CHADEMA-Maendeleo, CCM-Amani

CHADEMA-Maendeleo, CCM-Amani

tusipoteze muda we si umeisoma? niambie anasemaje.
Usiwe mvivu wa kusoma wewe. Great thinker kama wewe jenga tabia ya kusoma na kuelewa vitu na si kungoja kusimuliwa. Ya kuhadithiwa ni mambo ya udaku
 
Good thought, inaitaji mchanganuo wa kutosha ili viwekwe pamoja,ila nahisi tatizo ni itikadi ndio issue hapo daaaa, nahisi tuwe tu na principles za kuongoza na kutawala inchi hata akija mwafrika wa kijani kutawala ikulu, si unayaona ya USA na China!nahisi tufanye hivyo haraka sana
 
Support!!
 
Chadema: ni chama cha demcracia na maan
damano
 
Usiwe mvivu wa kusoma wewe. Great thinker kama wewe jenga tabia ya kusoma na kuelewa vitu na si kungoja kusimuliwa. Ya kuhadithiwa ni mambo ya udaku
Tatizo sio uvivu,we kama ulitaka tuisome ungeiweka hapa sio tuanze kuitafuta kwa sababu hiyo sio mada iliyo mezani,watu tuna mambo mengi,kua Great thinker haimaanishi ndo uwe unashinda humu.
 
Sasa mkuu ukiwa mvivu namna hii utaendana na kasi ya Chadema wewe?
 
Back
Top Bottom