CHADEMA kuweni makini kwa hili

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Kujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo kusahaulika. Iko wazi kuwa mpambano wa Arusha ni wa kupigiwa mfano. Ni mpambano wa kisiasa kweli!

Huu utakuwa ni mwanya kwa chama chetu,CCM, kujitwalia ushindi kwenye kata zisizo Arusha kama 'kumsukuma mlevi' vile. CHADEMA lazima iwe makini na mbinu hii. Isijisahau kwingineko. Ipambane kila Kata ya kila mkoa. Nina uhakika mnaweza kuleta ushindani popote.Napenda siasa za ushindani.Siasa huleta maendeleo.Ndiyo maana natoa angalizo hili.

Kila la kheri CCM,CHADEMA,CUF,TLP,NCCR-Mageuzi na wengineo katika uchaguzi wa Jumapili!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
 
CCM wana akili za kushikiwa,mji wa Arusha unawanyima usingizi kwani mafisadi wote ndani ya CCM wamewekeza pale,wameweka boya lao meya wa kichina ili awalindie maslahi kwa hiyo wako tayari hata kukaa na CHADEMA kuwaachia kata zote ili waiongoze manispaa ya Arusha kihalali na CHADEMA wanalifahamu hilo.
mimi nashauri CHADEMA kuachana na kata nyingine zote na kuangusha msuli wa kufa mtu Arusha.kuna fisadi mmoja ndani ya CCM kajimilikisha hoteli ya 77 anaogopa kuikarabati mpaka ahakikishe kuwa meya wa kichina anahalalishwa ndipo aanze ujenzi baada ya kumfanyia mizengwe Impala.
 
Kujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo kusahaulika. Iko wazi kuwa mpambano wa Arusha ni wa kupigiwa mfano. Ni mpambano wa kisiasa kweli!

Huu utakuwa ni mwanya kwa chama chetu,CCM, kujitwalia ushindi kwenye kata zisizo Arusha kama 'kumsukuma mlevi' vile. CHADEMA lazima iwe makini na mbinu hii. Isijisahau kwingineko. Ipambane kila Kata ya kila mkoa. Nina uhakika mnaweza kuleta ushindani popote.Napenda siasa za ushindani.Siasa huleta maendeleo.Ndiyo maana natoa angalizo hili.

Kila la kheri CCM,CHADEMA,CUF,TLP,NCCR-Mageuzi na wengineo katika uchaguzi wa Jumapili!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.

Duh! ooooops! sijakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!! WEWE ni CHAMA gani?
 
mzee tupa tupa sasa upo arusha? thanx for good advice and i hope chama dume chadema they take action 4 this
 
mzee Tupatupa kweli upo makini, kuna siku wakikujua hapo Lumumba watakuvua soksi bila kutoa viatu.
 
vuta n kuvute uwa sikuelewagi yani mkuu, ila poa nafikiri wahusika watalifanyia kazi.
 
Hapa ni Kata ya Mbalamaziwa, Mufindi, kule ambako Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alirekodiwa akitoa rushwa kwenye mkutano wa kampeni.

CHADEMA imeshika kweli kweli ndiyo maana wamelazimika kuanza kununua kama kawaida yao. Watakwama.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1371108154.223003.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371108154.223003.jpg
    97.1 KB · Views: 58
  • ImageUploadedByJamiiForums1371108182.196975.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371108182.196975.jpg
    99.6 KB · Views: 69
  • ImageUploadedByJamiiForums1371108232.376128.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371108232.376128.jpg
    78.5 KB · Views: 57
  • ImageUploadedByJamiiForums1371108264.904166.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371108264.904166.jpg
    91.9 KB · Views: 49
  • ImageUploadedByJamiiForums1371108306.457253.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371108306.457253.jpg
    60.5 KB · Views: 48
  • ImageUploadedByJamiiForums1371108337.798599.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371108337.798599.jpg
    70.3 KB · Views: 51
ccm wana akili za kushikiwa,mji wa arusha unawanyima usingizi kwani mafisadi wote ndani ya ccm wamewekeza pale,wameweka boya lao meya wa kichina ili awalindie maslahi kwa hiyo wako tayari hata kukaa na chadema kuwaachia kata zote ili waiongoze manispaa ya arusha kihalali na chadema wanalifahamu hilo.
mimi nashauri chadema kuachana na kata nyingine zote na kuangusha msuli wa kufa mtu arusha.kuna fisadi mmoja ndani ya cm kajimilikisha hoteli ya 77 anaogopa kuikarabati mpaka ahakikishe kuwa meya wa kichina anahalalishwa ndipo aanze ujenzi baada ya kumfanyia mizengwe impala.

