utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Ludo ametumiwa sana na chadema km mpelelezi hususan kujua ukubalikaji wa viongozi wao kwa jamii
Unajifanya mgumu kuelewa tunakwambia mwambie mwigulu amuonee huruma huyo binadamu kwani yeye ndie chanzo cha yote.Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
Wewe HAMIDA unataka kuniambia hauna contacts za mwigulu nchemba? Najua cdm imekukaa kichwani wako sana hilo swala ulipaswa kumwambia mwigulu kwanini amemtelekeza mshirika wake?
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
Hii ni sala? ngojera? kilio nyikani? dua? au kuwaza kwa sauti? sijui kama unajua unacho andika, na kama unajua basi unajitia ujinga. vyovyote vile, kama ludo alitumika na slaa au na ridhwan au mwiguli. inavyoonesha alikuwa anatumika kiusaliti, hivyo anachokipata ni malipo ya usaliti. alikuwa amevaa nguo za thamani gani mpaka vibaka wamnyang.anye,(alikuwa na wasi wasi wa damu kwelye nguo, kwa maono yangu) wakati anaonasha alikuwa hana kazi ya uhakika. hii ni damu kibada inamtesa... kwawanaojua kusoma sura, huyu jamaa ukimwangalia ni wale watu wa kutumikadr SLAA ni mtu aliyelelewa na kukulia seminary. amesoma dini huyu mtu na mwishowe imani ikamshinda kwa tamaa za kidunia.
nilidhani labda kuna mabaki ya ubinadamu ndani ya moyo wake yalyotokana na malezi mema ya kanisa lakini kumbe nilikosea kudhani hivyo!!. hakumbuki jinsi alivyomtumia huyu kijana katika mambo yake binafsi(machafu na masafi), amesahau jinsi alivyokuwa anayaweka rehani maisha ya huyu kijana kwa kumpa maagizo ya utekelezaji wa mambo ya hatari yaliyokuwa yanapangwa na kuratibiwa na makao makuu. amesahau jinsi alivyokuwa msiri wao na kufanikiwa kuficha siri nyingine ambazo hata mwenyekiti mbowe alikuwa hajui!!!!!
kma kosa lake lilikuwa ni kuibua siri ya mikakati ya kishetani ya CHADEMA dhidi ya waandishi wa habari, basi nadhani kuna siku mwanga wa mungu utamuangazia kwa sababu alifanya vile kwa maslahi mapana ya taifa.
kinachonifurahisha kuhusu hili sakata la lwakatare ni jinsi wana chadema wanavyojiumauma na kujikanganya kuhusu ile video. naona sasa wamehama kutoka kwenye'' VIDEO FAKE'' mpaka kwenye 'LUDOVIC MSALITI'''.
Mwisho wa hili sakata uko wazi.. LWAKATARE ATAFIA JELA KAMA MFUNGWA na LUDOVIC atasalimika.
just stay tuned
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
WanaJF!
Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.
Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana Ludovick Rwezaura ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.
Bwana Ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake.
Kwa hali kama hiyo, kijana Ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani.
Rai yangu kwa CHADEMA; haijarishi kijana Ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa CHADEMA kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia CHADEMA kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa CHADEMA kwa namna yake, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na Dr Slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa Dr Slaa.
Katika hali kama hiyo sikutarajia kama CHADEMA kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana Ludovick Rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini CHADEMA wana muadhibu kijana Ludovick kwa ubaya? kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani?
Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana Ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio CHADEMA juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo CHADEMA na viongozi wake wanashughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa Ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa Juliana Shonza na Mwampamba.
View attachment 101283Kijana Ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana Lwakatare wakiwa na askari magereza.
tatizo ni kwamba yeye ndiye .........ki........ Wa magamba wamtoe kama walivyo mwahidiwanajf! Leo ni siku ya kesi ya bwana lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka july 22, 2013. Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana ludovick rwezaura ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa. Bwana ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake. Kwa hali kama hiyo, kijana ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani. Rai yangu kwa chadema; haijarishi kijana ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa chadema kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia chadema kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa chadema kwa namna yake, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na dr slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa dr slaa. Katika hali kama hiyo sikutarajia kama chadema kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana ludovick rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini chadema wana muadhibu kijana ludovick kwa ubaya? Kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani? Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio chadema juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo chadema na viongozi wake wanashughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa juliana shonza na mwampamba. View attachment 101283kijana ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana lwakatare wakiwa na askari magereza.
Life is choice, Ludovick hayo ndiyo maisha aliyoyachaguwa sasa mimi nimuonee huruma ya vipi? sijakuelewa bado, labda ndugu yake maggid Mjengwa aende akamuwekee bond maana huyu alikuwa akitambulika kama msaidizi wa mwenyekiti Maggid kwenye Mjengwa blog.Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
Mwigulu sialimpa 50,000/- ili afanye hiyo kazi......?! Subiri Mwigulu atamtoa tu, sasa hivi anaona soo....!