CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Atakaye saini Kanuni za maadili atakuwa ameonyesha nia ya kuzingatia amani na utulivu kwenye kampeni. CHADEMA hawajawahi Kuwa na nia njema kwenye harakati zao. Mwenye nia njema hawezi akawa mtu wa kukosoa tu bila kuyapokea mema yanayofanywa na serikali
 
Dawa CHADEMA wakose RUZUKU,UMMA wenyewe ukomae hadi kieleweke,yaani UMMA ukatae uchaguzi ambao wakurugenzi ni waamuaji kwa maelekezo ya watawala wa kipindi hicho,yaani MABADILIKO yafanyike.
Umma upi?

Nyie vichaa sana

Umma ukomae kwamba Lissu analeta asali kwenye maisha yao au?
Koseni ruzuku muone kama amjagawana mbao
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Pigo gani sasa..?
 
Safi yakose Ruzuku alafu tuone kama yatazururura hovyo

Lissu anajidanganya Tone tone itaendezha chama

Amaesahau ruzuku aliozita haramu ndio zinampa pesa na posho

Chiba kitambi chake kilichojaa mavi kama furushi
si vyema kumuita chiba kwa kuwa tu mna itikadi tofauti za kisiasa kabla ya jaribio lile la mauaji alikuwa sawa kabisa.
 
Safi yakose Ruzuku alafu tuone kama yatazururura hovyo

Lissu anajidanganya Tone tone itaendezha chama

Amaesahau ruzuku aliozita haramu ndio zinampa pesa na posho

Chiba kitambi chake kilichojaa mavi kama furushi
Uchawa kazi ngum sana ,hasa nyakati izi
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...

Hakuna mtego wowote hapa huwezi kushiriki chaguzi kwa sheria hizi ni kupoteza muda. Yaani wangetenguliwa wote sasa hii ni nini. Reform ni pamoja na hili sijui kwanini mnakuwa wazito kuelewa. Yaani reform zenyewe ni haya mambo !! wewe unaongelea mtego ni kutokujua Chadema wanacho ongelea
 
Safi yakose Ruzuku alafu tuone kama yatazururura hovyo

Lissu anajidanganya Tone tone itaendezha chama

Amaesahau ruzuku aliozita haramu ndio zinampa pesa na posho

Chiba kitambi chake kilichojaa mavi kama furushi
Mkuu Lisu kama hajakuchulia demu wako basi dada yako sio kwa chuki hizo kwake
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
ni pigo na mtego kwa ccm huwezi elewa hata kidogo
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Wameshapeleka watu wa kusaini 😁😁
 
Jmn mbona hamuelewi, CDM hatushiriki uchaguzi wa Maigizo!

Endeleeni nao nyie wenye maigizo yenu

Kwa sasa nguvu kubwa ya CDM ni kuelimisha maovu ya mfumo wa uchaguzi uliopo!
Sasa kama hamshiriki msifanye kosa la kuzuia uchaguzi Wala kuzuia wengine wasishiriki.

Harafu muone kama Nchi itapata njaa Kwa sababu eti Chadomo hawajashieiki uchaguzi 😂😂
 
..at least uchaguzi utakuwa wa amani na baridii
 
Back
Top Bottom