Na wewe anza, au unangoja wafike katikati?Mmeanza
hayo matukio ya kuuana siyo utamaduni wetu Magu anajaribu kuiga nchi jirani,Halikuwa tukio la kitanzania mkuu, limewakera na kuwaumiza wengi tena wakubwa tu, ila wapo kimya!
'ulimi wa mwenye hekima hunena busara, bali mdomo wa mpumbavu hunena upumbavu'.Hiyo inaonesha wanamwona Lissu kama ni mtetezi wao, kwa sasa wanaitwa kwenye mikutano ya akina Niombeeni lakini hata kuuliza swali la ufafanuzi wanaogopa. Kama mabosi wao waliambiwa hawako huru "to that extent" unafikiri nini?
mimi Lisu simpendi kabisa
MWISHO WA UBAYA AIBU!Wana bodi.
Jana nikiwa nafatilia mkutano wa mwenyekiti wa chadema akiongea na wa waandishi wa habari kuna jambo lilinishtua baadae likanipa faraja... Si utamaduni wa waandishi wa habari kupiga makofi au kushangilia wakiwa kwenye mikutano ya kihabari hii ni kawaida nadhani kitaaluma japo mimi si mwanahabari..ila inatakiwa kuwa hivyo ili kuonesha kutokuwa upande wowote na kazi yao ni ya kutoa habari kuhoji pamoja na maswali.
Jana mara tu baada ya mbowe kusema kuwa lisu ameweza kutoka nje na kuliona jua na kuhaidi kuwa atatoa picha zake akiwa hospitalini..pale aliposema atatoa video/audio ya lisu akiwa anaongea nilisikia na kuona ukumbi ukiyoyoma waandishi wa habari wakishangilia sana.. Kwa jicho la tatu haya ni maajabu sana...kwa furaha hiyo ilionesha si kwamba waandishi walifurahishwa kupata video yake bali kumuona akiwa anaongea...!!
Lissu unapendwa sana... Pona haraka!!
Rejea kipindi cha maswali na majibu cha rais JPM, walionyesha kuwa wana timu, mwananchi na raia mwema na mwanahalisi bila kusahau mawio walileta "roli la wanahabari".Walipitiwa kama ni kweli, kwani mwandishi hana upande labda kama amejitambulisha ni wa itikadi au chama fulani.
Wewe peke yako mwana Lumumba usiyemtaka Lissu.....mimi Lisu simpendi kabisa