Kwa hilo la Hotel 77 , Tunashukuru sana Ndugu BOSCONTAGANDA , umewaokoa wana Arusha .
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE, wewe ni mchambuzi wa mambo ya kisiasa, unajisahau kuwa Arusha ni zaidi ya uchaguzi wa udiwani, ni kutaka CHADEMA ichukue manicipal, ili kumuondoa meya feki, ndio maana, Arusha ni muhimu kuliko kwengine, ikiwa ni pamaoja na kujenga ngome imara.

Kata zote nne zikirudi CHADEMA inamaana maamuzi ya kamati kuu ya kuwavua ubunge wale masalia itakuwa ni sahihi.

Kuna zaidi ya hao.Tafakari.
 
Last edited by a moderator:
Kujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo kusahaulika. Iko wazi kuwa mpambano wa Arusha ni wa kupigiwa mfano. Ni mpambano wa kisiasa kweli!

Huu utakuwa ni mwanya kwa chama chetu,CCM, kujitwalia ushindi kwenye kata zisizo Arusha kama 'kumsukuma mlevi' vile. CHADEMA lazima iwe makini na mbinu hii. Isijisahau kwingineko. Ipambane kila Kata ya kila mkoa. Nina uhakika mnaweza kuleta ushindani popote.Napenda siasa za ushindani.Siasa huleta maendeleo.Ndiyo maana natoa angalizo hili.

Kila la kheri CCM,CHADEMA,CUF,TLP,NCCR-Mageuzi na wengineo katika uchaguzi wa Jumapili!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Wewe Mzee tupa tupa uhai wako upo hatarini jifunze mwenyewe kutembelea misitu ya mwabepande
 
Kujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo kusahaulika. Iko wazi kuwa mpambano wa Arusha ni wa kupigiwa mfano. Ni mpambano wa kisiasa kweli!

Huu utakuwa ni mwanya kwa chama chetu,CCM, kujitwalia ushindi kwenye kata zisizo Arusha kama 'kumsukuma mlevi' vile. CHADEMA lazima iwe makini na mbinu hii. Isijisahau kwingineko. Ipambane kila Kata ya kila mkoa. Nina uhakika mnaweza kuleta ushindani popote.Napenda siasa za ushindani.Siasa huleta maendeleo.Ndiyo maana natoa angalizo hili.

Kila la kheri CCM,CHADEMA,CUF,TLP,NCCR-Mageuzi na wengineo katika uchaguzi wa Jumapili!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Tunashukuru Mzee Tupatupa kwa angalizo hili.
 
Duh! ooooops! sijakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!! WEWE ni CHAMA gani?

ni mnafiki na mamluki flani hivi anayetafuta umaarufu kwa umbea!!!eti kutoka lumumba!!!????no wonder nchi hii ni maskini coz imetawaliwa na unafiki/fitina/majungu na mamluki dizaini ya huyu mzee
 
Wewe hujawa CCM, acha kudanganya watu hapa JF.

Hata kozi yako ya sheria haikusaidii kwa vile wanasheria wanasimamia ukweli lakini cha kushangaza unataka kuwaaminisha watu hapa JF kwa kuwadanganya kama uko CCM.

Mkuu shukuru tu sheria za JF haziruhusu NAME CALLING na kwa vile watu kama mimi tunaishi ndani ya sheria tofauti na wewe unayeishi ndani ya uongo, basi endelea kupotosha na kudanganya watu hapa kama unafahamu siri za CCM makao makuu.

Ninafikiri umeisha fahamu kuwa lile jimbo unalofikiria kugombea ubunge kupitia CHADEMA tayari kuna jamaa ambayo anajiimarisha pia kwa ajiri hiyo.

Kuleta habari za Uongo hapa JF, hazitakusaidia zaidi ya kushusha thamani ya uanasheria.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom