CHADEMA kuzoa wasanii mastaa kugombea ubunge 2015

CHADEMA kuzoa wasanii mastaa kugombea ubunge 2015

nilivyoiona hii habari kwenye hili Gazeti la Serikali nilisikitika sana na kujiuliza inawezekanaje katika Watanzania takribani 50m amekosekana mtu mwenye kufit nafasi ya kuwa mhariri wa gazeti kama hili!
 
Huyo Sugu na wasiwasi na elimu yake naona muda mwingi anaimba tu akiwa bungeni sema ndio sio mlevi kama huyo wa murogoro aibu kumwita mbunge alishawahi kwenda bungeni wakamzuia kuingia ndani leo ndio awe mbunge mnatuchefua kweli tena JB na tumbo lake alipeleke bungeni na hata jina lake hajui kuliandika chadema kwakweli mnachekesha
 
Nilishasema hata cdm wenyewe wanajua hawana uwezo wa kuitoa ccm madarakani sasa ndio pumba gani hizo kama sio kupoteza mwelekeo si hata wacheza ngoma maarufu vijijini wapo waende na huko basi

Hata yule mkuu wa mkoa ccm mlio muweka pale Ruvuma ni mcheza dansi, sasa mnashangaa nini CDM kutumia wasanii.
 
Chadema imefanya ubunge uwe rahisi kama unanawa

>Hivi chadema kuna wabunge wenye elimu ya darasa la saba? Jibu ni hapana... Ccm wako wengi sana... profesa maji marefu, Lusinde Livingston, Kessy Said, Airo nk
 
>Niwapongeze wasanii wote kwa kukipenda chadema... Hakika mmejitambua... Ogopeni wizi, dhuluma, ujangili, ukandamizwaji, na ufisadi unaofanywa na ccm inayojifia...
 
ha ha ha , aminia CDM, angalau Judith Wambura, ila hao wengine mimi binafsi sina imani nao.... Judth ameanzisha kitu kikasimama na kuonekana kwa hiyo naweza mpa kura yangu ila hao jamaa wengine, BANGI TUPU
 
ha ha ha , aminia CDM, angalau Judith Wambura, ila hao wengine mimi binafsi sina imani nao.... Judth ameanzisha kitu kikasimama na kuonekana kwa hiyo naweza mpa kura yangu ila hao jamaa wengine, BANGI TUPU
Wampe na wamitego.
 
Dah? ni bora hao maana hata mashairi yao yamekuwa ni wanasiasa full, listi bado kabisa

hapo kuna Roma Mkatoliki, Prof. Jay a.k.a mzee wa mtulinga na Tz Msafiri Kondo a.k.a

Sollo thang fikra pana mtazamo chanya kama unataka amin nenda kasikilize Mtizamo

wa Afande Selle ft Prof. Jay, Miss Tanzania wa Sollo Thang na umalizie na Ndio mzee wa

Prof. Jay. kama utamaind vimba na upasuke na kama hautaki andamana. 2020 atakuja

kijana wa True boy Nay wa mitego.
 
Kama akigombea Moro aki pita basi Wanamorogoro watakua wana hasara

yaani huyu ana uwezo kuliko wale waliomo kule mjengoni. Hakuna wa kumfananishae kwa upande wangu jamaa huyu. Amini

siamini.
 
Wamo,
Judith Wambura (Lady Jay Dee) anaandaliwa jimbo moja Musoma,
Selemani Msindi (Afande Sele) anaandaliwa jimbo la Morogoro Mjini
Fredy Maliki (Mkoloni) anaandaliwa jimbo moja mkoani Tanga.
Jacob Steven (JB) anaandaliwa jimbo moja la jijini Dar es salaam.

Inasemekani ni kutokana na ushawishi wa wabunge vijana Halima Mdee, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi na John Mnyika.

Chanzo Habari Leo.

hii imekaa vizuri tu mbona, maana vijana hawa ni Watanzania na kushiriki siasa ni haki yao. Vipi Joseph Haule (LeProfesori) bado hajaamua kugombea jimbo?
 
Back
Top Bottom