CHADEMA kuzoa wasanii mastaa kugombea ubunge 2015

CHADEMA kuzoa wasanii mastaa kugombea ubunge 2015

Wamo,
Judith Wambura (Lady Jay Dee) anaandaliwa jimbo moja Musoma,
Selemani Msindi (Afande Sele) anaandaliwa jimbo la Morogoro Mjini
Fredy Maliki (Mkoloni) anaandaliwa jimbo moja mkoani Tanga.
Jacob Steven (JB) anaandaliwa jimbo moja la jijini Dar es salaam.

Inasemekani ni kutokana na ushawishi wa wabunge vijana Halima Mdee, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi na John Mnyika.

Chanzo Habari Leo.

Habari leo acheni viherehere, andikeni habri za uhakika acheni udaku, hata CCM ina wasanii kwanini na yenyewe isiwaandae wagombee ubunge..
 
Back
Top Bottom