CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Hii tume ya ccm?sikiliza hapa
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Tunakubali kwa kauli moja chadema hakuna kwenda ,yaliyotabiriwa ndani ya kampeni kabambe ya no reform no election, yamedhibitika kabla jogoo kuwika, Mungu Mwema sana
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
CCM tutapita bila kupingwa.Safi kabisa
 
kuna kundi ndani ya chadema ambalo lina endorsement na serikali litashiriki kusaini hayo maadili ya uchaguzi ili kuhalalisha kila kitu kipo well calculated kama jana uliweza kusikiliza bunge kuna mbunge mmoja wa covid19 alikuwa ana changia na aliponda harakati za no reforms no election na akasema wao watagombea na alipigiwa makofi na wabunge wa ccm ,hii ni kiashiria kwamba kuna kitu flani kinaendelea nyuma ya pazia.
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
hatutaki kudanganyika tenaa! mpaka reform zifanyike ndipo tutaenda kuitoa Tanzania shimoni
 
Safi yakose Ruzuku alafu tuone kama yatazururura hovyo

Lissu anajidanganya Tone tone itaendezha chama

Amaesahau ruzuku aliozita haramu ndio zinampa pesa na posho

Chiba kitambi chake kilichojaa mavi kama furushi
Aisee, we mchagga "massawe" yereeeyu, unawaza ruzuku tu pumbaf kabisa weye...
 
Ina maana hata genge la G55 hawatagombea kwa chama chao kutokusaini fomu hiyo? Basi waseme tu chadema haipo, ni ccm na vyama dhaifu tu ndio watagombea
 
Sasa kama hamshiriki msifanye kosa la kuzuia uchaguzi Wala kuzuia wengine wasishiriki.

Harafu muone kama Nchi itapata njaa Kwa sababu eti Chadomo hawajashieiki uchaguzi 😂😂
Watashiriki kunguni kamq wewe na wenzako tuliolipa ada kusoma shule siyo kuhudhuria shule hatutashiriki bila reforms
 
Muntika ameonesha msimamo sana kwa kukataa kusaini. Hasa kipindi hiki ambacho kiongozi wake yupo gerezani. Ila kuna walking kama kweli hatasaini... Nguvu kubwa ya ushawishi inaendelea kutumika..
 
Kama maadili ni mazuri hawana haja ya kutosaini
Utayapimaje maadili ya Tume ambayo imeteuliwa na unayepambana naye.

Lema ameshafundisha na kutoa mifano mara nyingi, hii Tume ni kama Refa ambaye ameteuliwa na mpinzani wako haiwezi kufanya Fair. Hayo maadili ni kiini macho tuu. Uhalisia tunaujua, huyo Kailama mwenyewe ni Kada wa CCM unategemea maadili gani?
 
Back
Top Bottom