VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Kujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo kusahaulika. Iko wazi kuwa mpambano wa Arusha ni wa kupigiwa mfano. Ni mpambano wa kisiasa kweli!
Huu utakuwa ni mwanya kwa chama chetu,CCM, kujitwalia ushindi kwenye kata zisizo Arusha kama 'kumsukuma mlevi' vile. CHADEMA lazima iwe makini na mbinu hii. Isijisahau kwingineko. Ipambane kila Kata ya kila mkoa. Nina uhakika mnaweza kuleta ushindani popote.Napenda siasa za ushindani.Siasa huleta maendeleo.Ndiyo maana natoa angalizo hili.
Kila la kheri CCM,CHADEMA,CUF,TLP,NCCR-Mageuzi na wengineo katika uchaguzi wa Jumapili!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
ccm wana akili za kushikiwa,mji wa arusha unawanyima usingizi kwani mafisadi wote ndani ya ccm wamewekeza pale,wameweka boya lao meya wa kichina ili awalindie maslahi kwa hiyo wako tayari hata kukaa na chadema kuwaachia kata zote ili waiongoze manispaa ya arusha kihalali na chadema wanalifahamu hilo.
mimi nashauri chadema kuachana na kata nyingine zote na kuangusha msuli wa kufa mtu arusha.kuna fisadi mmoja ndani ya cm kajimilikisha hoteli ya 77 anaogopa kuikarabati mpaka ahakikishe kuwa meya wa kichina anahalalishwa ndipo aanze ujenzi baada ya kumfanyia mizengwe impala.
Duh! ooooops! sijakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!! WEWE ni CHAMA gani?
Wewe Mzee tupa tupa uhai wako upo hatarini jifunze mwenyewe kutembelea misitu ya mwabepandeKujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo kusahaulika. Iko wazi kuwa mpambano wa Arusha ni wa kupigiwa mfano. Ni mpambano wa kisiasa kweli!
Huu utakuwa ni mwanya kwa chama chetu,CCM, kujitwalia ushindi kwenye kata zisizo Arusha kama 'kumsukuma mlevi' vile. CHADEMA lazima iwe makini na mbinu hii. Isijisahau kwingineko. Ipambane kila Kata ya kila mkoa. Nina uhakika mnaweza kuleta ushindani popote.Napenda siasa za ushindani.Siasa huleta maendeleo.Ndiyo maana natoa angalizo hili.
Kila la kheri CCM,CHADEMA,CUF,TLP,NCCR-Mageuzi na wengineo katika uchaguzi wa Jumapili!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Tunashukuru Mzee Tupatupa kwa angalizo hili.Kujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo kusahaulika. Iko wazi kuwa mpambano wa Arusha ni wa kupigiwa mfano. Ni mpambano wa kisiasa kweli!
Huu utakuwa ni mwanya kwa chama chetu,CCM, kujitwalia ushindi kwenye kata zisizo Arusha kama 'kumsukuma mlevi' vile. CHADEMA lazima iwe makini na mbinu hii. Isijisahau kwingineko. Ipambane kila Kata ya kila mkoa. Nina uhakika mnaweza kuleta ushindani popote.Napenda siasa za ushindani.Siasa huleta maendeleo.Ndiyo maana natoa angalizo hili.
Kila la kheri CCM,CHADEMA,CUF,TLP,NCCR-Mageuzi na wengineo katika uchaguzi wa Jumapili!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Nadhani yeye ni MTANZANIA zaidi ya uanachama JAPO anadhaniwa kuwa kada wa CCMDuh! ooooops! sijakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!! WEWE ni CHAMA gani?
Duh! ooooops! sijakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!! WEWE ni CHAMA gani?