kulaumiana nanani? tangu lini mwanajeshi akavujisha siri za kambi kwa maadui? nyie si ndo wale fisi mnavaa ngozi za kondoo?mtu kupewa onyo kwa mapungufu yake haimaanishi kuwa haitajiki, tunaopenda kujenga chama tunasema mapema ili tusijelaumiana huko mbele
nikweli kabisa. bila lowassa mm nisingewapigia kura UKAWAChadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
Hawez kuwa chadema huyu . Kada wa chadema anayejitambua Hawez andika hivyo .Kwani unajuaje kuwa aliyeleta mada hii si mwana CHADEMA?
Chadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
Bas kumbe lowassa ana wafuasi wengi sanaMkuu watakaokushambulia ni wafuasi wa Lowasa na si wa Chadema
Asante mkuu, huo ukweli kwamba chama kimenunuliwa ndio mgumu kukubalika ndani ya vichwa vya wanachadema, kwani Lowassa anapetumia hizo "nime" bwana mkubwa Mbowe wala hajitokezi kupinga, maana yake ni kweli kabisa anayelipa hela ndio anayechagua wimbo.Kwani ukinunua ng'ombe mwenye mimba si unanunua na ndama wake akizaliwa? Ndivyo ilivyotokea kwa CHADEMA na Lowasa. Kanunua chama na kila kitu kizuri kinachotokea kimetokana na ushawishi wake
Story za namna hii sio kipaumbele chetu kwasasa.... Najua wazi mweleka wa umeya Dar hautaenda hivihivi kuna Post nyingi sana zitafuatia za namna hiiChadema ilikuwepo kabla ya lowasa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania. Hata ukawa iliasisiswa kabla ya lowasa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila lowasa mambo yangekuwaje UKAWA?? kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowasa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba chadema na ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi chadema na muungano wa ukawa. Kauli za lowasa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za DORA.
mfano wa kauli za lowasa
- "nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
- "nimewasaidia kushikilia jiji la dar es salaam"
- "nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
- "nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata,; swali ni je kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"
Alafu toka lini Lowasa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020 ??
LOWASSA apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and integrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo
Chadema kipoa imara na majungu yenu hayatabadili msimamo wetuMnakumbuka shuka kumekucha shauri yenu kama hajafanya alichofanya mrema nccr mageuzi na tlp kutimua wale waliomkaribisha
Tuko makini kuliko unavyofikirimkuu hiki ni chama cha wanachama wote, na sio mtu mmoja, anayoyafanya LOWASA ndo yaleyale aliyofanya ZITO; ya kujifanya kila zuri wewe ndo umelileta.
Mwaka 2012 nilibandika hapa uzi wenye kichwa cha habari (NAIBU KATIBU MKUU) nikikemea unafiki wa zitto kujibinafshia chama na kuwataka viongozi wamtimue, wengi mlishambulia hivihivi buta baadaye hii ikawa hoja yenu kuu.
natoa angalizo : Tabia hii haikubaliki
Hapa sijaona mwanachama hata mmoja acheni usaniiHakuna mwenye uwezo wa kumhoji LOWASSA Kuhusu CHOCHOTE.Kama hutaki HAMA CHAMA