CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Chadema haitashiriki chaguzi za mauaji, Itazuia Uchaguzi
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Chadema imeshatangaza kuwa haitashiriki huo uchaguzi wa kipumbavu. Sasa huo mtego utaikwamisha nini Chadema?
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Siyo kweli inachotakiwa chadema kufanya ni kutokushiriki wala kusaini....ukweli ni kwamba 2025 anacho kifanya samia ni kujitangaza mshindi yeye na wabunge wa chama chake hakuna uchaguzi wowote 2025 hivyo kete pekee kwa chadema ni kupinga uchaguzi kwa jasho na damu mwisho wa siku hata uchaguzi wa kihuni wa samia ukifanyika basi lazima kutaundwa serikali ya mseto maana baada ya samia kujichagua mwenyewe itakuwa ngumu kwa ccm kuongoza hiyo miaka 5
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Usishangae kuambiwa wamesaini hata kama hawakwenda.
 
Hakuna cha pigo,Kairima na singida zake usoni na mapete yake mkononi ni dhahiri shahiri kua lengo kuu ni kumuweka Lissu jela mpaka uchaguzi upite,hata hiyo express ni kuhakikisha inavizia kutumia mwanya huo ambapo kesho ni Jumamosi sio siku ya kazi kwa mujibu wa utumishi wa umma,wanajua hakuna mtu anaeweza kukimbilia mahakamani kuzuia!!

Zoezi zima ni ushahihidi tosha wa Samia na serikali kuiba uchaguzi. Kuna haraka Gani ya kusaini kesho Jumamosi?!! Ikiwa wiki ijayo siku ya kazi kuna tatizo Gani?!!

Kama alivyowavizia CCM kujipitisha kua mgombea pekee mwezi January baadala ya June,ndio najisi zimemkolea!!
 
Safi yakose Ruzuku alafu tuone kama yatazururura hovyo

Lissu anajidanganya Tone tone itaendezha chama

Amaesahau ruzuku aliozita haramu ndio zinampa pesa na posho

Chiba kitambi chake kilichojaa mavi kama furushi
Huwa nina kwambia siku zote umejitoa ufahamu sana .Isijifanye uko nyumba ya keyboard rohoni ardhi inarecod.Ipo siku isiyo na jina Damu za watu ulizoshiriki kumwaga zitanena.Ipo siku damu za watu ulizoshangilia kumwagika zitakuwa juu ya familia yako.Ipo siku unachokishangilia kisa fedha haramu za CCM zitakuwa juu ya wazazi ,watoto na hata wewe mwenyewe.Nina kufahamu vizuri na matendo naya fahamu .

Kuwa makini na maisha ya baadaye
 
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya Uchaguzi No. 162.. (Ngoja Niitafute)

My Take: Hili Ni Pigo Na Mtego Mwingine Mkubwa Kwa Chadema...
Kwahiyo mchuano utakua ni kati ya samia na Hashim rungwe spunda ubwabwa???
 
Safi yakose Ruzuku alafu tuone kama yatazururura hovyo

Lissu anajidanganya Tone tone itaendezha chama

Amaesahau ruzuku aliozita haramu ndio zinampa pesa na posho

Chiba kitambi chake kilichojaa mavi kama furushi
Punguza chuki wewe, ugonjwa wako wa FISTULA ,hasira uzielekeze kwa Lissu 😀😀😀

Kajitibie kwanza FISTULA, ni ugonjwa ambao unaathiri sana watu kisaikolojia.

Wengi Huwa wanaropoka kama wewe.

FISTULA Inatibika nenda kajitibie, weka Number ya cm tukuchangie fedha za kujitibu FISTULA 🤣🤣🤣😀😀
 
Back
Top Bottom