wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
FactNikweli, hizi "NIME", "NITA" hazifai kwa afya ya Chama chochote.
Ila kwa sasa Lowassa ana jifariji baada ya kuporwa ushindi. Mimi naamini baadae ata tulia na kurudi kwenye mstari.
FactNikweli, hizi "NIME", "NITA" hazifai kwa afya ya Chama chochote.
Ila kwa sasa Lowassa ana jifariji baada ya kuporwa ushindi. Mimi naamini baadae ata tulia na kurudi kwenye mstari.
huoni mbali. unapoelezwa mambo ya msingi, yachambue, yatafakari ndo ujibu. sio kukurupuka tu. angalia, utajamwagiwa mebendazole.Acha
acha hizo Lowasa apewe Onyo la nini? ww badala ya kuhangaikia kipato chako na familia yako unashinda kukariri kauli za Lowasa tu, huna cha kufanya? Chadema hawana shida na kauli hizo wali hazina Tatizo mda huu watu wapo busy kumuandaa katibu mkuu wa chama.
Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.
Hata Ukawa iliasisiswa kabla ya Lowassa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila Lowassa mambo yangekuwaje UKAWA?? Kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowassa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba Chadema na Ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi Chadema na muungano wa Ukawa.
Kauli za Lowassa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za Dola.
Mfano wa kauli za Lowassa;
Na nyingine nyingi zenye utata!
- "Nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "Nimewasaidia kushikilia jiji la Dar es salaam"
- "Nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "Nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??
Lowassa apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and intergrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo.
exactly mkuuKwani ukinunua ng'ombe mwenye mimba si unanunua na ndama wake akizaliwa? Ndivyo ilivyotokea kwa CHADEMA na Lowasa. Kanunua chama na kila kitu kizuri kinachotokea kimetokana na ushawishi wake
Kwani wewe CHADEMA ni chama chako? Katiba na sheria zinampa mtu uhuru wa kushiriki siasa kupitia chama anachokitaka.Basi mwambieni aunde chama chake aongoze zaidi mwaka 2020
Mkuu una hoja ya msingi sana. Ni mtu wa ajabu sana atakayepinga hoja kuntu kama hii. Kauli za NIME .... sio sahihi kabisa kitaasisi. Mwanasiasa makini husema "Chama kime ..." au "TUME ..." na sio "NIME ...". Magamba na madhaifu yao yote wanajua sana kucheza na hizi kauli; wanajua maana ya "COLECTIVE RESPONSIBILITY" ila likitokea la kutokea wanajua kucheza karata zao fasta; nani wamdondoshee "jumba bovu" chama kipate kupona.
Tatua kwanza ya Zanzibar kwenu ndio uje Chadema.Ongeza na hili "nitawafukuza wabunge na madiwani wote mizigo "
CCM walifanya kazi kubwa sana kumdhibiti Lowassa na genge lake,kumzuia asiwe rais wa nchi hii haikuwa kazi ndogo. Tatizo la Lowassa hapendi kuwa chini,anataka awe juu ya wote wakati wote.Wakati alipokuwa Waziri mkuu alifanya kila namna kum_outshine Mkwere mpaka Mkwere akaonekana kama amewekwa na Lowassa madarakani,ikabidi Mkwere afanye maamuzi magumu ya kumchinjia baharini swahiba wake huyu la sivyo angelizwa.CHADEMA mlivyo wajinga mkaamua kuwasaidia CCM kuutua msalaba huu na kujitwika kichwani,haya kazi kwenu sasa.
CHADEMA kinapaswa kuwa chama cha kitaifa unless wewe ni mbumbumbu wa siasa au unatoka kaskaziniTatua kwanza ya Zanzibar kwenu ndio uje Chadema.
CHADEMA kinapaswa kuwa chama cha kitaifa unless wewe ni mbumbumbu wa siasa au unatoka kaskazini
Lakini kuna kaukweli kwamba kama si lowasa isingekua rahisi chadema kuzoa kura zaidi ya ml 6 na kukamata jiji la dar. Magufuli hata yeye kwenye mabango na hotuba zote alisisitiza chagua Magofuli na serikali ya Magufuli itafanya kadha. Watu walipiga kura za urais kipindi hiki kwa kuangalia zaidi wagombea na si vyama.Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.