri vyama hivi na wadau wao, wajaribu ku-synchronize the two, yaani hivi vitu viwili, amani na maendeleo, vinategemeana.
mapinduzi ya kijani.Chimbuko la CCM ni "Mapinduzi", na hata kwa jina inajieleza kabisa kuwa mantiki na falsafa yake ni "Mapinduzi"..... wakati kwa CHADEMA ni "Demokrasia na Maendeleo"....! Nayo kwa jina hujieleza.....! Zaidi ni kwamba, mapinduzi wanayoita CCM hayajawahi kufafanuliwa kama ni mapinduzi ya namna gani hmaanishwa na CCM.... matokeo yake nchi ikapinduliwa miguu juu, kichwa chini...! Kwa hiyo kama CCM wanavyosema "Amani" ni kiini macho tu....! Hebu fikiria; Ukiwa baba, kila siku ukifika nyumbani, watoto na mama yao pamoja na wafanyakazi wako, huku wakiwa wameshinda njaa kutwa nzima, wanapata makwenzi walau mojamoja..... lakini kwa kuwa hakuna mwenye ubabe wa kukurudishia, wala kukuchukia hatua, wanabaki kuumia bila jinsi....! Sasa nikuulize, katika ile nyumba yako kutakuwa na amani? Au ni utulivu tu umetawala....? Hiyo ni picha halisi ya CCM kwa sababu wakiwa watawala wa nchi, lakini wananchi wakiteseka bila huduma yoyote, njaa, nk.... hutumia ubabe kuwazuia wananchi hao kufikisha hisia zao panapohusika.....! Sasa amani iko wapi? Lakini vilevile, kwa maneno mengine, "Demokrasia" huleta amani hasa pale "Maendeleo" yanapowezekana kwa kila mmoja....!
wakati ccm wanajaribu kudumisha amani, chadema wana mtazamo tofauto kwamba amani bila maendeleo ni bure. Je, maendeleo bila amani itakuwa vipi? Basi nashauri vyama hivi na wadau wao, wajaribu ku-synchronize the two, yaani hivi vitu viwili, amani na maendeleo, vinategemeana.
Mkuu amani na maendeleo vinaenda pamoja.Wakati CCM wanajaribu kudumisha amani, Chadema wana mtazamo tofauto kwamba amani bila maendeleo ni bure. Je, maendeleo bila amani itakuwa vipi? Basi nashauri vyama hivi na wadau wao, wajaribu ku-synchronize the two, yaani hivi vitu viwili, amani na maendeleo, vinategemeana.
Mkuu sentensi yangu ya mwisho nimesema hivi vitu viwili vinategemeana. Kwa hiyo uko sahihikwaiyo bora amani kwanza.au mi naona vyote vinategemeana kama pete na kidore
Mkuu mbona unapotoka? mimi sentensi yangu ya mwisho inasomeka hivi:Mkuu amani na maendeleo vinaenda pamoja.
Huwezi kudumisha amani wakati maendeleo hayapo, labda kama kuna maana nyingine ya maendeleo upande wako.
Mkuu nadhani hapo kwenye wekundu ulitaka kuandika "Peace"? na hapo penye kijani bila shaka ingependeza ingesomeka "it is more than that"? Wakati mwingine ni afadhali tuienzi lugha yetu ya kiswahili'Piece does not mean absence of war alone, its more that' kwa hiyo usifikiri kwa sababu Tanzania hakuna vita basi ndo amani yenyewe, amani lazima iendane na maendeleo ya watu wote huku tofauti kati ya walichonacho na wasionacho ikiwa ndogo kadiri inavyowezekana,lakini kwa hali hii tuliyonayo ufisadi kila mahali,ugumu wa maisha ndo kwanza unaongezeka, tofauti ya walichonacho na wasichonacho inazidi kua kubwa nk huwezi kuiita amani ya kujivunia bali ni bomu linalosubiri kulipuka.
soma thread ya ushauri wa Ulimwengu kwa Slaa'Piece does not mean absence of war alone, its more that' kwa hiyo usifikiri kwa sababu Tanzania hakuna vita basi ndo amani yenyewe, amani lazima iendane na maendeleo ya watu wote huku tofauti kati ya walichonacho na wasionacho ikiwa ndogo kadiri inavyowezekana,lakini kwa hali hii tuliyonayo ufisadi kila mahali,ugumu wa maisha ndo kwanza unaongezeka, tofauti ya walichonacho na wasichonacho inazidi kua kubwa nk huwezi kuiita amani ya kujivunia bali ni bomu linalosubiri kulipuka.
Mkuu nashukuru mpaka umeona hizo corrections ujumbe utakua umefika,ulikua ni msisitizo tu.Mkuu nadhani hapo kwenye wekundu ulitaka kuandika "Peace"? na hapo penye kijani bila shaka ingependeza ingesomeka "it is more than that"? Wakati mwingine ni afadhali tuienzi lugha yetu ya kiswahili